Kumejiri nini kesi ya Tundu Lisu? Tumeambiwa leo ni hukumu

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,490
Reaction score
6,517
Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko?

Natanguliza shukurani
 
Ok.
siku zingine zingatia sana chanzo cha anaekwambia mambo ya msingi kinafiki au kwa mihemko useless na itapendeza zaidi gentleman, okay?🐒
 
Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko?

Natanguliza shukurani
Tarehe 6 November
 
Mkuu mleta uzi punguza kutumia visungura na kuberi zinaharibu huo ubongo wako au omba michango humu JF uchangiwe ada uende kwa rasi Simba akufundishe kusoma miezi kwa kiingereza🤮🤮
😂😂😂
 
Hukumu ya Majaji kwenda kwa Lissu

Msije na Hukumu zenu za ndotoni mje kujua mbivu na mbichi pale pale Mahakamani!!!!
 
Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko?

Natanguliza shukurani
Umechanganya madesa bila shaka. Subiri tarehe kama ya leo mwezi ujao mbivu na mbichi ndiyo zitajulikana.
 
Back
Top Bottom