Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

Mimi kwanza huwa sigombani na mwanaume mwezangu kisa mwanamke never kwa sababu mwanamke anajua ni mke wa mtu anatongozwa ni uamzi wake kukubali au kukataa huwa nawashanga a mtu unapigana na mwanaume mwenzako kisa mwanamke
 
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.

Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Mleta mada tujue kwanza upande wako ni upi

Umechukuliwa mke? Au

Umelala na mke wa mtu?

Ili tujue tunakushaurije
 
Unaweza washangaa lakini hata wao walikuwa na mtazamo huu ndio maana kwenye ulimwengu huu epuka mapenzi yakutawale epuka kupenda hivyo na kupenda hakuepukiki
Ni ulimbukeni na upumbavu kwa mwanaume kupigana na kudhuriana kwa sababu ya mwanamke tena mtu mzima mliyekutana na kufahamiana ukubwani, tena wapo wengi na wengine wanazaliwa kila siku, period.
 
Umejitahidi kueleza but all irrelevant, huyo mkeo wa kukuletea njemba nyumbani kwako atakua alishakufanya ndondocha na atakua hakuanza siku hiyo!
Yawezekana ikawa ni hivyo, lakini issue siyo hiyo sasa.
Issue niliyoijibu ilikuwa... 'Kupigana ni ulimbukeni na upumbaf'....
 
Mimi ni nani hata nikatae wakati wajumbe mmeniamini.

Kufikia saa moja jioni nitafunga uzi kwa muda ili nitangaze matokeo ya vita yenu (HT), halafu nitawaacha muendelee kuzichapa

Anyway, niwaibie siri tu waliopo kwenye ndoa ni wachache ila ndo wanaongoza kwa idadi ya comments, yaan ni walewale ila wanajibu kila comment inayokuja mbele yao
Mkuu tupe matokeo saa moja jioni inapita hii.
 
Mleta mada tujue kwanza upande wako ni upi

Umechukuliwa mke? Au

Umelala na mke wa mtu?

Ili tujue tunakushaurije
Asante mkuu.
1. sikuandika hapa ili kuomba ushauri.

2. tangu nimeanza kufanya mapenzi sijawahi kufanya mapenzi na mke wa mtu.

3. Nilishawahi kufanyiwa hivi Tuu yiaz agoo, msimamo wangu ukibaki hivi nilivoandika.
 
Malaya mkeo anayegawa na wewe ni mpumbavu unayefikiri kitu ulichokikuta kwa binadamu mwingine ni mali yako! Kalagabaho, yani abebe kiuno mtu mwingine akatoe kwa raha zake we ukimbizane na mtu usiyemjua una kasoro sana, ndo maana tunasema watz ni nyani ambao bado wapo kwenye process ya kuwa binadamu miaka ijayo.
Duh!
 
Back
Top Bottom