Ok.Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko?
Natanguliza shukurani
Hukumu ya kesi ya Lissu kutolewa tarehe sita Novembaleo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu
Tarehe 6 NovembaWadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko?
Natanguliza shukurani
Umeandika vizuri. Wewe ni MTU mwema sana. You have made my day. Ubarikiwe sanaNi Mwezi wa kumi na Moja mkuu.
6 November 2026.
Pole kwa Kujibiwa vibaya Usikwazike, Hawa ndio watanzania halisi.
Tarehe 6 NovemberWadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko?
Natanguliza shukurani
😂😂😂Mkuu mleta uzi punguza kutumia visungura na kuberi zinaharibu huo ubongo wako au omba michango humu JF uchangiwe ada uende kwa rasi Simba akufundishe kusoma miezi kwa kiingereza🤮🤮
Uisilamu na akili timamu ni paka na panya 😄 😄Acha kuleta taharuki November 06, ndiyo hukumu ya Tobo Lissu. Kapewa mda wa kutafuna biblia yote.
Umechanganya madesa bila shaka. Subiri tarehe kama ya leo mwezi ujao mbivu na mbichi ndiyo zitajulikana.Wadau nimepitia pitia vyanzo vyangu vyote naona kuna ukimya kote, leo tarehe 6 tumeambiwa itasomwa hukumu kwa kiongozi wa Upinzani Tundulisu nini kimejiri huko?
Natanguliza shukurani
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewa....Uisilamu na akili timamu ni paka na panya 😄 😄
Kweli kabisa sijajua Nini kimetokea huku siku hizi .Yan furum haina maana hataUmeandika vizuri. Wewe ni MTU mwema sana. You have made my day. Ubarikiwe sana