Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

CHA MUHIMU NI KUJUA KUWA MKE WA MTU NI SUMU, HAYO UTAYAJADILI WAKATI NI MAREHEMU, WAKATI UMETENDWA VIBAYA, UTASEMA ALIKUBALI KWA HIARI YAKE.

NI SAWA NA UKIKAMATWA NA MWANAFUNZI IWE ALIKUJA MWENYEWE AKAKULAZIMISHA ILA UKIDAKWA NI MIAKA 30 JELA, HAPO JUKUMU NI LAKO KUKAA MBALI NA WANAFUNZI, NDIO ILIVYO HATA KWA MKE WA MTU. USIJE SEMA HATUJAKUAMBIA
Jibu mujarabu kabisa👏👏👏
 
Kweli kabisa.
Nina binamu yangu wa kiume alimchalanga kijana wa watu kisa kasikia anatembea na mke wake, nusu aue.

Ikaja kujulikana mkewe alishawishika na kitimoto anayouza kijana.
Hivyo alimwambia kijana wewe uwe unanipa kitimoto mimi kwangu utakuwa unajitwangia utakavyo.
Na huo ukawa mkataba wao. Kijana alikuwa anajigeuzia mama wa watu atakavyo.
Ah hawa viumbe wana karaha nyie.
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Na kutongoza mke wa mtu wakati makahaba wapo ni matumizi mabaya ya Akili.

Jichanganye ubebe mke wa mtu utiwe Kiguzi kwenye Mataa ya Koo yako.
 
Mke wa mtu kumkubalia mwanaume mwingine ni kosa kubwa, mwanamke ndie mwenye makosa. Ina maana hatoshelezwi na bwana wake. Kuna siku atamuondoa huyo bwana ili awe huru zaidi.
 
WEWE JIFARIJI HUMU, UTAKAPOKUTANA NA HUKUMU YA WANANCHI WENYE HASIRA KALI, HAYA UNAYOONGEA HAYATAKUWA NA MAANA WAKATI HUO UMEHARIKIWA AU UMEFARIKI KWA AIBU.

MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.

MKE WA MTU NI SUMU HAIJALISHI NI MALAYA AU NI BIKRA, WEWE CHA KUOGOPA NI HIYO SUMU
Kuna wasiotumia akili zao vizur wakisingizia hasira kali wewe hapo unaweza kuwa mmoja wao.
 
Back
Top Bottom