Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba haizuiiii kitu chochoteAh hafu nilisahau unataka kutongoza wakati una mimba yangu?
realMamy
BAHATI MBAYA HATUFAHAMIANI, ILA WENGINE TUMEONA MENGI KUHUSU HIVYO VISA, KILICHOBAKI NI KUONYA TU, KAMA UNA HIYO TABIA ACHA, WANAWAKE WAKO WENGI, LAKINI ETI UKIKOMAA KWA SABABU YA HIZO CHEAP EXCUSES ITAKUKOSTI, KWA MAWAZO YAKO UNAFIKIRI HUYO ANAYEKUPIGA ANAKUWA ANAFIKIRI KUWA UMEMBAKA MKE WAKE?Unacheza kijana na unaonekana bado limbukeni wa mapenzi, tunakufundisha tu chukua au acha!
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Loh sawaMimba haizuiiii kitu chochote
Wanasema msiba ni mzuri kwa mwenzako sio kwako.Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family.
Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
Sijakataa ila kumdhuru mtu kisa kangonoka na mkeo ni MATUMIZI MABAYA YA AKILIMke wa mtu ni Sumu
'Haujafa haujaumbika', 'usilolijua ni usiku wa giza' na misemo mingi kadha wa kadha inayokutahadharisha binadamu kutokuamini hali ama mazingira flani kwa sababu hali na mazingira hubadilika.Ni ulimbukeni na upumbavu kwa mwanaume kupigana na kudhuriana kwa sababu ya mwanamke tena mtu mzima mliyekutatana na kufahamiana ukubwani, tena wapo wengi na wengine wanazaliwa kila siku, period.
Hahaha mi mstaafu kijana natoa mawaidha na uzoefu tu! Nina watoto wanaoa sasa hivi so hamna cha kunicost nishakula za kutosha na sasa navuta kumbukumbu tu na kuasa vijana kama wewe unayeweza kupoteza mwelekeo kwa sababu ya k tu! Tena ya mtu mwingine, unataka umpangie atumieje kiungo chake yani uchukue uhuru wa mtu mwingine na wako ubaki nao! Utoto huo...BAHATI MBAYA HATUFAHAMIANI, ILA WENGINE TUMEONA MENGI KUHUSU HIVYO VISA, KILICHOBAKI NI KUONYA TU, KAMA UNA HIYO TABIA ACHA, WANAWAKE WAKO WENGI, LAKINI ETI UKIKOMAA KWA SABABU YA HIZO CHEAP EXCUSES ITAKUKOSTI, KWA MAWAZO YAKO UNAFIKIRI HUYO ANAYEKUPIGA ANAKUWA ANAFIKIRI KUWA UMEMBAKA MKE WAKE?
'Haujafa haujaumbika', 'usilolijua ni usiku wa giza' na misemo mingi kadha wa kadha inayokutahadharisha binadamu kutokuamini hali ama mazingira flani kwa sababu hali na mazingira hubadilika.
Labda nikuulize: ukikuta watu wawili wakipigana, je wote huwa ni waanzilishi wa ugomvi huo?
Je ukikuta ajali, magari mawili yamegongana, madereva wote wawili wa magari hayo huwa wamesababisha ajali hiyo nk nk?
Kupigana siyo ulimbukeni wala upumbaf kwa sababu unaweza kupigana kwa kuchokozwa ama kusababishiwa.
Kwa mfano: umerejea nyumbani, huna hili wala lile, ukakuta njemba ilikuwa ikizini na mkeo, ujio wako wa ghafla tayari umeibananisha haina pa kutokea, ghafla ikaanza kukuporomoshea masumbwi ya pua yenye kukera, utabakia ukisema 'ewaalah bwana'?
Umerusha sumbwi lako la shoto, jamaa limempata kwenye chembe, chali ukidhani umemuweza na atazinduka baadaye kaufyata.
Jamaa haamki na keshakata moto, umeua.
Enhe, hapo tukuite 'limbukeni na mpumbaf', maana kisababishi ni hicho hicho mwanamke?
Nishawahi kutombewa mke mkuu na sikusumbuka kudili na mwanaume mwenzangu.Wanasema msiba ni mzuri kwa mwenzako sio kwako.
Siku yakikukuta nahisi utajaza page hapa JF.
Kuna jamaa mmoja alikuwa kama wewe kusema hivyo ila siku yalimkuta alishindwa kutumia akili zako mwisho kajinyonga.
Kwa tunaoelewa wewe unaongea hapa kujiona yamekukuta.Nishawahi kutombewa mke mkuu na sikusumbuka kudili na mwanaume mwenzangu.
Nilijiuliza tu kama ninitadili na wanaume wangapi ambao mke wangu atawapa lango lake kwa hiari yake! Jibu nikapata ni wengi.. ngoja nikomee hapa.
Yapi ya kudhuriwa au?Kwa tunaoelewa wewe unaongea hapa kujiona yamekukuta.
Kwa Tanzania yetu hii akili itachelewa sana imagine tunasema mke wa mtu sumu....saaa mke wangu karidhia hajabakwa nashuughulikia mtombaji afy naja nyumbani kugonga cheers na mke? Ndivyo upend wetu utanoga? Mi sielewi muraKabisa kiongozi NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI
Mkuu umetoa mfano wa kwenye maigizo kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣'Haujafa haujaumbika', 'usilolijua ni usiku wa giza' na misemo mingi kadha wa kadha inayokutahadharisha binadamu kutokuamini hali ama mazingira flani kwa sababu hali na mazingira hubadilika.