Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Hataki kujikita katika mada, analeta maneno maneno ili tuache mada, no waymzee wa ujanja ujanja naona povu linakutoka
Ina maana umebanwa kwenye corner unataka kutupa taulo nyeupe??? sikutegemea hii turn of events
Ukisoma vizuri wote waasisi wa AA nimewapa utambulisho sahihi yaani ukabila wao na mahali... Mbona hujauliza kwanini nisema Ramadhani Ali mzaramo na nisiseme mtanganyika?Bwana Yericko ninaheshimu sana maandiko yako na maoni yako mengi lakini kunawakati unapotoka vibaya sana.
Ninadhani unaelewa sana kuwa kuanzia afrika ya mashariki kwenda kusini[ukiondoa msumbij] hizi ni nchi aidha zilikuwa makoloni ya kingereza au zile zilizokuwa protectorates. kwa kipindi hicho haikuwa ajabu askari wa kiyao kuwa askari nchini malawi. kwenye public sector kulikuwa na muingiliano mkubwa kiasi kwamba ilikuwa inaonekana kuwa ni jambo la kawaida.
Unaposema kuwa 'Baba yake plantam kuwa ni mhamiaji haramu. jee kwa nini waingereza wasimrudishe kwao?
Hata hao wayao unaowasema wengi walikuwa wanatoka msumbiji jee hawakuwa haramu???? Tukianza kupena alama hizo, ndugu yangu inawezekana hata wewe wazee wako asili yao siyo tanganyika. Inawezekana una chuki fulani lakini siyo vizuri kuhamishia chuki yako kwa watu wengine. Mwalimu Nyerere alikuwa muumini mkubwa wa afrika ni moja na sisi sote ni ndugu. Ndiyo maana nchi yetu ilikuwa kimbilio la wengi afrika na walipofika hapa walipata elimu na kila stahili ambayo mwananchi alistahili kupata.
Uharamu wa uhamiaji wa baba yake Plantam please.Ukisoma vizuri wote waasisi wa AA nimewapa utambulisho sahihi yaani ukabila wao na mahali... Mbona hujauliza kwanini nisema Ramadhani Ali mzaramo na nisiseme mtanganyika?
Hakuna matusi, unajaribu kutafuta sababu"Mohamed Said, post: 22765533, member: 12431"]Jackline,
Kuna tofauti kati ya mjadala wa heshima na ufedhuli.
Mimi sikujui wala hatujuani, hasad ya nini? Napata riziki kwa njia zangu hasad ya nini?Mtu mwenye hasad katika roho yake huwa hajifichi vile vitu vinavyochoma
moyo wake huwa anavidhihirisha.
Hasad ni ile kwa nini neema hii kapewa yeye sikupata mie?
Kwa nini haimuondokei hii nema na yeye akawa kama watu wengine?
Wakimbie lakini usikimbie hoja. Umeleta mashtaka, umewasomea wahusika tunakuuliza ushahidi unasema Abdul kasema! whaat? Abdul ni kwako siyo international Unit.Jicho la husda linakausha hata mgomba uliokuwa unanawiri.
Watu kama hawa ukiwajua unawakimbia.
Jibu hoja, hayo yako na mzazi wako ni huko nyumbani kwenuMimi toka utoto mama yangu akinitahadharisha kuhusu husda na athar zake.
Husda ni zaidi ya wivu.
Hakuna husda kuna matundu , kunauzushi. Hiyo haifanyi kuwa historia si kweli, ila hatuwezi kuruhusu kugeuzwa ndondocha hata kwa yale tunayojua. Jibu hojaHusda katika hii historia ilionekana tangu zamani sana.
Haya hayajibu hoja yatafutie eneoNimeweka hapa jinsi gazeti la Africa Events lilivyokusanywa kwa kuwa tu
limemtaja Abdul Sykes kuwa alihusika sana katika kuunda TANU.
Sawa sawa,. lakini hayajibu hoja zilizoko mbele.Nimeeleza kisa cha Paula Parks alivyofukuzwa nchini kwa kuandika makala
kuhusu TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika baada ya kufanya mahojiano
na Ally Sykes.
Hawakumtendea haki kwakweli. Turudi kwenye hojaNimeeleza jinsi historia ya TANU ilivyoandikwa na Abdul Sykes jina lake likawa
halipo.
Unatumia Cambridge ili sisi tuliofeli darsa la saba tukuogope.Kichekesho mimi nikae hapa nakejeliwa na mtu ambae wala sijui anakotokea wala
hajakuwa na ujasiri hata wa kujitokeza kwa jina lake dhahir awe kila kukicha ni
kejeli na ''Cambridge,'' haimtoki mdomoni.
La katiba unalijua au hulijui?Ninalolijua nalisema nisilojua nasema hili silijui.
Hakuna matusi, unajaribu kutafuta sababu
Tena wewe ndiye bingwa, mimi nikiwausia watu watumie lugha za stara haa vijana wako
Unatafuta sababu, lakini tupo pale pale, nani aliandika katiba ya TANU. Kabla ya hapo AA au TAA zilikuwa na katiba ipi zilitumika wapi na nani aliandika
Kuna mahali umesema Nyerere alipokea uongozi hivyo ni ushahidi vyama vilikuwa vya siasa
Well, pale Ilala katika ile kona kuna bango la Pepsi na chini kuna kuku. Tuna mkusanyiko wetu wa Arsenal na Man U. Hiyo haitoshi kuwa sisi ni klabu ya michezo! Tuna viongozi wetu lakini si ushahidi ni klabu
Mimi sikujui wala hatujuani, hasad ya nini? Napata riziki kwa njia zangu hasad ya nini?
Haya ni maneno ya kushindwa hoja sasa unatetwa na kugeuza jamvi kama eneo la mipasho.
No, turudi kwenye hoja Wakimbie lakini usikimbie hoja. Umeleta mashtaka, umewasomea wahusika tunakuuliza ushahidi unasema Abdul kasema! whaat? Abdul ni kwako siyo international Unit. Jibu hoja, hayo yako na mzazi wako ni huko nyumbani kwenu
Hakuna husda kuna matundu , kunauzushi. Hiyo haifanyi kuwa historia si kweli, ila hatuwezi kuruhusu kugeuzwa ndondocha hata kwa yale tunayojua. Jibu hojaHaya hayajibu hoja yatafutie eneo Sawa sawa,. lakini hayajibu hoja zilizoko mbele.Hawakumtendea haki kwakweli. Turudi kwenye hoja Unatumia Cambridge ili sisi tuliofeli darsa la saba tukuogope.
Tumekuchukua na kukupeleka Cambridge, halafu tumekuweka stoo huko cambridge, ukirudi utakuwa umekwenda Cambridge. Nilikutahadharisha mapema, tunaojua vitoga na N'gonda ni sisi si Cmabridge
Jibu hoja tuache hayo. Nani aliandika katiba ya TANU, kabla ya hapo ni katiba ipi iliyokuwepo na iliandikwa na nani La katiba unalijua au hulijui?
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.Hakuna matusi, unajaribu kutafuta sababu

'...Pants down'' ni msemo si tusi. Wewe ni translator kumbuka?H
Uwe tayari kutukanwa kama hivyo hapo juu.
Unayajua maneno hayo hapo?
Kweli hii ni kwa kuandika historia ya wazee wangu au lipo jingine?
Je nami nirejeshe matusi au nikae kimya?
Muungwana atakaa pembeni kuepusha shari maana huu si mjadala
bali ni kutukanana.
hivi ulishapataga bikra uliyekuwa unamtafuta, manake kwa mwanaume kutangaza kutafuta bikra ni ushamba wa hali ya juu kwasababu unaamini mwanamke bora ni bikra tu. halafu, wewe umesomea umeme, kuunganisha nyaya, unatunga kitabu ati cha ujasusi, umekopy na kupaste mambo ya wenzako au umetoa wapi hayo mambo? mwisho, kamnunulie mamako nguo nzuri, ile picha umepiga naye inakuaibisha mno. mkumbuke mamako kule iringa ndugu.
'pants down' ni msemo siyo tusivifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.'pants down' ni msemo siyo tusi
Jibu hoja usitafute pa kutokea
1. Nani l aliandika katiba ya TANU
2. AA au TAA zilikuwa na katiba gani, nani aliandika na lini
3. Kabla ya Nyerere nani mwingine aliandika katiba
4. Wanaosema AA na TAA wanakosea wapi ikiwa Mohamed huna ushahidi kuwa vilikuwa vyama vya siasa na si vilabu na mikusanyiko yenye common interest
Hapo ndipo tulipo, utaweka kila wino. Jibu hoja, hutoki kwenye kona
Utaandika na ku bold ili watu waondoke katika mjadala. Huo ni msemo niliotegemea mtu wa Cambridge na translator utauelewavifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
Haikutoi kwenye kona. Huo ni msemo na wala sitabadili 'pants down'vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
Nguruvi3isk na boywise njooni tujumuike
Yericko Nyerere umetuachia ugomvi ukatimka. Mtu akipigwa konde utakuwa shahidi ati!
Hiyo ni mpya... Hebu tusomeshe ndugu...Mbona kila kitu kipo tofauti?!! Wakati nyerere anagombea urais wa TAA. Rais wa taa kipindi hicho alikuwa ni ibin salum.na ndie alishindwa na nyerere kw taabu.c abdul wakil sykes
Sent using Jamii Forums mobile app
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.Haikutoi kwenye kona. Huo ni msemo na wala sitabadili 'pants down'
Jibu hoja, umebanwa na hatukuachi , unawasema wenzako wameandika uongo wakati huwezi kukanusha uongo kwa ushahidi.
Jibu hoja
Yericko Nyerere pubguza kunywa pombe kali kijana mdogo sura imekuzeeka loh.Unahimizwa na kuamriwa kuwa na adabu unapozungumza na mtu ama watu waliokuzidi umri, afya na akili.
Font ni ndogo, weka 40vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.