😀😀 me kazi yangu moja tu, kukujaza moyo, tumbo, kifua akili etc..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unavyopenda kunijaza we mwanaume
Dahh wee acha Tu ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka eti nina gundu mimi
Haha aise .wakubwa tume kuelewa😀😀 me kazi yangu moja tu, kukujaza moyo, tumbo, kifua akili etc..
Rose mhando kwenye peak yake aliwahi imba hivii!!Haha yule mbebez ndio kakufanya mpaka umemsahau shunie kiasi hicho ... Mimi nilikwambia lakini ..mademu wa sinza sio wazuri watakuteka ukanibishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa ' kwa hiyo huo ujumbe wako nikusaidie kuufikisha kwa nani ?Rose mhando kwenye peak yake aliwahi imba hivii!!
...Nakuulizaa shetani umepata wapi mamlaka ya kuniharibia kiasi hiki weeee!!.... [emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Boss wangu Shunie tuuNdio umeshaachwa hivyo ... Wick kaongezwa cheo kazini na mshahara umepanda ... Basi sasa hivi anaongozwa na kichwa cha chini ...kila skirt anayoiona lazima asimamishe gari ..haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja aje hapa tumsikie ...isije kuwa unampaka mafuta kwa style ya mgongo wa chupaBoss wangu Shunie tuu
wapolooo wapolooo.. eeehh!!Aisee ... Wick wee mzee weee
Nitamleta kwako umfunde kwanza " ili hata akinikuta nachepuka ... Aniambie haya baby inatosha sasa turudi zetu nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mkuu unafaidi sana ... nipigie pasi basi kwa mdogo wake Shunie angalau na mimi ndugu yako nipate kujitoa kimaso maso " kwenye huu u,- bachela sugu ... Shunie kila niki mwambia anipigie pasi hatakiwapolooo wapolooo.. eeehh!!
wataalamu wa MAGAZIJUTO utawajua tu!..
bora tuuziwe bunduki bei ndogo.Hahaa ' kwa hiyo huo ujumbe wako nikusaidie kuufikisha kwa nani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anavyokujua we nenda jukwaa la intro katafuta new membaz tu..Haha mkuu unafaidi sana ... nipigie pasi basi kwa mdogo wake Shunie angalau na mimi ndugu yako nipate kujitoa kimaso maso " kwenye huu u,- bachela sugu ... Shunie kila niki mwambia anipigie pasi hataki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mbavu zanguKwa anavyokujua we nenda jukwaa la intro katafuta new membaz tu..
Sema kweli babe😀😀 me kazi yangu moja tu, kukujaza moyo, tumbo, kifua akili etc..
Uziguani pasikie tu rafiki.Hahaha ... nili connect dots " jinsi ulivyomjaza .tumbo .akili.mashavu .na miguu yule manzi wa kipindi kile ..nikaona eehh mzee baba wataka kuhamishia maujuzi yako kwa mtoto wa kizigua
Amemaanishaje eti