Kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha AA mwaka 1927 chini ya Sesilia Matola

Wazungu bwana! nimeangalia hiyo picha ya kwanza, yaani waliokaa chini wakati wa kupiga picha ni waafrica tu! mfyuuuuu wakaloni mlinyanyasa babu zetu
 
Ina maana umebanwa kwenye corner unataka kutupa taulo nyeupe??? sikutegemea hii turn of events
Jackline,
Kuna tofauti kati ya mjadala wa heshima na ufedhuli.

Mtu mwenye hasad katika roho yake huwa hajifichi vile vitu vinavyochoma
moyo wake huwa anavidhihirisha.

Hasad ni ile kwa nini neema hii kapewa yeye sikupata mie?
Kwa nini haimuondokei hii nema na yeye akawa kama watu wengine?

Jicho la husda linakausha hata mgomba uliokuwa unanawiri.
Watu kama hawa ukiwajua unawakimbia.

Mimi toka utoto mama yangu akinitahadharisha kuhusu husda na athar zake.
Husda ni zaidi ya wivu.

Husda katika hii historia ilionekana tangu zamani sana.

Nimeweka hapa jinsi gazeti la Africa Events lilivyokusanywa kwa kuwa tu
limemtaja Abdul Sykes kuwa alihusika sana katika kuunda TANU.

Nimeeleza kisa cha Paula Parks alivyofukuzwa nchini kwa kuandika makala
kuhusu TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika baada ya kufanya mahojiano
na Ally Sykes.

Nimeeleza jinsi historia ya TANU ilivyoandikwa na Abdul Sykes jina lake likawa
halipo.

Hii ni hasad.
Kwa nini iwe yeye ndiye awe kafanya haya?

Kichekesho mimi nikae hapa nakejeliwa na mtu ambae wala sijui anakotokea wala
hajakuwa na ujasiri hata wa kujitokeza kwa jina lake dhahir awe kila kukicha ni
kejeli na ''Cambridge,'' haimtoki mdomoni.

Mimi nimeandika na kitabu kipo sasa mwaka wa ishirini.
''Reviews,'' zimeandikwa na wino umekauka.

Ikiwa yeye au yeyote yule anaona Nyerere ndiye aliyeasisi TANU kwani kuna shida
gani si aandike tu na aeleze jinsi alivyounda TANU kokote alipokuwa kuna haja gani
ya kuja hapa na kuanza kutukanana?

Nimefanya mijadala kwingi duniani katika vyuo vikuu, taasisi za utafiti, katika radio,
magazeti hadi katika nyumba za watu binafsi kwa kualikwa siogopi mjadala.

Ninalolijua nalisema nisilojua nasema hili silijui.
Lakini hii ya kejeli na matusi ya rejareja hakika siwezi kuruhusu kwani natafuta nini?

X9qOrvzSyvjD7-Jq3NAYlBXe3iwpLxRNRQ0zjP_0-olTeafauw2ttlTTw7TMvXldnq9bR0mFIBgm78E1-nYwCb5hpIra98L8To94dfmYwEN2K_j8OdSSJE06jgHLmHHWVUm623n8XL1ULiRfDjpOorXfd4Hq4--8IWNWimw6NlC9ZzL3lghtCgy9F1NxJ1NV9cMrbxtrOOZb18u3rm3v1bzNI9_hnykjE9D_L45puKFsihMp-XLh2UZVh_u7vs5cqOyuAgTwfNePyePVxP5bbUfOpr4_zvCQlKd6c95bZIhmEy5pXAOdRm4pO6uQotVYHPsH6oTw3Q6vQ_eBIx2uJ6AJy18M-rCyHKVZ_T2tWjzFw-fwupVA6GCMjI0IlnNtqVPsCD9xBMw6h-z_2pdNr8ECua070mo9xFhl59I8LEwtZon0gn9wRCfdQEeLXjxkhe5ku1PDGqv4UdPp7Kmq3uFyM6tlhk6G_EIOyT5-kYC4J_OhizAf9NM30b5Rhg8DOL8KEMqv8fki9f9ofK241QZiYzZrmYvZYiFpCUZD6s0XEqGO7Gh1KjvVLxaW16Twx7Gxf6RnBmMN6u4tWDywiPk_ut4Kk0uHLOxM8D4I6EWg63wmt6MX=w547-h629-no

Studio za VoA, Washington DC
 
Una mambo ya kutosha kuandika kitabu kaka.
Andika kitabu.

Hicho ndicho kipimo si hizi kejeli za joto la hasad
na maswali ya kurudiarudia ukitaka majibu ya kukupendeza.

Mimi nilipoona historia ya TANU siyo niliandika sikuenda Kivukoni
kufanya ugomvi wala sikupita CCM.

Kitabu hiki kipo na hakiwezi kuondoka kwa kuwa hakijakufurahisha.
Jambo jema sana, nimeamua kuandika kitabu, tuwaachie wasomaji wataamua ipi historia ya kweli, na ipi ya vibarazani...
 
Ndugu yangu unanitafuta nini kaka?
Hasad inakula moyo wa binadamu na kwako imejitokeza wazi.

Cambridge inakuchoma sana na inakula na kukukata maini.

Wewe ni wa kuepukwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawaihitaji ngano, tamthilia au ngonjera

Ukumbi upo kimyaa unakusubiri ueleze kwa mujibu wa kitabu chako na tuhuma kwa wengine

1. Wanaosema AA na TAA havikuwa vyama vya siasa rasmi wanakosea wapi?

2. Kabla ya JK Nyerere kuandika katiba, kuna nani mwingine aliwahi kufanya hivyo?

3. Kabla ya Mwalimu, AA na TAA zilitumia katiba gani, iliandikwa na nani na lini

Hapo ndipo umma ulipo, watu wametulia ukumbini,wanakusubiri mhadhiri utoe neno
 
Mzee umeandika historia yako, itetee sio ijitetee, nami nimeandika naitetea na inajitetea... Msomaji atajichagulia ukweli ulipo...

Haina haja ya kulia hivi mzee wa barzani mzizima...
 
Hii misumari mirefu mno, maalim wetu ataomba udhuru
 
Mzee umeandika historia yako, itetee sio ijitetee, nami nimeandika naitetea na inajitetea... Msomaji atajichagulia ukweli ulipo...

Haina haja ya kulia hivi mzee wa barzani mzizima...
Yericko,
Hivi kwenu ni vigumu kufanya mjadala bila ya kejeli?
Hii ''kulia,'' lugha gani ndugu yangu?
 
Jambo jema sana, nimeamua kuandika kitabu, tuwaachie wasomaji wataamua ipi historia ya kweli, na ipi ya vibarazani...
Yericko,
Unapoandika kitabu na kitabu kikawa cha maana kikapata ''reviews,''
nakuhakikishia kuwa utaingia katika dunia hukuwa unaijua kama ipo.

Kitabu cha Abdul Sykes kimenifikisha kwingi na kunitia katika anga
sikupatapo hata kuziwaza.

Lakini tambua pia wako watakaokufanyia husda.

***

Hataki kujikita katika mada, analeta maneno maneno ili tuache mada, no way
Tupo naye tu mzee Cambridge. Povu ni kwasababu hana jibu na vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini. No tupo naye

Uwe tayari kutukanwa kama hivyo hapo juu.
Unayajua maneno hayo hapo?

Kweli hii ni kwa kuandika historia ya wazee wangu au lipo jingine?
Je nami nirejeshe matusi au nikae kimya?

Muungwana atakaa pembeni kuepusha shari maana huu si mjadala
bali ni kutukanana.
 
Nipo mkuu, nawafuatilia kwa ukaribu na ninafurahishwa na shule unayotoa mkuu
Mkuu ,wakati ukifika tubanane kama ni 'mbwai na iwe' .

Mzee wetu kawasomea mashtaka ya kusema AA na TAA vilikuwa vilabu vya siasa lakini si vyama katika mfumo. Hakumwacha mtu kavuruga 'matusi' kwa kila mmoja bila kumsahu mbaya wake JKN wa Mwitongo

Tukasema hewala, baada ya kusoma mashtaka tunaomba ushahidi ili ukiwatia hatiani haki itendeke

Mohamed anasema, AA na TAA zilikuwa vyama vya siasa na ushahidi ni kuwa Abdul Sykes alisema

Tukamwambia kauli ya Abdul ni ya mwanadamu, hata watoto wa Mkwawa wanaweza kusema Kalenga ilikuwa makao makuu ya chama cha siasa cha Mkwawa cha Iringa

Mohamed baada ya hayo kachepuka, kasema Tewa alisema katiba imenukuliwa

Tukamuuliza, ilinukuliwa wapi, na nani na lini na ilianza kutumika lini

Hapo akang'oa nguzo za magoli, kasema kuna mtu anaitwa Searton,alinukuu katiba

Tukamuuliza wapi, lini na alikwakilisha wapi. Mohamed, kaweka mpira kwapani, kasema Serton alikuwa mwanasheria na rafiki yake Abdul Sykes. Hivyo Abdul ni mwanasheria 'by default' akimaanisha alishiriki kuandika katiba. Tukamwambia hapana! urafiki wao hauna uhusiano na mambo ya sheria

Baada ya hapo ndipo povu, kejeli na indhara ilimradi tu achomoke.
Hapana, hapo tupo naye ili kuunusuru umma

Mohamed Said, nani aliandika katiba ya TANU? Kabla ya katiba hiyo ipi ilikuwepo na iliandikwa na nani.
 
Ilikuwa mwaka 1927 ndipo chama cha AA kiliundwa kwa msaada wa Gavana wa Kiingereza nchini Tanganyika Sir Roland Davidl Cameron na Dr Agrey raia wa Ghana mwenye mtaa Kariakoo ya leo, huyu Mghana alikuwa mshauri wa kisheria na kimuundo tu, kikawa kinafanyia shughuli zake nyumbani kwa Rais wa kwanza wa AA bwana Cecil Matola kutoka kabila la wayao, na miaka mitatu baadae, yaani 1930 ndipo wakapata jengo toka kwa Gavana Donald Cameron, hapo ndipo picha hii ilipigwa,

Mwaka 1933 Cecil Matola alifariki dunia, na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa AA Bwana Kleist Sykies (ambae baba yake mzee Platanta alikuwa ni muhamiaji haramu toka Afrika Kusini aliyefika Tanga na kuanzisha makazi huko baada ya kuwa mateka wa wajerumani vita ya kwanza ya dunia), mpaka mwaka 1948 chama kilipobadilishwa jina nakuwa TAA chini ya Rais wake Daktari Vedasto Kyaruzi (Mhaya),

Hapo Rais wake wa kwanza wa TAA akawa Daktari Vedasto Kyaruzi, na katibu akawa Abdulwahid Klest Sykies, miaka miwili baadae, Dr Kyaruzi alihamishiwa Kingolwila hivyo nafasi ya urais wa AA ikakaimiwa na Abdulwahid Kleist Sykies hadi ilipofika uchaguzi wa 1953 ambao Julius Nyerere alimshinda Abdulwahid Kleist Sykies kwakishindo na kuwa Rais wa TAA, Mwaka mmoja baadae Julius Nyerere alibadilisha jina na mrengo wa TAA nakuwa TANU ya kupigania uhuru kutoka chama cha kuratibu shughuli za starehe za weusi (chama cha walevi)

................................................................ Yote kwa urefu yamo katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi,

View attachment 544629

View attachment 544695
Bwana Yericko ninaheshimu sana maandiko yako na maoni yako mengi lakini kunawakati unapotoka vibaya sana.
Ninadhani unaelewa sana kuwa kuanzia afrika ya mashariki kwenda kusini[ukiondoa msumbij] hizi ni nchi aidha zilikuwa makoloni ya kingereza au zile zilizokuwa protectorates. kwa kipindi hicho haikuwa ajabu askari wa kiyao kuwa askari nchini malawi. kwenye public sector kulikuwa na muingiliano mkubwa kiasi kwamba ilikuwa inaonekana kuwa ni jambo la kawaida.
Unaposema kuwa 'Baba yake plantam kuwa ni mhamiaji haramu. jee kwa nini waingereza wasimrudishe kwao?
Hata hao wayao unaowasema wengi walikuwa wanatoka msumbiji jee hawakuwa haramu???? Tukianza kupena alama hizo, ndugu yangu inawezekana hata wewe wazee wako asili yao siyo tanganyika. Inawezekana una chuki fulani lakini siyo vizuri kuhamishia chuki yako kwa watu wengine. Mwalimu Nyerere alikuwa muumini mkubwa wa afrika ni moja na sisi sote ni ndugu. Ndiyo maana nchi yetu ilikuwa kimbilio la wengi afrika na walipofika hapa walipata elimu na kila stahili ambayo mwananchi alistahili kupata.
 
Mkuu ,wakati ukifika tubanane kama ni 'mbwai na iwe' .

Mzee wetu kawasomea mashtaka ya kusema AA na TAA vilikuwa vilabu vya siasa lakini si vyama katika mfumo. Hakumwacha mtu kavuruga 'matusi' kwa kila mmoja bila kumsahu mbaya wake JKN wa Mwitongo

Tukasema hewala, baada ya kusoma mashtaka tunaomba ushahidi ili ukiwatia hatiani haki itendeke

Mohamed anasema, AA na TAA zilikuwa vyama vya siasa na ushahidi ni kuwa Abdul Sykes alisema

Tukamwambia kauli ya Abdul ni ya mwanadamu, hata watoto wa Mkwawa wanaweza kusema Kalenga ilikuwa makao makuu ya chama cha siasa cha Mkwawa cha Iringa

Mohamed baada ya hayo kachepuka, kasema Tewa alisema katiba imenukuliwa

Tukamuuliza, ilinukuliwa wapi, na nani na lini na ilianza kutumika lini

Hapo akang'oa nguzo za magoli, kasema kuna mtu anaitwa Searton,alinukuu katiba

Tukamuuliza wapi, lini na alikwakilisha wapi. Mohamed, kaweka mpira kwapani, kasema Serton alikuwa mwanasheria na rafiki yake Abdul Sykes. Hivyo Abdul ni mwanasheria 'by default' akimaanisha alishiriki kuandika katiba. Tukamwambia hapana! urafiki wao hauna uhusiano na mambo ya sheria

Baada ya hapo ndipo povu, kejeli na indhara ilimradi tu achomoke.
Hapana, hapo tupo naye ili kuunusuru umma

Mohamed Said, nani aliandika katiba ya TANU? Kabla ya katiba hiyo ipi ilikuwepo na iliandikwa na nani.

Hataki kujikita katika mada, analeta maneno maneno ili tuache mada, no way
Tupo naye tu mzee Cambridge. Povu ni kwasababu hana jibu na vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini. No tupo naye

Uwe tayari kutukanwa kama hivyo hapo juu.
Unayajua maneno hayo hapo?

Kweli hii ni kwa kuandika historia ya wazee wangu au lipo jingine?
Je nami nirejeshe matusi au nikae kimya?

Muungwana atakaa pembeni kuepusha shari maana huu si mjadala
bali ni kutukanana.
 
Mkuu ,wakati ukifika tubanane kama ni 'mbwai na iwe' .

Mzee wetu kawasomea mashtaka ya kusema AA na TAA vilikuwa vilabu vya siasa lakini si vyama katika mfumo. Hakumwacha mtu kavuruga 'matusi' kwa kila mmoja bila kumsahu mbaya wake JKN wa Mwitongo

Tukasema hewala, baada ya kusoma mashtaka tunaomba ushahidi ili ukiwatia hatiani haki itendeke

Mohamed anasema, AA na TAA zilikuwa vyama vya siasa na ushahidi ni kuwa Abdul Sykes alisema

Tukamwambia kauli ya Abdul ni ya mwanadamu, hata watoto wa Mkwawa wanaweza kusema Kalenga ilikuwa makao makuu ya chama cha siasa cha Mkwawa cha Iringa

Mohamed baada ya hayo kachepuka, kasema Tewa alisema katiba imenukuliwa

Tukamuuliza, ilinukuliwa wapi, na nani na lini na ilianza kutumika lini

Hapo akang'oa nguzo za magoli, kasema kuna mtu anaitwa Searton,alinukuu katiba

Tukamuuliza wapi, lini na alikwakilisha wapi. Mohamed, kaweka mpira kwapani, kasema Serton alikuwa mwanasheria na rafiki yake Abdul Sykes. Hivyo Abdul ni mwanasheria 'by default' akimaanisha alishiriki kuandika katiba. Tukamwambia hapana! urafiki wao hauna uhusiano na mambo ya sheria

Baada ya hapo ndipo povu, kejeli na indhara ilimradi tu achomoke.
Hapana, hapo tupo naye ili kuunusuru umma

Mohamed Said, nani aliandika katiba ya TANU? Kabla ya katiba hiyo ipi ilikuwepo na iliandikwa na nani.
Kwkweli lazima sisi tulaumiwe na huyu mzee apongezezwe, sisi tulikuwa wa baridi sana.

Kuna msemo unasema kuwa msipoandika historia yenu, msije laumu mkiandikiwa, naaam mzee Said katuandikia na sasa tunalalamika... Jukumu lililombele yetu nikusahihisha upotoshaji wa mzee wetu aliodumu nao kwa zaidi ya miaka 15... Ni kazi kubwa....

Kwenye kitabu cha Ujasusi nimesema hivi:::

Screenshot_20170810-163935.png
 
pale anayejiita nguli wa historia ya tanganyika anapokimbia maswali![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Back
Top Bottom