Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Mchina ni bingwa wa CTRL C & CTRL V
Mchina atawashangaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina atawashangaza
Mkuu, Sawa hiyo technology imeweza kucharge kwa muda mfupi sana lakini je vipi baada ya kuchaji italiacha betri katika hali gani?,, namaanisha efficiency au longevity ya hiyo betri itakuwaje maana inshu sio ku superfast charge tu kisha longevity ya betri inakua very short.Kampuni ya Nyobolt ya Uingereza imefanikiwa kutengeneza betri ya gari la umeme inayoweza kuchaji kutoka 10% hadi 80% kwa dakika nne na sekunde 37...
Mkuu kwanini umeuliza hivyo? Battery ya magari si nadhani zinatumia kW?Hilo battery ni la Ampere-hour na cycles ngapi ?
Au la kuchaji nusu dakika, subirini mtashangaa wenyewe.Atatengeneza la kujichaji lenyewe
Kwa vile bado ni majaribio, ni vizuri bado tuendelee kujikita kwenye magari yanayotumia Level 2 charging system.Mkuu, Sawa hiyo technology imeweza kucharge kwa muda mfupi sana lakini je vipi baada ya kuchaji italiacha betri katika hali gani?,, namaanisha efficiency au longevity ya hiyo betri itakuwaje maana inshu sio ku superfast charge tu kisha longevity ya betri inakua very short.
Superfast charge nzuri bila shaka inatakiwa izingatie hilo pia,, ijaze battery upesi lakini pia iliache betri katika usalama wa utendaji kazi na uimara wa kudumu pia.
Kiama na kiburi Cha waarabu kinakaribia kufika ukingoni. Watabakiwa na hela za wanaokwenda kulizunguka Kaaba tu na kumrushia mawe shetwaani rajimu anayekaaga kwenye ukuta akisubiri kurushiwa mawe
Mkuu achana na hizo chuki za imani tofauti na yako kwa afya ya mwili na akili yako.
mndengereko always ni ant-mzungu[emoji23][emoji23]Awashangaze kivipi
Anadhani wazungu ni wapuuzimndengereko always ni ant-mzungu[emoji23][emoji23]
Subiri mchina atajibuMzungu, bado ataendelea kuifundisha dunia kwamba, yeye ni bingwa katika technology kwa mambo yote
Mchina sijui yupojeSubiri mchina atajibu
Mchina huwa anaanzia walipoishia halafu anapunguza bei
engeneza la dakika 3 full charge na kwa nusu ya bei yao + free shippingAwashangaze kivipi
Battery za EV zinafika hadi life cycle 1500 hadi 2000 kutegemeana na technology.Mkuu, Sawa hiyo technology imeweza kucharge kwa muda mfupi sana lakini je vipi baada ya kuchaji italiacha betri katika hali gani?,, namaanisha efficiency au longevity ya hiyo betri itakuwaje maana inshu sio ku superfast charge tu kisha longevity ya betri inakua very short.
Superfast charge nzuri bila shaka inatakiwa izingatie hilo pia,, ijaze battery upesi lakini pia iliache betri katika usalama wa utendaji kazi na uimara wa kudumu pia.
Hizi ndizo post za kupeana taarifa za maendeleo duniani siyo za kina mwamposa wachezaji wakaombewe wafunge magori.Kampuni ya Nyobolt ya Uingereza imefanikiwa kutengeneza betri ya gari la umeme inayoweza kuchaji kutoka 10% hadi 80% kwa dakika nne na sekunde 37. Mafanikio haya yanaashiria hatua kubwa katika kupunguza muda wa kuchaji magari ya umeme, ikilinganishwa na supercharger ya Tesla ambayo inachaji kwa dakika 15-20.
Profesa Paul Shearing wa Chuo Kikuu cha Oxford anasisitiza kuwa teknolojia hii ni muhimu sana kwa sababu inasaidia kupunguza "wasiwasi wa aina mbalimbali" na inahimiza matumizi ya magari ya umeme. Anabainisha pia umuhimu wa kuboresha miundombinu ya kuchaji ili watu waweze kuchaji magari yao kwa haraka zaidi, bila kujali aina ya gari.
Gari lililotumia betri ya Nyobolt liliweza kufikia umbali wa maili 120 baada ya kuchaji kwa dakika nne, ikilinganishwa na maili 200 ya Tesla baada ya kuchaji hadi 80%.
Chanzo: BBC
MAFUTA KWAHERI
Hybrid engine zinachaji betri zenyewe. Ni petrol engine na battery kwa pamoja.Atatengeneza la kujichaji lenyewe
Sasa hilo linalojichaji lenyewe,si ndiyo hizi zilizoko kwenye mfumo wa Hybrid cars!!Atatengeneza la kujichaji lenyewe
Unajiabisha tu mkuu, mafuta yana demand kubwa kuliko supply na hata magari yote Duniani ya ache kutumia mafuta haitabadili chochote kwenye demand yake.Kiama na kiburi Cha waarabu kinakaribia kufika ukingoni. Watabakiwa na hela za wanaokwenda kulizunguka Kaaba tu na kumrushia mawe shetwaani rajimu anayekaaga kwenye ukuta akisubiri kurushiwa mawe