hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
- Thread starter
- #161
Haha yule mbebez ndio kakufanya mpaka umemsahau shunie kiasi hicho ... Mimi nilikwambia lakini ..mademu wa sinza sio wazuri watakuteka ukanibishiaJina lako lilikuwepo kabisa hapo, hearly kalitoa itakuwa!.
Naanzaje kukusahau sasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app