Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

Wengine wanaona hilo ni kosa, hakutakiwa kujiuzulu, kama wengine wameharibu nae alitakiwa kukomaa hapo hapo, ikibidi serikali yote ianguke.

Suala la kujitoa mhanga kwa ajili ya wengine kwenye jamii yetu linaonekana ni ujinga tu, usijiwajibishe kwasababu hata ukigoma kuondoka, huwezi kuondoshwa.

Hili linakwenda moja kwa moja bila kujali nafasi uliyonayo serikalini, hasa kama ukiwa PM ambae unaonekana ndie mtendaji mkuu wa shughuli za serikali, kama ukijua unaongozwa na kiongozi mjanja mjanja, basi nawe kuwa mjanja kama yeye.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Rostam Aziz: Ninajiuzulu Ubunge nimechoshwa na Siasa Uchwara 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…