okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
Uwezo wa kufikili umeishia hapo tu?Alikuwa mdini sana kiasi ofisini alileta maji katika thermos na Mhudumu alikoroga chai mbele yake. Aliweka chumba maalum cha kuswalia! Mengine tumsitiri ila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wa kufikili umeishia hapo tu?Alikuwa mdini sana kiasi ofisini alileta maji katika thermos na Mhudumu alikoroga chai mbele yake. Aliweka chumba maalum cha kuswalia! Mengine tumsitiri ila
Kabisa! Wewe ongeza kama ubavu huo unaoUwezo wa kufikili umeishia hapo tu?
Binadamu wa kwanza alikuwa Nyani usisahau hili dàima.Sijakutana na mtu anapenda ugomvi kama wewe.
Sikumbuki kusema 'hamjui' nakumbuka kukwambia wewe 'haujui'
Majina ambayo nimeyasikia hapa hayajatajwa katika historia niliyosoma. Ndiyo maana nimesema nayasikia hapa.
Mama uwe unasoma basi. Hivi unavyofanya unakua kama ukikaa ukishikwa na hamu ya ugomvi ni kulog in kutafuta post kuijibu unavyojisikia kisha kusubiri majibu.
Upumbavu juu ya upumbavu kwangu hapana.Kabisa! Wewe ongeza kama ubavu huo unao
Kumbe wewe mpumbavu sikujua! KwaheriUpumbavu juu ya upumbavu kwangu hapana.
Hah hah hah hah katibu.Kumbe wewe mpumbavu sikujua! Kwaheri
Na wewe ulipokuja kuzua kuhusu AMNUT ulikuwa hutafuti ugomvi?Sijakutana na mtu anapenda ugomvi kama wewe.
Sikumbuki kusema 'hamjui' nakumbuka kukwambia wewe 'haujui'
Majina ambayo nimeyasikia hapa hayajatajwa katika historia niliyosoma. Ndiyo maana nimesema nayasikia hapa.
Mama uwe unasoma basi. Hivi unavyofanya unakua kama ukikaa ukishikwa na hamu ya ugomvi ni kulog in kutafuta post kuijibu unavyojisikia kisha kusubiri majibu.
Anhaa dah nimekuelewa mama yangu. Kumbe una prejudice, kwamba yeyote atakayeuliza ni amekuja kuanzisha ugomvi.Na wewe ulupokuja kuzua kuhusu AMNUT ulikuwa hutafuti ugomvi?
Na kauli zako za "tulia" ulikuwa hauutafuti ugomvi?
Kama huyo "lecturer" wajo nae alikuwa hayajui hayo majina basi elewa kuwa alikuwa anakujaza ujinga. Anakufundisha visivyokuwepo na vilivyokuwepo havijui. Wewe umekuja na mikogo humu na lugha za maudhi kwa usiyoyajuwa. Hakafu unataka kugeuza kibao? Huwezi.
Mimi sijui. Wewe unaejua mbona umeshindwa kuja na reference? Na nnakuhakikishia hautoweza.
Kuna kama wewe walijifanya wanajua mpaka leo wengine zaidi ya miaka 5 sasa wameshindwa kuja na reference. Kuna anaejiita Yericko Nyerere mpaka leo tunamsubiri. Kuna anaejiita Mzee Mwanakijiji licha ya Nguruvi3, tunawasubiri waje na kitabu chao cha kupinga historia aliyoandika Allama Mohamed Said, kimyaaaa.
Na juzi juzi, miezi inakatika,hapa anaejiita pascal aliahidi kuja baada ya kusoma kitabu. Mwandishi "aliyebobea" na mtu wa kanisa la mtakatifu Josefu, wakati nyuma tu ya hilo kanisa kuna duka kuuuuubwa la vitabu linalimilikiwa na kanisa hilo hilo, eti hajui pa kukipata kitabu cha Padri Sivalon. Hata maktaba ya kanisa hakuna? Si uongo huo.
Na wewe utatulia tu.
Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Usitafute upenyo wa kutokea kupitia kwangu, jibu uliyopewa huko na Allama Mohamed Said.
Na bado.
Ndugu zangu,Anhaa dah nimekuelewa mama yangu. Kumbe una prejudice, kwamba yeyote atakayeuliza ni amekuja kuanzisha ugomvi.
Ebwana mi sipo huko. Nimemaliza chuo muda sana, huu uzi nimeujibu kama mtu ninayekumbuka nilichofundishwa ingekua kunatakiwa maandalizi ningejitahidi kutafuta rejea.
Wewe ni mtupu kama mimi wote tunategemea elimu kutoka kwa mleta uzi. Mwanafunzi mwenzangu unakua mkali, matusi na kujiona ni monitress wa huu uzi.
Mama kua mpole, tulia hujui kitu. Mwenye uzi atatuelewesha. Pia usinifananishe na watu hiyo ni dharau.
Nini kosa la Malima? Malima alipokuwa Waziri wa Elimu na alikuwa Muislam wa kwanza kushika nafasi ile aligundua mtandao ulijengeka ndani ya wizara uliokuwa kwa muda mrefu unawahujumu vijana wa Kiislam kupata elimu ya juu. Malima akaandika barua kumtanabaisha Rais Mwinyi kuhusu dhulma hii. Barua hii ilivujishwa na lile lililokuwa likidhniwa siri sasa likawa liko dhahri kwa Waislam kwa ushahidi wa waziri wa serikali. Malima hili hakulificha alikuwa kila akialikwa katika shughuli za Waislam analieleza. Hapo ndipo chuki dhidi yake ilipozidi na maadui zake kwa kukosa busara wakaamua kulipeleka suala lile kwenye chama lijadiliwe. Akili zao hazikuwatuma kutafuta ukweli wa shutuma zile nzito. Waislam walikuwa na ushahidi wa haya yote na waliwahi kusambaza waraka nchi nzima kwa Waislam kueleza dhulma hii waraka ambao ulisambazwa kwa wabunge wote wakati bunge linakaa Ukumbi wa Karimjee. Hii ilikuwa mwaka wa 1981. Mwaka wa 1987 Malima alipokuja kueleza yale katika barua kwa Rais Mwinyi kwa Waislam barua ile ilikuwa marudio ya onyo lao walillotoa miaka sita iliyopita. Tatizo hili ni moja ya matatizo ambayo kama Mzanzibari na Muislam yalimtatiza sana Rais Mwinyi. Mwinyi alijuwa unyeti na uzito wa shutuma hii dhidi ya watendaji wa Wizara ya Elimu kuingiza ubaguzi wa kidini ndani ya serikali. Hofu kubwa nchi nzima ikawa nini Waislam watafanya baada ya kujua dhulma hii na watajenga mstakbali gani dhidi ya serikali? Msaada wa Nyerere ulihitajika sana. Naweka nukta hapa na naamini nimeeleweka. |
Nimekusoma vizuri sana. Mwanzo mpaka mwisho. Na mimekusoma mpaka "between the lines".Sijakutana na mtu anapenda ugomvi kama wewe.
Sikumbuki kusema 'hamjui' nakumbuka kukwambia wewe 'haujui'
Majina ambayo nimeyasikia hapa hayajatajwa katika historia niliyosoma. Ndiyo maana nimesema nayasikia hapa.
Mama uwe unasoma basi. Hivi unavyofanya unakua kama ukikaa ukishikwa na hamu ya ugomvi ni kulog in kutafuta post kuijibu unavyojisikia kisha kusubiri majibu.
Naona hukufundishwa bali ulijazwa ujinga "brain washed" na wewe ukauleta hapa na ukadhani tutakaa kimya. Tutakuweka sawa tu na utauelewa mchango wa Waislam kabla na baada ya Uhuru na pia utaelewa madhila tuyapatayo.Anhaa dah nimekuelewa mama yangu. Kumbe una prejudice, kwamba yeyote atakayeuliza ni amekuja kuanzisha ugomvi.
Ebwana mi sipo huko. Nimemaliza chuo muda sana, huu uzi nimeujibu kama mtu ninayekumbuka nilichofundishwa ingekua kunatakiwa maandalizi ningejitahidi kutafuta rejea.
Wewe ni mtupu kama mimi wote tunategemea elimu kutoka kwa mleta uzi. Mwanafunzi mwenzangu unakua mkali, matusi na kujiona ni monitress wa huu uzi.
Mama kua mpole, tulia hujui kitu. Mwenye uzi atatuelewesha. Pia usinifananishe na watu hiyo ni dharau.
Naona wadini msiponitaja huku hamjisikii amaniNa wewe ulipokuja kuzua kuhusu AMNUT ulikuwa hutafuti ugomvi?
Na kauli zako za "tulia" ulikuwa hauutafuti ugomvi?
Kama huyo "lecturer" wajo nae alikuwa hayajui hayo majina basi elewa kuwa alikuwa anakujaza ujinga. Anakufundisha visivyokuwepo na vilivyokuwepo havijui. Wewe umekuja na mikogo humu na lugha za maudhi kwa usiyoyajuwa. Hakafu unataka kugeuza kibao? Huwezi.
Mimi sijui. Wewe unaejua mbona umeshindwa kuja na reference? Na nnakuhakikishia hautoweza.
Kuna kama wewe walijifanya wanajua mpaka leo wengine zaidi ya miaka 5 sasa wameshindwa kuja na reference. Kuna anaejiita Yericko Nyerere mpaka leo tunamsubiri. Kuna anaejiita Mzee Mwanakijiji licha ya Nguruvi3, tunawasubiri waje na kitabu chao cha kupinga historia aliyoandika Allama Mohamed Said, kimyaaaa.
Na juzi juzi, miezi inakatika,hapa anaejiita pascal aliahidi kuja baada ya kusoma kitabu. Mwandishi "aliyebobea" na mtu wa kanisa la mtakatifu Josefu, wakati nyuma tu ya hilo kanisa kuna duka kuuuuubwa la vitabu linalimilikiwa na kanisa hilo hilo, eti hajui pa kukipata kitabu cha Padri Sivalon. Hata maktaba ya kanisa hakuna? Si uongo huo.
Na wewe utatulia tu.
Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Usitafute upenyo wa kutokea kupitia kwangu, jibu uliyopewa huko na Allama Mohamed Said.
Na bado.
Naona wadini msiponitaja huku hamjisikii amani
how tujuze mkuuAlikuwa mdini sana huyo
wengine hatukuwepo tupe maarifa tujuweNi mengi na wala si ya kuambiwa. Alikuwa anapendelea kiuwazi waislam na kuwanyongelea mbali ambao si waislam. Usinichokoze nitoe vidhibiti hata kutaja mengine. Tuishie hapo mtetezi wa uislam
tuambie alikuwa waziri gani bisha kwa hojaHili si kweli.
Namba zilianza hata kabla hajawa Waziri wa elimu, na mmoja wa Kaka zangu alitumia namba katika Mtihani.
Mkipewa nchi mnaiharibu Sana kwa ufisadi. HM. JK. Mlifanya nini?Njinjo,
Prof. Malima hakuwa mdini ila alitahadharisha athar za udini uliokuwapo.
Ukitaka kusoma kuhusu tatizo hili soma kitabu cha Maisha ya Abdul Sykes
sehemu ya tatu ya kitabu na ndiyo ya mwisho nimeipa jina ''Njama Dhidi ya
Uislam.''
Katika sehemu hiyo nimeeleza kila kitu.
Sasa kama unataka kujua ukweli tuanze hapo.
Hili suala la tatizo ubaguzi ni nyeti sana na tumepata kujadili hapa Majlis
na mimi nimetoa ushahidi mwingi kwa kutumia rejea za kuaminika.
Huna wewe cha kumsitiri Prof. Malima ila wapo watu kwa kufanya staha
wanajizuia kusema mengi wayajuayo kwani zipo ''legacy,'' za baadhi ya
viongozi hakuna anaetaka zivunjike.
Lakini kama wewe unautaka mjadala huu fungua uzi wako mpya nami
nitakuja kutoa darsa.
Kuswali ndani ya ofisi hakujakuwa udini.
Mimi maisha yangu yote ya kazi nikiswali ofisini kwangu na nilikuwa na
msala kila ofisi niliyofanyakazi na wakubwa zangu walilijua hili na hata
siku moja hawakunikataza na wako wengi wanafanya hivi.