Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Mimi kwanza huwa sigombani na mwanaume mwezangu kisa mwanamke never kwa sababu mwanamke anajua ni mke wa mtu anatongozwa ni uamzi wake kukubali au kukataa huwa nawashanga a mtu unapigana na mwanaume mwenzako kisa mwanamke
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Mleta mada tujue kwanza upande wako ni upi

Umechukuliwa mke? Au

Umelala na mke wa mtu?

Ili tujue tunakushaurije
 
Unaweza washangaa lakini hata wao walikuwa na mtazamo huu ndio maana kwenye ulimwengu huu epuka mapenzi yakutawale epuka kupenda hivyo na kupenda hakuepukiki
Ni ulimbukeni na upumbavu kwa mwanaume kupigana na kudhuriana kwa sababu ya mwanamke tena mtu mzima mliyekutana na kufahamiana ukubwani, tena wapo wengi na wengine wanazaliwa kila siku, period.
 
Umejitahidi kueleza but all irrelevant, huyo mkeo wa kukuletea njemba nyumbani kwako atakua alishakufanya ndondocha na atakua hakuanza siku hiyo!
Yawezekana ikawa ni hivyo, lakini issue siyo hiyo sasa.
Issue niliyoijibu ilikuwa... 'Kupigana ni ulimbukeni na upumbaf'....
 
Mkuu tupe matokeo saa moja jioni inapita hii.
 
Mleta mada tujue kwanza upande wako ni upi

Umechukuliwa mke? Au

Umelala na mke wa mtu?

Ili tujue tunakushaurije
Asante mkuu.
1. sikuandika hapa ili kuomba ushauri.

2. tangu nimeanza kufanya mapenzi sijawahi kufanya mapenzi na mke wa mtu.

3. Nilishawahi kufanyiwa hivi Tuu yiaz agoo, msimamo wangu ukibaki hivi nilivoandika.
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…