JF kuna vituko sana wewe naye unajiona una hoja za kujibiwa daaah!!mzee wako wa ngano mpaka sasa hajajibu hata hoja moja,na wewe unazurura tu!
njia ya muongo fupi!
Sasa mbona kitabu chako cha jasusi kimejaa ngano daaah!Unapenda sana ngano na unapenda sana kusikilizwa... Haya tunakusikiliza...
umuhimu si wewe una umri gani,au una mvi kiasi gani kichwani,muhimu ni wewe ndani ya saa dk na sekunde umefanya nini chenye mchango kwa taifa!JF kuna vituko sana wewe naye unajiona una hoja za kujibiwa daaah!!
Nakushauri kwenye huu mnakasha ungebaki msomaji ungefaidika sana lakini kujitia unajua na unazo hoja unajipunja mengi.
Kuna minakasha imepita mingi sana hapa JF miaka ya history ya Tanganyika kuna watu walikuwa wabishi sana lakini mwisho wa siku walipiga goti wakapata elimu bure bila ihana.
Halafu mie pia naweza kuwa mzee wako ki umri.
Ritz,Sasa mbona kitabu chako cha jasusi kimejaa ngano daaah!
Narudia tena kukwambia kasome kitabuumuhimu si wewe una umri gani,au una mvi kiasi gani kichwani,muhimu ni wewe ndani ya saa dk na sekunde umefanya nini chenye mchango kwa taifa!
*ANGALIA MSIBA WA MUDI HUU*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Watu wengine wanasoma au wanasikiliza bila kujua kuna kitu kinaitwa critical thinking
Kuna hoja mbili kuhusu hili
1.Mohamed ameondoa ushiriki wa watu makusuadi katika historia anayosema ni ya Tanganyika, ingawa mambo yakibana husema ya wazee wake na ikiwa ngumu zaidi husema ya Waislam
Kosa ambalo Kivukoni walifanya kwa kutotambua michango mingine, kwake lina uhalali
2. Historia ina formula, kuieleza au kuiandika kwa mujibu wa matukio na wakati kama ilivyo
Jaribio la ku ''interject'' personal feelings or ideas, historia husota madole ya machoni dhahir shahir
Kwa waliosikiliza video, Mohamed anasema Kleist Sykes aliunda AA na kisha Jamii fil Islamiya 1933. Mohamed hakueleza chochote kuhusu Cecil Matola.
Kumtaja Cecil ni kumtaja Rais wa kwanza na hivyo hoja ya Kleist kuunda AA inakufa.
Katika maandishia anasema, Kleist aliunda kwasababu alikuwa na pesa na mashuhuri.
Mohamed haelezi Cecil Matola alikuwa msomi na 'immunity' dhidi ya Wakoloni kuliko Kleist
Tendo la kutomtaja Matola, historia haikukaa kimya imemnyooshea kidole
3. Mohamed anasema Abdul Aliunda TANU, Nyerere akiwa Rais wa TAA kabla ya 1954.
Kitendo cha kumuondoa Nyerere, historia inamzaba kibao Mohamed.
Huwezi kuwa Rais wa chama asiyejua transformation. Abdul hakuunda TANU, alishiriki
1929 cecil akiunda AA hadi uchaguzi katika miaka ya 1950 Abdul ni takribani miaka 23.
Kleist na Mwanawe Abdul walibaki na uana harakati kwa miaka 23.
Nyerere aliandika katiba ya TANU katika transformation ya chama kuwa ya kisiasa
Akafungua milango UN kwa kutumia usomi, na kupata Uhuru katika miaka 10
Mohamed hasemi hilo, lakini historia inamsuata bila mtu kuandika kitabu kingine
Miaka 23 Kleist na mwanae Abdul Sykes hawakuwa na wazo la kuandika katiba
Wazo amekuja nalo Nyerere. Ndio maana Mohamed hajibu hoja za nani aliandika katiba
Hataki kumsikia Nyerere mtu anayemchukia sana katika dunia hii
Mohamed anasema hotuba ya Nyerere UN iliandikwa na kamati ya watu watano.
Katika hao Mohamed hamtaji Nyerere aki back date kuandikwa kwake.
Historia inamshataki Mohamed, kama hotuba iliandikwa kabla ya Nyerere ni nani aliyetarajiwa kwenda UN?
Historia inasema kama kamati iliandika hotuba, kulikuwa na tatizo gani ikiwa lilikuwa suala la chama?
Kuna shida gani chama kuandika hotuba kubwa kama ya UN na kumkabidhi mhusika!
Mohamed anaingiza hoja kuonyesha Nyerere alisoma tu bila kujua maudhui ili kumdhalilisha.
Historia inamtetea Nyerere. Wakati hotuba inaandikwa yeye ni mmoja wa watu wachache sana waliokuwa na degree katika kiwango cha Master. Alishakuwa exposed katik siasa za dunia
Mohamed anaweza kumdhalilisha Nyerere atakavyo, wanaosoma kwa critical thinking watakuwa na rafiki yao mmoja anayeitwa Historia atakayewasaidia kuchambua chuki na ukweli
hizo ngano za mudi tushasoma na huu ndo udhaifu wa ngano zake msaidie kujibu urongo wake!Narudia tena kukwambia kasome kitabu
"The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968)": utakutana na majibu na utaachana na hizo copy and paste zako.
Sheikh Mohamed Said,Ritz,
Mimi sishangai nisomapo humu kuona ghadhabu na mshtuko wa hawa ndugu zangu.
Hata kama mie nisingeandika, mtafiti yeyote ambae angeziona hizi nyaraka nilizoshuhudia mie lazima angeandika kitabu.
Mfikirie mtu kama Prof. Haroub Othman na kujua kwake kote akili ilikataa kuamini.
Unaanza na "kukataa," kisha baada ya muda ndipo unapofikia, "kukubali."
Prof. Haroub ndiyo chanzo leo inaandikwa historia ya TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika na hili Jopo la Prof. Shivji watafanya kazi nzuri kwani wana "access," ya nyaraka zote.
Walipofika kuzungumza na mie walikuwa tayari washakwenda Rhodes House, Oxford kuliko na nyaraka nyingi za kikoloni.
Tusubirini kitabu hiki huenda ikatupa mengi ambayo leo baadhi ya watu hawajaamini niliyoandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tuanze na hizo copy and paste zako Sheikh Mohamed Said, kaondoa ushiriki wa kina nani?hizo ngano za mudi tushasoma na huu ndo udhaifu wa ngano zake msaidie kujibu urongo wake!
Watu wengine wanasoma au wanasikiliza bila kujua kuna kitu kinaitwa critical thinking
Kuna hoja mbili kuhusu hili
1.Mohamed ameondoa ushiriki wa watu makusuadi katika historia anayosema ni ya Tanganyika, ingawa mambo yakibana husema ya wazee wake na ikiwa ngumu zaidi husema ya Waislam
Kosa ambalo Kivukoni walifanya kwa kutotambua michango mingine, kwake lina uhalali
2. Historia ina formula, kuieleza au kuiandika kwa mujibu wa matukio na wakati kama ilivyo
Jaribio la ku ''interject'' personal feelings or ideas, historia husota madole ya machoni dhahir shahir
Kwa waliosikiliza video, Mohamed anasema Kleist Sykes aliunda AA na kisha Jamii fil Islamiya 1933. Mohamed hakueleza chochote kuhusu Cecil Matola.
Kumtaja Cecil ni kumtaja Rais wa kwanza na hivyo hoja ya Kleist kuunda AA inakufa.
Katika maandishia anasema, Kleist aliunda kwasababu alikuwa na pesa na mashuhuri.
Mohamed haelezi Cecil Matola alikuwa msomi na 'immunity' dhidi ya Wakoloni kuliko Kleist
Tendo la kutomtaja Matola, historia haikukaa kimya imemnyooshea kidole
3. Mohamed anasema Abdul Aliunda TANU, Nyerere akiwa Rais wa TAA kabla ya 1954.
Kitendo cha kumuondoa Nyerere, historia inamzaba kibao Mohamed.
Huwezi kuwa Rais wa chama asiyejua transformation. Abdul hakuunda TANU, alishiriki
1929 cecil akiunda AA hadi uchaguzi katika miaka ya 1950 Abdul ni takribani miaka 23.
Kleist na Mwanawe Abdul walibaki na uana harakati kwa miaka 23.
Nyerere aliandika katiba ya TANU katika transformation ya chama kuwa ya kisiasa
Akafungua milango UN kwa kutumia usomi, na kupata Uhuru katika miaka 10
Mohamed hasemi hilo, lakini historia inamsuata bila mtu kuandika kitabu kingine
Miaka 23 Kleist na mwanae Abdul Sykes hawakuwa na wazo la kuandika katiba
Wazo amekuja nalo Nyerere. Ndio maana Mohamed hajibu hoja za nani aliandika katiba
Hataki kumsikia Nyerere mtu anayemchukia sana katika dunia hii
Mohamed anasema hotuba ya Nyerere UN iliandikwa na kamati ya watu watano.
Katika hao Mohamed hamtaji Nyerere aki back date kuandikwa kwake.
Historia inamshataki Mohamed, kama hotuba iliandikwa kabla ya Nyerere ni nani aliyetarajiwa kwenda UN?
Historia inasema kama kamati iliandika hotuba, kulikuwa na tatizo gani ikiwa lilikuwa suala la chama?
Kuna shida gani chama kuandika hotuba kubwa kama ya UN na kumkabidhi mhusika!
Mohamed anaingiza hoja kuonyesha Nyerere alisoma tu bila kujua maudhui ili kumdhalilisha.
Historia inamtetea Nyerere. Wakati hotuba inaandikwa yeye ni mmoja wa watu wachache sana waliokuwa na degree katika kiwango cha Master. Alishakuwa exposed katik siasa za dunia
Mohamed anaweza kumdhalilisha Nyerere atakavyo, wanaosoma kwa critical thinking watakuwa na rafiki yao mmoja anayeitwa Historia atakayewasaidia kuchambua chuki na ukweli
jibu hoja juu km huna endelea kupiga soga!Labda tuanze na hizo copy and paste zako Sheikh Mohamed Said, kaondoa ushiriki wa kina nani?
Nakuuliza tena Sheikh Mohamed Said, kaondoa ushiriki wa nani? Simple tu niambie hili nijibu hoja zako.jibu hoja juu km huna endelea kupiga soga!
Nakuuliza tena Sheikh Mohamed Said, kaondoa ushiriki wa nani? Simple tu niambie hili nijibu hoja zako.
Nakuuliza tena Sheikh Mohamed Said, kaondoa ushiriki wa nani? Simple tu niambie hili nijibu hoja zako.Watu wengine wanasoma au wanasikiliza bila kujua kuna kitu kinaitwa critical thinking
Kuna hoja mbili kuhusu hili
1.Mohamed ameondoa ushiriki wa watu makusuadi katika historia anayosema ni ya Tanganyika, ingawa mambo yakibana husema ya wazee wake na ikiwa ngumu zaidi husema ya Waislam
Kosa ambalo Kivukoni walifanya kwa kutotambua michango mingine, kwake lina uhalali
2. Historia ina formula, kuieleza au kuiandika kwa mujibu wa matukio na wakati kama ilivyo
Jaribio la ku ''interject'' personal feelings or ideas, historia husota madole ya machoni dhahir shahir
Kwa waliosikiliza video, Mohamed anasema Kleist Sykes aliunda AA na kisha Jamii fil Islamiya 1933. Mohamed hakueleza chochote kuhusu Cecil Matola.
Kumtaja Cecil ni kumtaja Rais wa kwanza na hivyo hoja ya Kleist kuunda AA inakufa.
Katika maandishia anasema, Kleist aliunda kwasababu alikuwa na pesa na mashuhuri.
Mohamed haelezi Cecil Matola alikuwa msomi na 'immunity' dhidi ya Wakoloni kuliko Kleist
Tendo la kutomtaja Matola, historia haikukaa kimya imemnyooshea kidole
3. Mohamed anasema Abdul Aliunda TANU, Nyerere akiwa Rais wa TAA kabla ya 1954.
Kitendo cha kumuondoa Nyerere, historia inamzaba kibao Mohamed.
Huwezi kuwa Rais wa chama asiyejua transformation. Abdul hakuunda TANU, alishiriki
1929 cecil akiunda AA hadi uchaguzi katika miaka ya 1950 Abdul ni takribani miaka 23.
Kleist na Mwanawe Abdul walibaki na uana harakati kwa miaka 23.
Nyerere aliandika katiba ya TANU katika transformation ya chama kuwa ya kisiasa
Akafungua milango UN kwa kutumia usomi, na kupata Uhuru katika miaka 10
Mohamed hasemi hilo, lakini historia inamsuata bila mtu kuandika kitabu kingine
Miaka 23 Kleist na mwanae Abdul Sykes hawakuwa na wazo la kuandika katiba
Wazo amekuja nalo Nyerere. Ndio maana Mohamed hajibu hoja za nani aliandika katiba
Hataki kumsikia Nyerere mtu anayemchukia sana katika dunia hii
Mohamed anasema hotuba ya Nyerere UN iliandikwa na kamati ya watu watano.
Katika hao Mohamed hamtaji Nyerere aki back date kuandikwa kwake.
Historia inamshataki Mohamed, kama hotuba iliandikwa kabla ya Nyerere ni nani aliyetarajiwa kwenda UN?
Historia inasema kama kamati iliandika hotuba, kulikuwa na tatizo gani ikiwa lilikuwa suala la chama?
Kuna shida gani chama kuandika hotuba kubwa kama ya UN na kumkabidhi mhusika!
Mohamed anaingiza hoja kuonyesha Nyerere alisoma tu bila kujua maudhui ili kumdhalilisha.
Historia inamtetea Nyerere. Wakati hotuba inaandikwa yeye ni mmoja wa watu wachache sana waliokuwa na degree katika kiwango cha Master. Alishakuwa exposed katik siasa za dunia
Mohamed anaweza kumdhalilisha Nyerere atakavyo, wanaosoma kwa critical thinking watakuwa na rafiki yao mmoja anayeitwa Historia atakayewasaidia kuchambua chuki na ukweli
kichwa sio cha kufugia nywele jibu hoja mwenyewe mudi anapita kam haon,km wewe huna hoja funga bakuli hilo!Nakuuliza tena Sheikh Mohamed Said, kaondoa ushiriki wa nani? Simple tu niambie hili nijibu hoja zako.
Ritz,Labda tuanze na hizo copy and paste zako Sheikh Mohamed Said, kaondoa ushiriki wa kina nani?
Umeshakisoma ndugu?Sasa mbona kitabu chako cha jasusi kimejaa ngano daaah!
Kwanini hakwenda Abdulwahid Sykes au Abas Sykes kule UNO?Ritz,
Nimeingia Maktaba na nimekuta hii makala ya Baba wa Taifa UNO 1955.
Naiweka hapo chini ili sote tujikumbushe tulikotoka na tuwakumbuke wale
waliofanikisha safari ile:
Mohamed Said
Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
MIAKA 61 IMEPITA...
TUWAKUMBUKE WAZALENDO WALIOFANIKISHA HAYA
Miaka 61 Tangu Nyerere Kwenda UNO New York Kudai Uhuru wa Tanganyika na...
Kushoto: Bi. Tatu bint Mzee wa tatu Julius Nyerere wa tano Bi. Titi Mohamed
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Baba wa Taifa Alipozungumza UNO 1955
Mwandishi akisomeshwa historia ya TANU na Abbas Sykes wakifanya kipindi cha TV Imaan
Yericko,Kwanini hakwenda Abdulwahid Sykes au Abas Sykes kule UNO?
Hebu eleza kinagaubaga
Yericko,
Swali lako umelikosea kuuliza.
Ilitakiwa uulize hivi, ''Kwa nini hakwenda Abdul au Ally?''
Wala ndugu yangu hapana haja ya wewe kuuliza swali kisha ukaweka
na masharti ya kujibiwa kuwa iwe, ''kinagaubaga.''
Nitaanza na Abbas.
Abbas alikuwa mtoto mdogo wakati ule, mtoto wa kutumwa na kaka
zake fanya hili, kalete kile kiasi hata Nyerere alipokuja kukaa kwao,
Abbas alitolewa chumbani kwake kumpisha Nyerere na Nyerere
akimtuma Abbas kama mdogo wake sana.
Hata siku ile ya mkutano wa kuasisi TANU 1954 Abbas alikuwa nje
pale New Street akitumwa kazi ndogo ndogo na ni yeye aliyeagizwa
kumleta mpiga picha Gomes aliyepiga ile picha mashuhuri ya waasisi
wa TANU.
Kwa nini Abdul hakwenda yeye UNO?
Abdul hakwenda yeye UNO kwa kuwa aliyetakiwa kwenda ni rais wa
TANU, Julius Nyerere.
Sasa hili si swali ambalo mtu ungeuliza na umewachagua ndugu hawa
kuuliza kwa nini hawakwenda wao wakamwachia Nyerere.
Labda ningekufahamisha kitu kuwa mwaka wa 1954 ilipokuja Kamati
ya Udhamini ya UNO aliyetoa maoni ya Waafrika kuhusu kujitawala
hakuwa Nyerere bali alikuwa Said Chamwenyewe.
1953 Abdul Sykes alipata, ''admission,'' ya Princeton University,New
Jersey.
Earle Seaton alimwandikia barua Abdul akimwambia kuwa akifika
New Jersey awe anakwenda New York, UNO kusikiliza majadiliano ya
nchi zilizo chini ya udhamini wa Waingereza.
Kutoka New York kwenda New Jersey na masafa ya Magomeni Mapipa
na Kariakoo.
Yericko,
Nataka nikupe kitu.
Hii safari ya UNO ilikuwa katika TAA siku nyingi hata kabla Nyerere
hajafika Dar es Salaam na kuingia katika uongozi.
Huyu Seaton alikuwa rafiki ya Abdul na yeye ndiye aliyemuomba
kwanza awasaidie TAA Political Subcommittee katika kuliendea suala la
Mandate Territories UNO mwaka wa 1950 na 1952 ni yeye Abdul ndiye
aliyemuomba Seaton atengeneze, ''petition,'' ya Meru Citizens Union
katika Meru Land Case chini ya uongozi wa Japhet Kirilo kwenda UNO.
Kirilo alipokwena kuzungumza UNO mkalimani wake alikuwa Seaton.
Nakueleza haya yote ili nikujulishe historia ya safari ya Baba wa Taifa
UNO.
Nahitimisha kwa kukueleza kuwa mratibu wa safari hii na mkusanyaji wa
fedha za safari alikuwa Idd Faiz Mafungo mweka hazina wa Al Jamiatul
Islamiyya fi Tanganyika na pia mweka hazina wa TANU.
Hii historia ndiyo iliyomvuruga akili Prof. Haroub Othman.
Hakuwa amepatapo kuyasikia majina haya wala kuijua historia hii.
Aliona lazima azungumze na Baba wa Taifa apate kauli yake.
Ndiyo hivi sasa kinaandikwa kitabu kueleza maisha ya Mwalimu Nyerere
na bila shaka watapita nilipowatangulia.
Nadhani nimejibu, ''kinagaubaga,'' kama ulivyoniamrisha.
Chembelecho Maalim Faiza: ''Elimu Bila Khiyana.''
Earle Seaton na Mwalimu Nyerere baada ya uhuru