Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Haha yule mbebez ndio kakufanya mpaka umemsahau shunie kiasi hicho ... Mimi nilikwambia lakini ..mademu wa sinza sio wazuri watakuteka ukanibishia

Sent using Jamii Forums mobile app
Rose mhando kwenye peak yake aliwahi imba hivii!!

...Nakuulizaa shetani umepata wapi mamlaka ya kuniharibia kiasi hiki weeee!!.... 🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎶
 
Rose mhando kwenye peak yake aliwahi imba hivii!!

...Nakuulizaa shetani umepata wapi mamlaka ya kuniharibia kiasi hiki weeee!!.... [emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Hahaa ' kwa hiyo huo ujumbe wako nikusaidie kuufikisha kwa nani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wataalamu wa MAGAZIJUTO utawajua tu!..
Hahaha ... nili connect dots " jinsi ulivyomjaza .tumbo .akili.mashavu .na miguu yule manzi wa kipindi kile ..nikaona eehh mzee baba wataka kuhamishia maujuzi yako kwa mtoto wa kizigua
 
Kwa anavyokujua we nenda jukwaa la intro katafuta new membaz tu..
Hahaha mbavu zangu
ltaja5814BKy6z43_bm_If8Fco4wl8q9SbAMj6CnmnkMubZyvFKS8RmraQtfkH1wBhhiWAGBHlAl6CNM76T4Shu1bqG_X...jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom