Sijasoma mkuu ila kutembea na mke wa mtu mpaka ufumaniwe na kujifanya ulikuwa hujui sijui haina lebel hakuitaji degree.Darasa la ngapi wewe? Umeelewa somo? Ulikua unashika nafasi ya ngapi darasani kwako?
Jibu mujarabu kabisa👏👏👏CHA MUHIMU NI KUJUA KUWA MKE WA MTU NI SUMU, HAYO UTAYAJADILI WAKATI NI MAREHEMU, WAKATI UMETENDWA VIBAYA, UTASEMA ALIKUBALI KWA HIARI YAKE.
NI SAWA NA UKIKAMATWA NA MWANAFUNZI IWE ALIKUJA MWENYEWE AKAKULAZIMISHA ILA UKIDAKWA NI MIAKA 30 JELA, HAPO JUKUMU NI LAKO KUKAA MBALI NA WANAFUNZI, NDIO ILIVYO HATA KWA MKE WA MTU. USIJE SEMA HATUJAKUAMBIA
Ah hawa viumbe wana karaha nyie.Kweli kabisa.
Nina binamu yangu wa kiume alimchalanga kijana wa watu kisa kasikia anatembea na mke wake, nusu aue.
Ikaja kujulikana mkewe alishawishika na kitimoto anayouza kijana.
Hivyo alimwambia kijana wewe uwe unanipa kitimoto mimi kwangu utakuwa unajitwangia utakavyo.
Na huo ukawa mkataba wao. Kijana alikuwa anajigeuzia mama wa watu atakavyo.
Acha tu. Acha twende nao hivyohivyo.Ah hawa viumbe wana karaha nyie.
Unagongewa tu ni vile hujui kaa kwa kutulia kama umeoa mpenda wanaume lazima watamdinya.kila mtu analinda chake , mtu aliyeoa mke ni mali yake ...Mambo ya kushare ibaki kweny usafiri wa umma tu basi.
Na kuna muda ilichomoka akaichomeka 😂Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
🤣🤣🤣 Halafu ukamuue mmoja huyu mwingine unakula nae msosi jioni.Na kuna muda ilichomoka akaichomeka 😂
Dawa n kupiga chini tu🤣🤣🤣 Halafu ukamuue mmoja huyu mwingine unakula nae msosi jioni.
Halafu ukishapiga chini maisha yanaendelea tu kama kawaida.Dawa n kupiga chini tu
Upo sahihi mkuuHalafu ukishapiga chini maisha yanaendelea tu kama kawaida.
Mtu ambae anasema kumuacha mtu anaempenda ni vigumu simkatalii, lakini namuona kwamba hajakuwa kifikra na kihisia (hata kama ana miaka 70)
Na kutongoza mke wa mtu wakati makahaba wapo ni matumizi mabaya ya Akili.Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Kuna wasiotumia akili zao vizur wakisingizia hasira kali wewe hapo unaweza kuwa mmoja wao.WEWE JIFARIJI HUMU, UTAKAPOKUTANA NA HUKUMU YA WANANCHI WENYE HASIRA KALI, HAYA UNAYOONGEA HAYATAKUWA NA MAANA WAKATI HUO UMEHARIKIWA AU UMEFARIKI KWA AIBU.
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
MKE WA MTU NI SUMU HAIJALISHI NI MALAYA AU NI BIKRA, WEWE CHA KUOGOPA NI HIYO SUMU
Usiseme mkeo sema mke wako wewe hajabakwa anashiriki ngono kwa mapenzi take.Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
SawaUsiseme mkeo sema mke wako wewe hajabakwa anashiriki ngono kwa mapenzi take.
HAYO UTAKUWA UNAONGEA WAKAT USHAANZA KUTUMIA PAMPERS, AU USHAKUWA MAREHEMU
Mke wa mtu ni Sumu
Jipe Moyo ukikutwa utasema haya wakati domo limevimbaTatizo mnachukua mali za umma na kujimilikisha. You can't turn a hoe into a wife, utagombana na watu wangapi?