Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

mwanaume untumia neno TYUUH! una matatizo gani mkuu?
 
Isingekuwa huu uzee, ningemtoa out for a date Kelsea au Hannah ili kufuta kumbukumbu mbaya juu ya dates zile mmeharibiwa...

Ukisoma visa vingi, mitoko imeharibika vile watu unapata ndio wamekutana kwa mara ya kwanza...

Watu wanakutana wapo na hobbies tofauti, preferences tofauti n.k
 
Hahaha me nilimvusha demu getoo ile nimemvua kila kitu nataka nikutanishe vikojoleo akapandisha mapepo, aisee siwezi sahau ile siku
...Kilichofuata ni ITV...?? Au Nini ??[emoji846][emoji846][emoji846]
 
Ngoja nitakuja na visa 2 vikaliiiii! Maisha haya daaah!
...Hukuwa na Haja ya Kutoa Taarifa kwanza! Ungengoja TU ukiwa na Nafasi ukavimwaga TU! Au unavitunga Kwanza??[emoji846][emoji846]
 
Nakumbuka mwaka jana nlitoka out na mdada nliekua nikimtamani siku nyingi, ila cha kushangaza toka tunakutana cha kwanza ananiambia yupo period, nikasema sawa mm nia yangu ni tujuane tu, tumeenda restaurant moja agiza msosi, story toka tumekaa mpaka tunasepa ni anaongelea period yake, mara damu zinatoka nyingi, mara tumbo linauma, mara ngoja nkajisafishe, mpaka mzuka wa msosi uliisha nikaomba nifungiwe take away nimrudishe mapema tu, sikuwahi kumuomba tutoke tena.
[emoji706][emoji706][emoji706]

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
B
Bahari ndani ya Manowari ya Kirussia....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mafia Latino huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…