asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Ninachojiuliza hapa ni kuwa ..je,wakti unaweka huo udhibiti wa kulinda ,ali yako na yeye mlengwa anakuwa anajua kuwa hiki alichonifanyia mwenzi wangu ni kwa kuwa ananipenda?..au kaniona ni 'easy go' nisiyeweza kujisimamia..kuna uzuri wa mkubwa sana wa kuhakikisha mali yako inabaki kuwa ya kwako..Tatizo linaweza kuwa njia unazotumia 'kudhibiti' hiyo mali ibakie kuwa ya kwako..je, zinawaweka karibu au zinaacha maswali mengi kuliko majibu..Fikiria unamzuia mkeo kwenda hata kwenye vikao vya kina mama kisa atakutana na 'mishangingi' ya mjini..
mkuu mimi nilikuwa naongelea Generally ,,,,,, mwisho wa siku unapokuwa na mwenzi wako unaindividualize how you
treat him/her..................
belive me or not kuna kina mama ambao wakienda kwenye hivyo vikao wanaharibikiwa au kuna wababa wakikutana Bar na kundi fulani la watu wanakuwa wehu..........kwahiyo inategemea na mwezi wako uliyenaye , huwezi ukamtreat mwanamke A , the same way unavyomtreaty mwanamke Z au D n.k