Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
hilo ndilo jambo la msingi kabla hujaamua kufanya jambo lolote,usiamue kwa hear say ila uamue kufanya kitu kwa kuwa umethibitisha kuona mabadiliko yanayoshtua.
Kwa kila jambo kabla ya kulifanya ni vizuri ukazichanga karata zako vizuri ili ujue the donts and dos...
Siwezi tu kukaa kijiweni nikaambiwa 'manesi' ni malaya..and then from nowhere naanza upekuzi na ukaguzi kwa mkewangu nesi usio na ushahidi wa kutosha..Kama kuna dalili tosha kuwa my partner amekengeuka..no wonder i will start 'uspy'..Si umemsoma Nyamayao hapo juu..