Ni kweli japo vichwa ngumu watabisha.Ni ulimbukeni na upumbavu kwa mwanaume kupigana na kudhuriana kwa sababu ya mwanamke tena mtu mzima mliyekutatana na kufahamiana ukubwani, tena wapo wengi na wengine wanazaliwa kila siku, period.
BASI HUFAI KUWA BABU MAANA UNAWAPOTEZA WAJUKUU ZAKO KWENYE HILI, KWA SABABU WEWE ULIFANYA NA HAUKUPATA MASWAIBU HAIMAANISHI UKO SALAMA NA HAIMAANISHI HAO WATOTO WAKO AU WAJUKUU ZAKO HAWATAKUTANA NA HIYO KADHIAHahaha mi mstaafu kijana natoa mawaidha na uzoefu tu! Nina watoto wanaoa sasa hivi so hamna cha kunicost nishakula za kutosha na sasa navuta kumbukumbu tu na kuasa vijana kama wewe unaeweza kupoteza mwelekeo kwa sababu ya k tu! Tena ya mtu mwingine, unataka umpangie atumieje kiungo chake yani uchukue uhuru wa mtu mwingine na wako ubaki nao! Utoto huo...
kwaiyo mkuu ukimfumania mkeo anakuchiti unachukua hatua ganiHahaha mi mstaafu kijana natoa mawaidha na uzoefu tu! Nina watoto wanaoa sasa hivi so hamna cha kunicost nishakula za kutosha na sasa navuta kumbukumbu tu na kuasa vijana kama wewe unayeweza kupoteza mwelekeo kwa sababu ya k tu! Tena ya mtu mwingine, unataka umpangie atumieje kiungo chake yani uchukue uhuru wa mtu mwingine na wako ubaki nao! Utoto huo...
Namuachia aliyeamua kuwa naye nasonga mbele kiongozi! Kama Mzee Ayubu tu, mbona wapo reserve kibao tu wanasubiri akosee? yani mwanaume nilie kisa mwanamke kagawa mchuzi wake kwa mwanaume mwingine? Hell NO, wanazaliwa kila siku wanasubiri tukwaiyo mkuu ukimfumania mkeo anakuchiti unachukua hatua gani
kwanini umuache sasa wakati kaamua kutumia utu uzima wake kurefresh kidogo tena kwa mapenzi yakeNamuachia aliyeamua kuwa naye nasonga mbele kiongozi! Kama Mzee Ayubu tu, mbona wapo reserve kibao tu wanasubiri akosee?
Keshaona sitoshi so nasogea mbele kuchukua anayeona natosha period, hamna mjadala hapo!kwanini umuache sasa wakati kaamua kutumia utu uzima wake kurefresh kidogo tena kwa mapenzi yake
Hii ndiyo kanuni yangu hata mimi.Namuachia aliyeamua kuwa naye nasonga mbele kiongozi! Kama Mzee Ayubu tu, mbona wapo reserve kibao tu wanasubiri akosee? yani mwanaume nilie kisa mwanamke kagawa mchuzi wake kwa mwanaume mwingine? Hell NO, wanazaliwa kila siku wanasubiri tu
Polis ipi hiyo inaua aliyefumaniwa?! Ukioa Mwanamke Malaya asiyejiheshim au kuheshim ndoa yake sijui utapambana na Wanaume wenzio kwenye fumanizi mara ngapi!SUMU, UZURI WAKE HATA UKIENDA POLISI KWAMBA NIMELAWITIWA KWA SABABU NILITEMBEA NA MKE WA MTU, UNAKULA VIRUNGU, LABDA UFE TULIOBAKI NDIO TUTAANZA KESI LAKINI WAKATI HUO WEWE UMESHAKUFA
Kweli huyo bado ni limbukeni na akili sifur. Huyo mke wa Mtu anatembea akiwa na alama ya ndoa? Suluhisho kwa Mwanamke malaya asiyemheshim Mumewe ni kutoswa na siyo kumpambania.Unacheza kijana na unaonekana bado limbukeni wa mapenzi, tunakufundisha tu chukua au acha!
Wee nae ndio fimbo yako hiyo kila mara wanichapa nayo kuwa sina hela.What can you bring to the table😹apart from mti😂
Maana ulisema huna hela