Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jackline,Ina maana umebanwa kwenye corner unataka kutupa taulo nyeupe??? sikutegemea hii turn of events
Hataki kujikita katika mada, analeta maneno maneno ili tuache mada, no waymzee wa ujanja ujanja naona povu linakutoka
Jambo jema sana, nimeamua kuandika kitabu, tuwaachie wasomaji wataamua ipi historia ya kweli, na ipi ya vibarazani...Una mambo ya kutosha kuandika kitabu kaka.
Andika kitabu.
Hicho ndicho kipimo si hizi kejeli za joto la hasad
na maswali ya kurudiarudia ukitaka majibu ya kukupendeza.
Mimi nilipoona historia ya TANU siyo niliandika sikuenda Kivukoni
kufanya ugomvi wala sikupita CCM.
Kitabu hiki kipo na hakiwezi kuondoka kwa kuwa hakijakufurahisha.
Nipo mkuu, nawafuatilia kwa ukaribu na ninafurahishwa na shule unayotoa mkuuisk na boywise njooni tujumuike
Yericko Nyerere umetuachia ugomvi ukatimka. Mtu akipigwa konde utakuwa shahidi ati!
Watu hawaihitaji ngano, tamthilia au ngonjeraNdugu yangu unanitafuta nini kaka?
Hasad inakula moyo wa binadamu na kwako imejitokeza wazi.
Cambridge inakuchoma sana na inakula na kukukata maini.
Wewe ni wa kuepukwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umeandika historia yako, itetee sio ijitetee, nami nimeandika naitetea na inajitetea... Msomaji atajichagulia ukweli ulipo...Ndugu yangu unanitafuta nini kaka?
Hasad inakula moyo wa binadamu na kwako imejitokeza wazi.
Cambridge inakuchoma sana na inakula na kukukata maini.
Wewe ni wa kuepukwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii misumari mirefu mno, maalim wetu ataomba udhuruWatu hawaihitaji ngano, tamthilia au ngonjera
Ukumbi upo kimyaa unakusubiri ueleze kwa mujibu wa kitabu chako na tuhuma kwa wengine
1. Wanaosema AA na TAA havikuwa vyama vya siasa rasmi wanakosea wapi?
2. Kabla ya JK Nyerere kuandika katiba, kuna nani mwingine aliwahi kufanya hivyo?
3. Kabla ya Mwalimu, AA na TAA zilitumia katiba gani, iliandikwa na nani na lini
Hapo ndipo umma ulipo, watu wametulia ukumbini,wanakusubiri mhadhiri utoe neno
Yericko,Hii misumari mirefu mno, maalim wetu ataomba udhuru
Yericko,Mzee umeandika historia yako, itetee sio ijitetee, nami nimeandika naitetea na inajitetea... Msomaji atajichagulia ukweli ulipo...
Haina haja ya kulia hivi mzee wa barzani mzizima...
Yericko,Jambo jema sana, nimeamua kuandika kitabu, tuwaachie wasomaji wataamua ipi historia ya kweli, na ipi ya vibarazani...
Mkuu ,wakati ukifika tubanane kama ni 'mbwai na iwe' .Nipo mkuu, nawafuatilia kwa ukaribu na ninafurahishwa na shule unayotoa mkuu
Nisamehe mzee wangu, ni lugha ya kusherehesha tu sio kejeliYericko,
Hivi kwenu ni vigumu kufanya mjadala bila ya kejeli?
Hii ''kulia,'' lugha gani ndugu yangu?
Yericko,Nisamehe mzee wangu, ni lugha ya kusherehesha tu sio kejeli
Bwana Yericko ninaheshimu sana maandiko yako na maoni yako mengi lakini kunawakati unapotoka vibaya sana.Ilikuwa mwaka 1927 ndipo chama cha AA kiliundwa kwa msaada wa Gavana wa Kiingereza nchini Tanganyika Sir Roland Davidl Cameron na Dr Agrey raia wa Ghana mwenye mtaa Kariakoo ya leo, huyu Mghana alikuwa mshauri wa kisheria na kimuundo tu, kikawa kinafanyia shughuli zake nyumbani kwa Rais wa kwanza wa AA bwana Cecil Matola kutoka kabila la wayao, na miaka mitatu baadae, yaani 1930 ndipo wakapata jengo toka kwa Gavana Donald Cameron, hapo ndipo picha hii ilipigwa,
Mwaka 1933 Cecil Matola alifariki dunia, na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa AA Bwana Kleist Sykies (ambae baba yake mzee Platanta alikuwa ni muhamiaji haramu toka Afrika Kusini aliyefika Tanga na kuanzisha makazi huko baada ya kuwa mateka wa wajerumani vita ya kwanza ya dunia), mpaka mwaka 1948 chama kilipobadilishwa jina nakuwa TAA chini ya Rais wake Daktari Vedasto Kyaruzi (Mhaya),
Hapo Rais wake wa kwanza wa TAA akawa Daktari Vedasto Kyaruzi, na katibu akawa Abdulwahid Klest Sykies, miaka miwili baadae, Dr Kyaruzi alihamishiwa Kingolwila hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Abdulwahid Kleist Sykies hadi ilipofika uchaguzi wa 1953 ambao Julius Nyerere alimshinda Abdulwahid Kleist Sykies kwakishindo na kuwa Rais wa TAA, Mwaka mmoja baadae Julius Nyerere alibadilisha jina na mrengo wa TAA nakuwa TANU ya kupigania uhuru kutoka chama cha kuratibu shughuli za starehe za weusi (chama cha walevi)
................................................................ Yote kwa urefu yamo katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi,
View attachment 544629
View attachment 544695
Mkuu ,wakati ukifika tubanane kama ni 'mbwai na iwe' .
Mzee wetu kawasomea mashtaka ya kusema AA na TAA vilikuwa vilabu vya siasa lakini si vyama katika mfumo. Hakumwacha mtu kavuruga 'matusi' kwa kila mmoja bila kumsahu mbaya wake JKN wa Mwitongo
Tukasema hewala, baada ya kusoma mashtaka tunaomba ushahidi ili ukiwatia hatiani haki itendeke
Mohamed anasema, AA na TAA zilikuwa vyama vya siasa na ushahidi ni kuwa Abdul Sykes alisema
Tukamwambia kauli ya Abdul ni ya mwanadamu, hata watoto wa Mkwawa wanaweza kusema Kalenga ilikuwa makao makuu ya chama cha siasa cha Mkwawa cha Iringa
Mohamed baada ya hayo kachepuka, kasema Tewa alisema katiba imenukuliwa
Tukamuuliza, ilinukuliwa wapi, na nani na lini na ilianza kutumika lini
Hapo akang'oa nguzo za magoli, kasema kuna mtu anaitwa Searton,alinukuu katiba
Tukamuuliza wapi, lini na alikwakilisha wapi. Mohamed, kaweka mpira kwapani, kasema Serton alikuwa mwanasheria na rafiki yake Abdul Sykes. Hivyo Abdul ni mwanasheria 'by default' akimaanisha alishiriki kuandika katiba. Tukamwambia hapana! urafiki wao hauna uhusiano na mambo ya sheria
Baada ya hapo ndipo povu, kejeli na indhara ilimradi tu achomoke.
Hapana, hapo tupo naye ili kuunusuru umma
Mohamed Said, nani aliandika katiba ya TANU? Kabla ya katiba hiyo ipi ilikuwepo na iliandikwa na nani.
Kwkweli lazima sisi tulaumiwe na huyu mzee apongezezwe, sisi tulikuwa wa baridi sana.Mkuu ,wakati ukifika tubanane kama ni 'mbwai na iwe' .
Mzee wetu kawasomea mashtaka ya kusema AA na TAA vilikuwa vilabu vya siasa lakini si vyama katika mfumo. Hakumwacha mtu kavuruga 'matusi' kwa kila mmoja bila kumsahu mbaya wake JKN wa Mwitongo
Tukasema hewala, baada ya kusoma mashtaka tunaomba ushahidi ili ukiwatia hatiani haki itendeke
Mohamed anasema, AA na TAA zilikuwa vyama vya siasa na ushahidi ni kuwa Abdul Sykes alisema
Tukamwambia kauli ya Abdul ni ya mwanadamu, hata watoto wa Mkwawa wanaweza kusema Kalenga ilikuwa makao makuu ya chama cha siasa cha Mkwawa cha Iringa
Mohamed baada ya hayo kachepuka, kasema Tewa alisema katiba imenukuliwa
Tukamuuliza, ilinukuliwa wapi, na nani na lini na ilianza kutumika lini
Hapo akang'oa nguzo za magoli, kasema kuna mtu anaitwa Searton,alinukuu katiba
Tukamuuliza wapi, lini na alikwakilisha wapi. Mohamed, kaweka mpira kwapani, kasema Serton alikuwa mwanasheria na rafiki yake Abdul Sykes. Hivyo Abdul ni mwanasheria 'by default' akimaanisha alishiriki kuandika katiba. Tukamwambia hapana! urafiki wao hauna uhusiano na mambo ya sheria
Baada ya hapo ndipo povu, kejeli na indhara ilimradi tu achomoke.
Hapana, hapo tupo naye ili kuunusuru umma
Mohamed Said, nani aliandika katiba ya TANU? Kabla ya katiba hiyo ipi ilikuwepo na iliandikwa na nani.
pale anayejiita nguli wa historia ya tanganyika anapokimbia maswali![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]