Kumbukumbu zangu: Leo nimetimiza miaka mitano(5) tokea nijiunge Jf

Kumbukumbu zangu: Leo nimetimiza miaka mitano(5) tokea nijiunge Jf

Nimevutiwa na huu uzi, inaonesha zamani mliifaidi sana!
Zamani Jf ilikuwa ukikosa siku mbili kuwepo lazima upagawe na kuwa na shauku ya kupigwa na mambo mengi mpaka kuna alikua hajatokea wiki nakumbuka akaweka uzi wa kupewa yaliyojiri na kutrend Jf kwa kuhisi atakua amepitwa na mengi .

Maana majukwaa yote yalikuwa na mzani sawa watu walikua wabunifu wa nyuzi nzuri hata zikiwa za utani zinajaa watu si mchezo full vibekwa ,inakua mpaka ukiingia jukwaani unajiuliza nianze na jukwaa lipi.
 
Sasa ni mwaka mwaka 6.

#NoBanIsMaintained
 
Haha mimi kama generation Z i swear nitakuwa front member kuhakikisha kuwa ajenda zangu zinakuwa pushed humu na process imeanza huu ni muda wetu gen Z kuitawala hii jf.

Kudos to me.
 
Haha mimi kama generation Z i swear nitakuwa front member kuhakikisha kuwa ajenda zangu zinakuwa pushed humu na process imeanza huu ni muda wetu gen Z kuitawala hii jf.

Kudos to me.
Jf ya sasa haina yenyewe kama zamani kipindi hiko Generation tulikuwa na Inferiority complex ,nikasoma gemu mapema nikaishi nao hivyo hivyo ila kizazi cha sasa cha kinaMpwayungu hakuna mipaka kama zamani.
 
Haha mimi kama generation Z i swear nitakuwa front member kuhakikisha kuwa ajenda zangu zinakuwa pushed humu na process imeanza huu ni muda wetu gen Z kuitawala hii jf.

Kudos to me.
Hahahahahhahahahhahhh ! Jamaa wewe ni bonge la Hater ,naona kampeni zako unawasagia watu kunguni kibabe sana na leo umesababisha mpaka selfika version tu kufutwa
 
BuHahahahahhahahahhahhh ! Jamaa wewe ni bonge la Hater ,naona kampeni zako unawasagia watu kunguni kibabe sana na leo umesababisha mpaka selfika version tu kufutwa
Lazima mkuu jf tamu sana asee. Yaani mtu asije akajiloga akaanzisha selfika version 2 ohoo ntahakikisha na yy anaonja ban.

😂😝😝😝 Watu wengine ni wajinga sana mkuu
 
Jf ya sasa haina yenyewe kama zamani kipindi hiko Generation tulikuwa na Inferiority complex ,nikasoma gemu mapema nikaishi nao hivyo hivyo ila kizazi cha sasa cha kinaMpwayungu hakuna mipaka kama zamani.
Ndo inavyotakiwa kuwa hivyo mkuu kila mtu awe equal hamna cha upendeleo wala nn.
 
Back
Top Bottom