Kumekucha Afrika, haya Tanzania nao wanataka kuongeza miaka ya hatamu ya rais

Kumekucha Afrika, haya Tanzania nao wanataka kuongeza miaka ya hatamu ya rais

Binafsi sioni tatizo kwenye hili maadamu tu mchakato huu uhusishe watanzania wenyewe na maamuzi yatoke kwao
Uhuru wa kweli ni pamoja na wananchi wanavyoshiriki katika kuitengeneza katiba yao na hii kwa Afirika tu duniani kote ukomavu wa demokrasia unapimwa kwa vigezo hivyo
Kwahiyo kama watanzania tunadhani mabadiliko ya kuongeza muda kwa watawala wetu madarakani ni jambo zuri basi na tufanye
Hakuna awaye yeyote atakayedhani au kufikiri kwamba tunaminya demokrasia
Juzi tu waingereza wamejitoa kwenye jumuiya ya ulaya kupitia maamuzi ya kura ya wananchi
Sasa nini mbaya maamuzi hayo wakiyafanya wananchi?
Tuache ubwanyenye hakuna atakayefikiri kwa niaba yetu kama mnadhani tukirekebisha mambo yetu basi eti waafrika tuna matatizo
Hakunaga hiyo
Kwanza mauchaguzi ya kila baada ya miaka mitano yanatumalizia hela tu badala ya kujenga nchi tunabakia na masiasa uchwara ya akina furani
Ingelikuwa amri yangu basi ningepitisha awamu za uchaguzi ziwe kila baada ya miaka 20
Una akili?nisije kureply comment ya punguani!
 
Semeni specifically nani anataka kuongeza muda. Nkamia hawakilishi Watanzania wote.

Term length is a constitutional matter. It is set in the constitution. Its change will necessarily need a constitutional amendment.

That is no easy task. That is not just passing a bill in parliament and having the president sign it into law.

The tricky part with a constitutional amendment is that, there are 1,001 other things that were discussed vigorously as needing changes in the constitution. Including private candidates and ironically, limiting presidential powers.The President said that a constitutional amendment is not a priority.

So they were dropped.

Why should this be a priority?

If this is going to be adopted and procesed, why not the other proposals?

If this is passed and other proposals are left to rot, and we say that was done by design in the name of political expediency, will that assesment be wrong?
HAO AKINA NKAMIA NA MWINYI UNAZANI WAMEANZA TUU KUONGEA NA KUPENDEKEZA KAMA WEHU? WANATUWEKA ATTENTION ILI SIKU YAKIIBUKA HAYO TUWE TAYARI TUMEJIANDAA KISAIKOLOJIA
 
Kuna mengi sijayataja yanayotendeka kwenye nchi zetu hizi za Afrika, nimefanya kupitia juu tu, ila nikichimba zaidi hata mtasinzia mkiyasoma.
Unachekesha ina maana ni wewe peke yako unaeishi Africa hapa? Wengine tunaishi Antarctica?
 
Itakugeukia , kuna siku. Lowasa, Sumayewangeliona umuhimu wa kuwa na katiba bora haya yasingeliwakuta. They were embraced by CCM favour wakasahau their main duty ya HAKI kwa wote.
Lowassa alijua kabisa baada ya kukatwa CCM hapatakuwa na njia nyingine ya kwenda ikulu.
 
Nangoja kuona JPM akitembea na mkongojo huku bado yeye ndo mkulu afu Jesca ndo atakuwa katibu mkuu wa CCM.
 
Hooo my God Nikiwa Mwana CCM Wenda NO1 Katika eneo langu na Mwaminifu,Maoni yangu ni haya Urais ni Mzigo mzito anayeweza kuthibitisha ni alie ubeba ,Nashauri tusiige kwa wachanga wanaopenda kujifunza kwetu Tzu ni mwalimu wa Africa tiheshimu Katiba yetu tusitake kushawishi kuingia ktk rekodi za Dunia Ambazo kimsingi si za kidemokrasia tuiache Katiba yetu tusijikoseshe Amani na uaminifu kwa Dunia tuwape Nafasi Viongozi wetu wawe na mda wa kumpuzika mara bada ya miaka10 Urais wa Tanzania na ukomo wake ubaki kuwa Wetu hata Dunia nzima wakiamua kujiongezea mda wa Urais tusiwaze kuwa Miongoni mwao hakika ,Naomba ni wasilishe
 
Kwa Tanzania hiki ni kigumu sana kutokea. Tofauti na hizo nchi nyingine ambazo umetaja. Kwa ufupi hakiwezekani ...mark my word
 
Bila Kumsahau Jecha wa Kule Zanzibar..

Anakaba mpaka matokeo.
 
Shida wakoloni ndiyo waliotuharibia utaratibu wetu, sisi tangu zamani za kale hatuna kitu kinachoitwa kubadilishana madaraka. Ndiyo maana tangu uhuru, viongozi wengi wa Afrika wanakuwa wazito kupisha madaraka kwa wengine kwa sababu siyo utamaduni wetu wa kupokezana madaraka. Ukifuatilia historia yetu hakuna utakapoona palipoandikwa kwamba baada ya miaka 10 Chifu Zwangedaba alimkabidhi madaraka sijui chifu nani mwingine. Huwezi ona hivyo, hii inayoitwa demokrasia tumemezeshwa toka ulaya, na kwa sababu na sisi tuliichukua kama ilivyo bila kuirekebisha iendane na desturi zetu kama natural lawyers wanavyoshauri, ndiyo maana nchi nyingi za kiafriaka zinashindwa kufuata katiba zao kwa ukamilifu. Tunashuhudia ukiukwaji mkubwa sana wa katiba au wengine kulazimisha mabadilriko ya katiba, lakini yote hiyo inaonesha jinsi gani nguo ya kuazima haisitiri makalio. Katiba na demokrasia siyo utamaduni wetu na kama tunataka tuendane na hiyo demokrasia ya magharibi, tunahitaji muda wa kutosha kabisa..... hata pengine kusubiri hiki kizazi cha wahenga freedom fighters chenye chiefdom hangover kiondoke, halfu hao wengine ndiyo waendelee na hiyo western democracy.
 
Back
Top Bottom