Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Kama unaona kuchukua ubingwa wa CAF mwepesi,shiriki wewe ufike final..sio una ishia robo final tu.

Unatuletea medali za chuma za 93 ..watu tuma medali mpya za jana.

Unatuletea roho mbaya sisi nani aliyekuambia ushabikie kolo fc nanii.

Acha roho mbaya wewe pushy..
Fika final usituretee roho mbaya..
Eti vibonde vibondeee kwanza nicheke hapo.

Cheza na wewe tuone..
Harusi sio yako unawahi ukumbini.

Kolo kama kolo huwezi kuwa kama yanga milele utaishia robo tu.

Napigilia nyundo kolo ni wa robo finals tu.

Daima mbele nyuma mwikooo
 
Hapo kwenye medali ya CUF umemaliza yote. Mlioujua mpira ukubwani pole yenu.

FB_IMG_1685844888703.jpg
 
Wale wenye akili wote wako pamoja na mashabiki wa Yanga. Ila wale mbumbumbu, ndiyo wanahangaika humu jukwaani. Hivyo tunatakiwa kuonesha ukomavu kwa kuwapuuza.
 
Back
Top Bottom