Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Mzigo wa sekunde unakuja😄Awashangaze kivipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo wa sekunde unakuja😄Awashangaze kivipi
Mambo yatakua bambamMzigo wa sekunde unakuja😄
hivi si iliwahi kutangazwa amepokea oda zaidi ya 50 kutengeneza ndege za muundo wa airbus. mwanba aliishia wapi na hii project?Subiri mchina atajibu
Mchina huwa anaanzia walipoishia halafu anapunguza bei
Mzee gari lina electricity generator ( dynamo inayozungushwa na engine Kisha inatoa umeme)Sasa hilo linalojichaji lenyewe,si ndiyo hizi zilizoko kwenye mfumo wa Hybrid cars!!
13 km = Lita moja
Unanichimba si bure Mkuu!!!ha hahahaha haMkuu kwanini umeuliza hivyo? Battery ya magari si nadhani zinatumia kW?
Hapana sikuchimbi, ni kuongeza tu maarifa. Make naonaga kwenye mitandao EVs wanataja battery za magari yao kwa ukubwa wa kW, voltage na charging time. Yawezekana nikapata maarifa kidogo kutoka kwako.Unanichimba si bure Mkuu!!!ha hahahaha ha
Asante mtumishi wa BwanaNawe pia mtumishi
Ilitakiwa atulipe sasa kama ameshindwa kusema chanzo jamii forums.
Hapa nimekuelewa kwamba hili ndio tunaloweza waafrika...kula ugali na kushiba na kisha kulala. Magari ya umeme tuwaachie wazungu na wachina.Daah, nimeshiba zangu ugali ngoja nilale. Mungu awalinde nyote
Ni kweli kabisa Ndugu, na zinatembea umbali mrefu Tu kabla ya kurudi kwenye wese, Mimi natembea vizuri kabisaHybrid engine zinachaji betri zenyewe. Ni petrol engine na battery kwa pamoja.
Kwenye mambo ya technology sisi hatuwezi. Labda kwenye sekta zingine kama michezo, music, kilimo etcnaona muda wa wazungu kuongoza kila kitu unafika mwisho kwa maana sehemu nyingie duniani(asia) wameshaamka....tunasubiri muda wa africa
Unatumia gari ganiNi kweli kabisa Ndugu, na zinatembea umbali mrefu Tu kabla ya kurudi kwenye wese, Mimi natembea vizuri kabisa
Harrier 2008, hapa huwezi kupata kwa umeme au kwa mafuta ila unachofanya ni kuangalia umbali unaotembea tu, kwa mjini natembea kati ya 16-19km/L kwa gari hii yenye CC 3400. Kwa highway, umeme unatumika kidogo hivyo natumia mafuta especially ikishafika speed kuanzia 80km/hr na kuandelea huwa inatoka kwenye umeme sasa kwenda kwenye wese.Unatumia gari gani
Inaweza kwenda kama kilomita ngapi kwa umeme
Hapa nimekuelewa kwamba hili ndio tunaloweza waafrika...kula ugali na kushiba na kisha kulala. Magari ya umeme tuwaachie wazungu na wachina.
Utafiti wa Muongo mmoja(miaka 10)!Yes!wenzetu wako njema mnoo,,sisi tupo.Ilitakiwa atulipe sasa kama ameshindwa kusema chanzo jamii forums.
Mkuu hio ni ndoto ya mchana...will never happenKiama na kiburi Cha waarabu kinakaribia kufika ukingoni. Watabakiwa na hela za wanaokwenda kulizunguka Kaaba tu na kumrushia mawe shetwaani rajimu anayekaaga kwenye ukuta akisubiri kurushiwa mawe
Inabidi abuni biashara nyingine ya kuvuna ndevu anazofuga auze kama steal wire duniani kote kwa ajili ya kutosha vyombo. Wakitegemea mafuta watakufa njaa