Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.Mashallah, 'kisu kimegusa mfupa' imekuchoma kuliko husda uliyosema ninayo
Nacheka sana nikifikiria kama vikombe na glasi zipo salama hapo nyumbani.
Yote ni heri, kilichosimama mbele na ambacho wengi wanataka kusikia majibu ni hiki
Unafanya quote na kukata maneno ili ionekane nilichosema ni hicho, too lowvifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
mzee wa ngano kakimbia!
Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
Unafanya quote na kukata maneno ili ionekane nilichosema ni hicho, too low
Huyu ndiye mtu wa Cambridge ambaye tumempeleka Cambridge, te te h teh.
Hoja za katiba za TAA, AA na TANU zipo pale pale
Unadhani unachokifanya ni chema saaana, nadhani vijana wanaona mzee ulipofikia
Hapa ni hoja, jibu hoja kwa mantiki hilo ndilo lililopo mbele yetu
Uzi hautafungwa na tutaendelea kuonyesha bayana mapungufu yaliyopo
Jibu hoja kwani vijana wanakushangaa kwa hayo unayofanya! u
Una hiari endelea mimi nakutahadharisha ili kukusitiri, hakuna mtu jamvini anayefurahi kuona dhalili unayojifanyia kwa kuchafua uzi bila sababu za msingi isipokuwa kukimbia hoja, kushindwa kusimama na kutetea hoja , kushindwa kutetea maandiko yako
Nadhani wale waliokuwa na doubt kwanini tunahoji umefanikiwa kuondoa doubt hiyo
Jibu hoja, kama huna mtendee haki Yericko Nyerere kwa kuheshimu uzi wake
- vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
- mzee wa ngano kakimbia!
- Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
- Nacheka sana nikifikiria kama vikombe na glasi zipo salama hapo nyumbani.
- Huyu ndiye mtu wa Cambridge ambaye tumempeleka Cambridge, te te h teh.
- Mkuu @Mag3 , nikushuru umepita huku. Kitambo kidogo tulimwacha mzee na ngano.
Grand Central, New York
Hii ndiyo JF mpya haya maandishi kaandika nani? Gwiji la JF?vifungo vya suruali vimekatika , inakwenda magotini.
mzee wa ngano kakimbia!
Haitakuondoa kwenye kona, sana sana unaweza kuomba taulo.
Huyu ndiye mtu wa Cambridge ambaye tumempeleka Cambridge, te te h teh.
Naona vijana JF siku hizi wana msemaji wao daah!Unafanya quote na kukata maneno ili ionekane nilichosema ni hicho, too low
Huyu ndiye mtu wa Cambridge ambaye tumempeleka Cambridge, te te h teh.
Hoja za katiba za TAA, AA na TANU zipo pale pale
Unadhani unachokifanya ni chema saaana, nadhani vijana wanaona mzee ulipofikia
Hapa ni hoja, jibu hoja kwa mantiki hilo ndilo lililopo mbele yetu
Uzi hautafungwa na tutaendelea kuonyesha bayana mapungufu yaliyopo
Jibu hoja kwani vijana wanakushangaa kwa hayo unayofanya! u
Una hiari endelea mimi nakutahadharisha ili kukusitiri, hakuna mtu jamvini anayefurahi kuona dhalili unayojifanyia kwa kuchafua uzi bila sababu za msingi isipokuwa kukimbia hoja, kushindwa kusimama na kutetea hoja , kushindwa kutetea maandiko yako
Nadhani wale waliokuwa na doubt kwanini tunahoji umefanikiwa kuondoa doubt hiyo
Jibu hoja, kama huna mtendee haki Yericko Nyerere kwa kuheshimu uzi wake
Ulibahatika kukumbukwa mkuu, hongera sana, naona unatimiza tamaduni ya kiafrika yakutokupiga kelele unapokula, maana tulikuwa hatulali...Nilikuwa na muda mrefu sijapita JF nimepita leo kuchungulia nimecheka sana nakutana na vioja tu.
Mbona sojaona mjadala ulipokengeuka mzee wangu? Kwaniaba yao nikuombe radhi mzee wangu, yote ni katika kujenga na kusaidia kuweka sawa historia yetu... Hivyo kwakuwe wewe mwenzetu ni msomi na msomeshaji unayetambuliwa na walimwengu wa Kembuliji tunakuomba uendelee na mjadala wetu huku ukijibu hoja au kuuliza swali...Yericko,
Mjadala umetoka katika ustaarabu ndiyo maana nimekaa kimya.
Hivi ndivyo tulivyofunzwa na wazee wetu.
Huyu Nguruvi ananitukana kuwa navukwa na nguo.Hii ndiyo JF mpya haya maandishi kaandika nani? Gwiji la JF?
Teh teh teh
Huyu Mohamed ananiita Fedhuli!Huyu Nguruvi ananitukana kuwa navukwa na nguo.
Wala huna sababu ya kumuomba radhi, lugha ya Mohamed si nzuri ila ni mwepesi kweli wa kuona kaonewaMbona sojaona mjadala ulipokengeuka mzee wangu? Kwaniaba yao nikuombe radhi mzee wangu, yote ni katika kujenga na kusaidia kuweka sawa historia yetu... Hivyo kwakuwe wewe mwenzetu ni msomi na msomeshaji unayetambuliwa na walimwengu wa Kembuliji tunakuomba uendelee na mjadala wetu huku ukijibu hoja au kuuliza swali...
Si vijana tu, soma hapa chiniNaona vijana JF siku hizi wana msemaji wao daah!
Tarudi nikipata wasaa maana hali si hali huku kwetu mswahili kaondoka sasa hivi zamu yetu naenda kunywa kahawa na tende za sharja.
Alamsiki.
"Mohamed Said, post: 22755546, member: 12431"]Kifua kimejaa joto.
Joto linapofusha.Unaruka huku na huku mfereji umeuweka kati.
Hutaki.Basi andika wewe kitabu chako.Huna uwezo huu mwaka wa sita nakusihi.
Ati mie niungane na watu kukukabili wewe.Kwa ujanja upi uliokuwanao?
Ati anaandika neno la Kiingereza ananiwekea maelezo ilhali kitabu kizima nimeandika kwa lugha hiyo.Roho inakuuma kwa husda.Roho inakwenda mbiyo kwa wivu.
Zidisha hasad na kejeli.Ufungue macho na Mohamed Said.
Mimi ndiyo mwenye ufunguo uliofungua historia ya TANU inayokuchoma roho.
Andika kitabu ujanja ujanja utaishia humu humu unajitekenya na kujichekesha mwenyewe.
Hii ndiyo JF mpya haya maandishi kaandika nani? Gwiji la JF?
Teh teh teh
Teh teh teh"Mohamed Said, post: 22755546, member: 12431"]Kifua kimejaa joto.
Joto linapofusha.Unaruka huku na huku mfereji umeuweka kati.
Hutaki.Basi andika wewe kitabu chako.Huna uwezo huu mwaka wa sita nakusihi.
Ati mie niungane na watu kukukabili wewe.Kwa ujanja upi uliokuwanao?
Ati anaandika neno la Kiingereza ananiwekea maelezo ilhali kitabu kizima nimeandika kwa lugha hiyo.Roho inakuuma kwa husda.Roho inakwenda mbiyo kwa wivu.
Zidisha hasad na kejeli.Ufungue macho na Mohamed Said.
Mimi ndiyo mwenye ufunguo uliofungua historia ya TANU inayokuchoma roho.
Andika kitabu ujanja ujanja utaishia humu humu unajitekenya na kujichekesha mwenyewe.
hatuzungumzii kuanzishwa TANUIkiwa Abdul siye aliyeasisi TANU hakuna shida andikeni mueleze huyo muasisi alivyoiasisi TANU akawa na ofisi na fedha na jinsi alivyopata wanachama. Prof. Haroub alitaabika sana na hii historia ya Abdul na TANU kiasi akaenda kwa Ahmed Rashad kutaka ukweli. Ahmed Rashad akamwambia unamshangaa Abdul kwa hilo kwa nini humshangai baba yake kwa kuasisi African Association? Alichoka alipoambiwa kuwa Abdul alikuwa anakwenda Makerere 1942 vita ndivyo vilivyomzuia kwa kuingizwa katika King's African Rifles (KAR). 1953 ikawa aende Princeton University, New Jersey hapo ndiyo yupo kashikwa na kuunda TANU na sahib yake Earle Seaton alimtaka sana Abdul aondoke. Nitakihadithia kisa hiki nikirudi ofisini.
Mkuu Mohamed anazunguka mbuyu, AA na TAA vilikuwa hikundi vya walevi... Dr Agrey aliwapa tu ubunifu wa kuunda lakini kwa namna yoyote AA ilikuwa kikundi cha walevi na kiliundwa kwa msaada wa Gavana Sir Cameron... Yote ikiwa ni kuwafukuza watu weusi wasifike posta siku za sherehe na weekend, watu wausi walikuwa wanasumbua baa kama unavyoona mapaka ya baa za manzese leo hii ambapo ukiagiza supu tu basi yanakujaa miguuni huku yakiunguruma migongoni....hatuzungumzii kuanzishwa TANU
Baada ya TANU kuanzishwa si iliandikwa katiba (au ilinukuliwa)? Nani alinukuu na lini
Kabla ya hapo, AA na TAA wakitumia katiba gani, iliandikwa na nani na lini na ilitumika lini
Si kweli kuwa Nyerere akichukua uongozi wa TAA kulikuwa na katiba, na kama ipo tueleze ipi, iliandikwa na nani na lini. Kwamba, Katiba imenyofolewa si kweli. Kama ilikuwepo nani aliandika, lini na ilitumika wapi
Mkuu Nguruvi3, mimi sitakaa sana kwenye huu mnakasha kwa sababu mambo mengi ya Mohamed Said naona ni yale yale, santuri yake ni ile ile, malengo yake ni yale yale, ngano zake ni zile zile na hadithi zake anazojaribu kuzipaka rangi zinaonekane kama za kweli ni zile zile...anachosahau, kaniki ni kaniki tu!Font ni ndogo, weka 40
Haiondoi ukweli kuwa unataka kukimbia hoja. Yes '..pants down'
Mzee wa Cambridge, jibu hoja zilizoko mbele yako
Asilimia 98 ya halmashauri kuu ya TANU ilikuwa Waislam(mzee Mwanakijiji). Nini kilitokea asilimia 2 ikashinda asilimia 98?
Kleruu, Nyerere na wana kivukoni walisema 'kuhusu TAA ni vyama vya starehe'
Tukubali kuwa hawakuwa na ushahidi
Turudi upande wa pili, ushahidi wako kwamba vilikuwa vyama vya siasa na katiba uko wapi?
Tuanzie hao. Halafu twende kwenye AA na TAA. Kulikuwa na katiba gani na iliandikwa na nani
Kisha tumalizie kwa TANU. Nani aliandika katiba ya TANU
Mimi ni mwema sana, nilikutahadharisha mapema, kumweka Abdul Sykes na Nyerere katika mizani si jambo jema. Hawa ni watu tofauti waliotusaidia kwa namna tofauti
Abdul anasimama bila Nyerere, na ndivyo Nyerere anasimama bila Abdul
Mzee Said vijana wanafyonza elimu(spike lee), wape vitu vya kunururisha bongo zao
Jibu hoja
Gavana Sir Cameroun si kwamba alitoa tu msaada wa kuundwa kwa AA, alitoa pia nyumba ya kukutania ambayo baada ya kifo cha Rais wa kwanza wa TAA Mwalimu Cecil Matola, Myao mzawa na msomi, umiliki wake ulileta utata hadi leo. AA ilikuwa chama cha starehe na madai ya Mohamed Said kuwa harakati za kisiasa zilianza wakati huo hazina ukweli wowote. Eti wahamiaji ndio waliongoza harakati za kudai uhuru kama vile Watanganyika hawakuwepo ni porojo ulioanzishwa na Mohamed Said kuhalalisha Utanganyika wao.Mkuu Mohamed anazunguka mbuyu, AA na TAA vilikuwa hikundi vya walevi... Dr Agrey aliwapa tu ubunifu wa kuunda lakini kwa namna yoyote AA ilikuwa kikundi cha walevi na kiliundwa kwa msaada wa Gavana Sir Cameron... Yote ikiwa ni kuwafukuza watu weusi wasifike posta siku za sherehe na weekend, watu wausi walikuwa wanasumbua baa kama unavyoona mapaka ya baa za manzese leo hii ambapo ukiagiza supu tu basi yanakujaa miguuni huku yakiunguruma migongoni....