Haha yule mbebez ndio kakufanya mpaka umemsahau shunie kiasi hicho ... Mimi nilikwambia lakini ..mademu wa sinza sio wazuri watakuteka ukanibishiaJina lako lilikuwepo kabisa hapo, hearly kalitoa itakuwa!.
Naanzaje kukusahau sasa!!
Kweli zama zimebadilika acha nijikalie pembeni mie
HahaHivyo hivyo bwana nataka kuwa kama nyinyi sitaki kuwa kama Ngabu nitazeeka haraka
Asante mkuu -- nashukuru sanaMimi ndio naamka etii...
Salam klabu ziende kwa...
●Blaki womani
●Mr Miller my bro
●Bbade my dada
●Wick zee la muvii
● Hearly Broh..
●Chaliifransisco chalii angu ya ela oteee toka mbaude..
●Malcom lumumba zee la senene.
●Na wengineo wengiii Have a siku njema wapendwa
....Natuma salamu zangu za dhati kabisa kwa Jey Efu members wote!
Ujumbe: N.yege ni ku.nye.gezana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wana jifanya wame kusahau ... tatizo una ma-bebez wengi sanaInamaana mimi hamnioni...!!??[emoji17] [emoji17] View attachment 1013959
Hehehe daah kama shahru khana duhhSi ndo umuhimu wako unapoonekana!.. Nikisahau unakumbuka, ukisahau nitakumbuka!.
Mkuu nakuelewa sana ... nashukuru kwa salamu ...zirejee kwako pia
Lol ..asanteAmeeen mtoto mzuri, na ukawe na jioni iliyo bora kabisa.
Nikweli mkuu, lakini wewe umenizidi kwa ma-babe's....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Lol -- hapa utakuwa unatania bila shaka ...hahaNikweli mkuu, lakini wewe umenizidi kwa ma-babe's....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Haha afadhali nimepata uhakika kwamba kumbe ulikuwa unatania kweli[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Salamu zangu kwa
Mr Miller
Baby doll
Espy
Cut b
Aspirin
Shunie
Manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuwa kama sisi " inaelekea umevutiwa na maamuzi yetu ya kuamua kuokoka "....., karibu kwa bwana mpendwa Shunie ..haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha yule mbebez ndio kakufanya mpaka umemsahau shunie kiasi hicho ... Mimi nilikwambia lakini ..mademu wa sinza sio wazuri watakuteka ukanibishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuuu mjikute tu mnaokoka