Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Hivyo hivyo bwana nataka kuwa kama nyinyi sitaki kuwa kama Ngabu nitazeeka haraka
Haha
P-rp_j4UQf3LEBmnRMG_Ms_v8lqeKZ7S1MQ2PW_axGpUfPtINGBc8mqQEcKzVTdLKkSHpgoSE-Pm5HEN4of9Z0886dJg_...jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ndio naamka etii...
Salam klabu ziende kwa...
●Blaki womani
●Mr Miller my bro
●Bbade my dada
●Wick zee la muvii
● Hearly Broh..
●Chaliifransisco chalii angu ya ela oteee toka mbaude..
●Malcom lumumba zee la senene.
●Na wengineo wengiii Have a siku njema wapendwa
Asante mkuu -- nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom