Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He was recruiting them for major conspiracy, possibly changing constitutionCCM inaviongozi wengi makini lakini ajali ilitokea akaingia aliyeingia akatujazia watu wa ajabu bungeni infact it's a big LOSS, hasara kwa taifa hatuoni michango konki ya kibunge tuliyoizoea, Sijui kwanini alijaza watu wa aina ile na kwa lengo gani? (wagonga meza bah bah bah)
Hakuna haja ya kuuliza kama ni mzungu au mwarabu kwani kila kitu kipo wazi kabisa.MFALME ALIYELALA. Uso wa Seti I ni moja wapo iliyohifadhiwa vyema katika historia yote ya Kale ya #Misri. Alikufa miaka 3,298 iliyopita na alitawala wakati Misri ilipokuwa kwenye mojawapo ya vilele vyake vya ukwasi zaidi. Alikuwa baba wa mmoja wa mafarao maarufu wa wakati wote, #Ramesses II. Firauni mkuu wa wakati wote. Alipokufa, Mummification ya Misri ilikuwa kwenye kilele chake cha ukamilifu. Mara nyingi anachukuliwa kuwa #mummy aliyehifadhiwa vizuri zaidi ulimwenguni.View attachment 2289079