Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Hahaha mi mstaafu kijana natoa mawaidha na uzoefu tu! Nina watoto wanaoa sasa hivi so hamna cha kunicost nishakula za kutosha na sasa navuta kumbukumbu tu na kuasa vijana kama wewe unaeweza kupoteza mwelekeo kwa sababu ya k tu! Tena ya mtu mwingine, unataka umpangie atumieje kiungo chake yani uchukue uhuru wa mtu mwingine na wako ubaki nao! Utoto huo...
BASI HUFAI KUWA BABU MAANA UNAWAPOTEZA WAJUKUU ZAKO KWENYE HILI, KWA SABABU WEWE ULIFANYA NA HAUKUPATA MASWAIBU HAIMAANISHI UKO SALAMA NA HAIMAANISHI HAO WATOTO WAKO AU WAJUKUU ZAKO HAWATAKUTANA NA HIYO KADHIA
 
nyie watoto wa afmbili ni vigumu sana kuelewa haya mambo, mke ni mali kama mali zingine unazozijua wewe so ukikamatwa nae jua wewe ni mwizi na unastaili adhabu nzuri kabisa ambayo itakutia adabu either katika maisha yako yote au ahera.
yani wanawake wote hao huwaoni mpaka uanze kunyemelea wake za watu? come on

siku ukijichanganya ndio utajua ujui
 
Hahaha mi mstaafu kijana natoa mawaidha na uzoefu tu! Nina watoto wanaoa sasa hivi so hamna cha kunicost nishakula za kutosha na sasa navuta kumbukumbu tu na kuasa vijana kama wewe unayeweza kupoteza mwelekeo kwa sababu ya k tu! Tena ya mtu mwingine, unataka umpangie atumieje kiungo chake yani uchukue uhuru wa mtu mwingine na wako ubaki nao! Utoto huo...
kwaiyo mkuu ukimfumania mkeo anakuchiti unachukua hatua gani
 
SUMU, UZURI WAKE HATA UKIENDA POLISI KWAMBA NIMELAWITIWA KWA SABABU NILITEMBEA NA MKE WA MTU, UNAKULA VIRUNGU, LABDA UFE TULIOBAKI NDIO TUTAANZA KESI LAKINI WAKATI HUO WEWE UMESHAKUFA
Polis ipi hiyo inaua aliyefumaniwa?! Ukioa Mwanamke Malaya asiyejiheshim au kuheshim ndoa yake sijui utapambana na Wanaume wenzio kwenye fumanizi mara ngapi!
 
Umeongea jambo jema sana. Mke kakubali mwenyewe na anatoa ushirikiano, anaikatikia, anairamba, anaichomeka mwenyewe. Mwenye kosa ni nani hapo? siwezi kuua kisa mtu aliyeamua mwenyewe kwenda kugawa mwishoe nitamuacha uraiani mke huku akiendelea kuliwa mi nikiwa segerea.
 
Vitu vingine kwenye maisha huwa ni mitego ili kuleta roho ya mauaji kwenye ukoo au familia yenu baada ya kusikiliza shuhuda mbalimbali imenisaidia sana hata nimkute mwenza wangu ndani na hawara yake siwezi ua mtu huo ni mtego tawaacha waendelee
 
Hakuna tusi kubwa ambalo mwanamke anaweza kukufanyia zaidi ya hili na ukiligundua ujue kwamba alidhamiria na kaamua liwalo na liwe so ni akili yako tu kuamua kuwa mwanaume au choko! Una majibu mawili tu kurushilia mbali na kuanza upya au kwenda kulialia kubembeleza tena na pengine kuchukia au kudhuru mwanaume mwingine na kuharibu maisha na ramani zako zote jumla! Ukiachana naye ni muda tu utakutibu na utakua stronger zaidi ukijishusha utaugua maisha yako yote (au utayapoteza kbs) na atakufanya boya na ataendelea sasa kwa uwazi zaidi!
 
Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji wa mumewe baada ya kufumwa ugoni.
Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.
Ni msiba mzito kumpoteza mume kisa nyege pia ni trauma haifutiki kwenye akili ndo mjue Pana watu makatili duniani.
Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu hamuelewi hadi ukiwekwa mtu kati,inaiacha trauma familia yako, watoto wako,mke wako kisa nyege tu za dk Tano.
Unapochepuka tu tayari umeshafungulia mlango wa uharibifu katika ndoa yako hata uwe mjanja vipi itapita miaka ni lazima tu itakuja julikana kupitia Roho Mtakatifu yeye huweka ya gizani ya sirini peupe.
 
Back
Top Bottom