Kumdhibiti mpenzi wako!!...ni woga au ndo mapenzi??

hilo ndilo jambo la msingi kabla hujaamua kufanya jambo lolote,usiamue kwa hear say ila uamue kufanya kitu kwa kuwa umethibitisha kuona mabadiliko yanayoshtua.
 

Bob Lee Swagger ..to be honest nimekuwa kwenye relationships zisizozidi mbili mpaka sasa.
Japo sijawahi kuwa hurt ..lakini kupitia experience mara nyingi...from the get go mnatakiwa mjuane na mfahamiane vizuri nini mnataka na nini hamtaki..Bahati mbaya kuna mmoja anaweza kumpa mwenzi wake matumaini yasiyo asilia..pengine lengo ni kum-win..kwa mazingira kama haya..wala haichukui muda utaanza kuona 'clues' kuwa ..mwenzangu hatuko pamoja. Sasa ili kujiridhisha ndo unaweza fanya 'uspy' kujua kama ukionacho ndicho!....Ninachoona huwa tunaharibu mambo toka siku ya kwanza!...lakini kingine tunachokosea ni vile kudhani..you can win somebody's heart by compelling her to what you desires..you need to convince not to compell au kudhibiti!!.............
 
Last edited by a moderator:

Unaposema tunaharibu toka siku ya kwanza una maana gani?
Say, wewe umempenda msichana, utafanyaje siku ya kwanza?! ili usiharibu.

Binafsi, kwangu maisha ya mapenzi ni sawa na maisha mengine ya kila siku.

Naomba nikupe mfano;


Umejenga nyumba, hujui kama wezi wana mpango wa kuja kukuibia ama la ila unajenga ukuta mrefu kabisa. Kisha kuona kama hiyo haitoshi unaamua kuwa na kampuni ya ulinzi na/au kufuga na mbwa! Je huo ni uoga?


Unapokuwa umelala usiku ukasikia mbwa anabweka ukiamka kuchungulia dirishani, huu nao pia ni uoga?


Ama panapokuwa na upepo wakati umelala ndani na upepo huo umesababisha mabati yakagongana banda la uani ukiamka ukawasha taa kuangalia nje ni uoga?


Hakuna binadamu anayepanda kuumizwa! Kila kitu kinahitaji tahadhari. Na kutumia akili wakati wote.
Hisia hazionekani ni imani yetu tu, so nenda hatua zaidi ya kuamini sio vibaya! Walau utayaona wakati yanakuja...!
 
 
haaaaahaaaaaaaahaaaaaaa umetisha dada yangu na nimekuelewa vizuri sina nyongeza na kwa kweli ndivyo ilivyo kumlinda linda mtu wala si tija mtu mwenyewe akishajua kipi kinafaa na kipi hakifai bassiii mambo yote yanaenda vizuri tu.

halafu mie nina mwanaume yule wa dizaini mkikwaruzana lazima mnamalize ndio mtoke ndani, yaani atasema/bembeleza wee, mkitoka nje mtasema couple si ndio hii? hapo wengine tulilala na jeans, mweh mweh kweli wacha tu sasa hivi nipumue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…