Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Nikiwa 1St yr Chuo, kuna siku nilikua na appointment na mtu fulan, daaah tulipokutan kumbe kaja na rafiki zake, afu m1 wapo n mtu wa mtaan kwetu na pia n classmates wangu wa primary,

Nlijisikia vibayaaa sanaaa, sikuwa huru japo nilijikaza kukaa tyuuh palee, baada ya kuagana na kuondoka, nkamuambia kila mtu ashike 40 zake, na tufanye km hatujawahi kujuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cha ajabu sasa classmates ndo akaanza kunisumbua na yeye, pia nikamfungia kioo,, sitaki mazoea ya kupitiliza, uwiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
mwanaume untumia neno TYUUH! una matatizo gani mkuu?
 
Isingekuwa huu uzee, ningemtoa out for a date Kelsea au Hannah ili kufuta kumbukumbu mbaya juu ya dates zile mmeharibiwa...

Ukisoma visa vingi, mitoko imeharibika vile watu unapata ndio wamekutana kwa mara ya kwanza...

Watu wanakutana wapo na hobbies tofauti, preferences tofauti n.k
 
Hahaha me nilimvusha demu getoo ile nimemvua kila kitu nataka nikutanishe vikojoleo akapandisha mapepo, aisee siwezi sahau ile siku
...Kilichofuata ni ITV...?? Au Nini ??[emoji846][emoji846][emoji846]
 
Ngoja nitakuja na visa 2 vikaliiiii! Maisha haya daaah!
...Hukuwa na Haja ya Kutoa Taarifa kwanza! Ungengoja TU ukiwa na Nafasi ukavimwaga TU! Au unavitunga Kwanza??[emoji846][emoji846]
 
Nakumbuka mwaka jana nlitoka out na mdada nliekua nikimtamani siku nyingi, ila cha kushangaza toka tunakutana cha kwanza ananiambia yupo period, nikasema sawa mm nia yangu ni tujuane tu, tumeenda restaurant moja agiza msosi, story toka tumekaa mpaka tunasepa ni anaongelea period yake, mara damu zinatoka nyingi, mara tumbo linauma, mara ngoja nkajisafishe, mpaka mzuka wa msosi uliisha nikaomba nifungiwe take away nimrudishe mapema tu, sikuwahi kumuomba tutoke tena.
[emoji706][emoji706][emoji706]

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
B
Unajua tunafeli pale tunaposhindwa kuongea unapopanga kukutana na mtu unayehitaji jambo na yeye muulize utakuja mwenyewe au na wenzako Majibu yake yatakupa uwanja wa wewe kukubali aje nao au umkatalie ila vijana wengi wanaona kama kuuliza ni kujiweka daraja la chini.

Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa nipo chuo nilipanga kukutana na mwanamke mmoja na nilimuuliza kama atakuwa mwenyewe au na wenzake na akanijibu atakuwa mwenyewe nikamwambia sawa, basi kesho yake nikafika sehem ya makutano nikaendelea kupiga vinywaji alipofika alikuwa mwenyewe ila baada ya muda akaita rafiki zake wawili nikawakaribisha vizuri sikuwa vibaya mfukoni nikawahudumia wote vinywaji na chakula wakati tunaendelea kupata chakula stor za hapa na pale nikamgeuzia kibao nkamwambia mbele ya rafiki zake kulikua na maana gani ya mm kupanga kukutana na ww tuwe wawili alaf uite rafiki zako hakuwa na majibu ila kuna rafiki yake anaonekana ana akili sana akaniambia shemeji samahani hatukujua kama mliplan kuwa wawili maana hajatuambia na yeye ndio katuita akiwa njiani mm nkawaelezea mazingira yote jinsi tulivyopanga kukutana na wale rafiki zake wakamwambia pale pale hakukua na haja japo shemej katuhudumia vizur ila angekua mtu mwingne angetukimbia nikawaambia bas mm nshasuuza nafsi yangu siku nyingine unaplan kukutana na mtu ni vyema ukazingatia makubaliano akawa amejiskia vibaya akaanza kulia akatoka na mwenzake mmoja akabaki yule mwenye akili Nkaomba namba hakusita kunipa na akaniambia napenda mwanaume anaeweza kujieleza bila kujali ataonekana vipi mbele za wanawake bas next time nkamtoa huyo rafiki mtu akaja peke yake na nikabadili gia juu kwa juu mjinga akaachwa penzi likanoga kwa rafiki mtu na yule dada alinipenda kwakua niliweza kuongea ukweli na kuwa muwazi
Bahari ndani ya Manowari ya Kirussia....😀😀😀😀😀😀😀
 
2. Siku ya birthday yangu! Tumeenda date sehemu akaniletea cake! Kufungua keki tayari imekatwa nusu, kuumuuliza akasema nyumbani kwao wamekata! Nikasema sio case, tukakata pale kidogo na kuendelea kula chakula kingine! Muda wa kuondoka nashangaa anaibeba keki yote! Vipi???? Eti anawapelekea ofisini kwake!!!! Eeh kwakweli kuna vitu vinashangaza, nae alikula block


3. Huyu alikuwa kawaida tu! Siku tunatembea ‘evening walk’ kuna watoto wakawa wanacheza wakikimbizana huku na huku na kule! Wakawa kama wanatusumbua lakini si ni watoto who cares??? Eeh mwenzangu uvumilivu ukamshinda akampiga mtoto mmoja kwenzi zito sana. Mimi na watoto wengine ikabidi tumshangae, huku aliyepigwa akilia! Jamaa hana habari. Kwakweli baada ya tathmini baadae nikaona nimblock tu.
Mafia Latino huyo
 
Back
Top Bottom