baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Lakini Gari za wazungu zinategemea betri za wachina, kampuni ya CATL China ndio inaongoza Duniani ku supply Battery za Magari, mpaka Tesla inawategemea hawa jamaa, Takriban Asilimia 37 ya Magari yote ya umeme yanatumia Battery za CATL.Mzungu, bado ataendelea kuifundisha dunia kwamba, yeye ni bingwa katika technology kwa mambo yote
Hata ukitoa CATL na BYD kampuni ambazo zinashabihiana na west ni Kama LG (korea), Panasonic (Japan), Samsung (Korea) etc sio wazungu, hivyo kusifia wazungu kwenye kitu ambacho washakipoteza ni uchawa tu.