Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rostam Aziz: Ninajiuzulu Ubunge nimechoshwa na Siasa Uchwara 🐼Wengine wanaona hilo ni kosa, hakutakiwa kujiuzulu, kama wengine wameharibu nae alitakiwa kukomaa hapo hapo, ikibidi serikali yote ianguke.
Suala la kujitoa mhanga kwa ajili ya wengine kwenye jamii yetu linaonekana ni ujinga tu, usijiwajibishe kwasababu hata ukigoma kuondoka, huwezi kuondoshwa.
Hili linakwenda moja kwa moja bila kujali nafasi uliyonayo serikalini, hasa kama ukiwa PM ambae unaonekana ndie mtendaji mkuu wa shughuli za serikali, kama ukijua unaongozwa na kiongozi mjanja mjanja, basi nawe kuwa mjanja kama yeye.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huyu msanii bwashee, alijua akiondoka bungeni akajikita kwenye biashara zake ndio atavuna zaidi, jana ameonekana Vatican na Samia!.Rostam Aziz: Ninajiuzulu Ubunge nimechoshwa na Siasa Uchwara [emoji209]