Kumekucha amkeni: Betri ya gari la umeme yachaji chini ya dakika tano katika jaribio

Kampuni ya Nyobolt ya Uingereza imefanikiwa kutengeneza betri ya gari la umeme inayoweza kuchaji kutoka 10% hadi 80% kwa dakika nne na sekunde 37...
Mkuu, Sawa hiyo technology imeweza kucharge kwa muda mfupi sana lakini je vipi baada ya kuchaji italiacha betri katika hali gani?,, namaanisha efficiency au longevity ya hiyo betri itakuwaje maana inshu sio ku superfast charge tu kisha longevity ya betri inakua very short.

Superfast charge nzuri bila shaka inatakiwa izingatie hilo pia,, ijaze battery upesi lakini pia iliache betri katika usalama wa utendaji kazi na uimara wa kudumu pia.
 
Kwa vile bado ni majaribio, ni vizuri bado tuendelee kujikita kwenye magari yanayotumia Level 2 charging system.
Hivi magari ya EVs nazo kuna used? Na ikiwa used battery zinakuwaje
 
Battery za EV zinafika hadi life cycle 1500 hadi 2000 kutegemeana na technology.

1 life cycle sawa na kutoa 0% to 100%

1 life cycle pia sawa na range ya iyo battery, mfano unakuta 100% inafika 400km so 1 life cycle ni 400 km.

Kwahiyo kujua litadumu muda gani zidisha 400km kwa life cycles za iyo battery.

Mfano: 400 km mara 1500 life cycles unapata 600,000 km.
 
Hizi ndizo post za kupeana taarifa za maendeleo duniani siyo za kina mwamposa wachezaji wakaombewe wafunge magori.
 
Changamoto kubwa zinazoweza kukabili kampuni ya Nyobolt katika kuendeleza teknolojia yao ya kuchaji betri kwa kasi ni:

1. Upatikanaji wa malighafi: Kutengeneza betri za kasi kama hizi inaweza kuwa na mahitaji makubwa ya malighafi maalum, ambazo inaweza kuwa vigumu kupata kwa wingi au bei nzuri.

2. Upembuzi yakinifu na ubora: Kuhakikisha ubora na usalama wa betri hizi wakati wa kuchaji kwa kasi ni changamoto muhimu. Mapitio ya kina na mitihani ya usalama ni muhimu.

3. Gharama ya uzalishaji: Teknolojia mpya kama hii inaweza kuwa na gharama kubwa za uzalishaji katika hatua za awali. Kuifanya iwe ya bei nafuu kwa watumiaji ni changamoto.

4. Kupata idhini na vibali: Kuanza matumizi ya teknolojia hii mpya katika magari ya umeme inaweza kuwa na masharti na kanuni za udhibiti zinazohitajika kukidhi.

5. Ushindani kutoka kwa teknolojia nyingine: Kampuni zingine pia zinafanya maendeleo katika teknolojia za kuchaji betri kwa kasi, hivyo Nyobolt inahitaji kudumisha msimamo wake katika soko.
 
Kiama na kiburi Cha waarabu kinakaribia kufika ukingoni. Watabakiwa na hela za wanaokwenda kulizunguka Kaaba tu na kumrushia mawe shetwaani rajimu anayekaaga kwenye ukuta akisubiri kurushiwa mawe
Unajiabisha tu mkuu, mafuta yana demand kubwa kuliko supply na hata magari yote Duniani ya ache kutumia mafuta haitabadili chochote kwenye demand yake.

Nikupe mfano ya vitu vinavyotumia mafuta ambavyo pengine hujui vinatokana na mafuta.

1. Mafuta ya mgando ukiamka umepauka unajipaka
2. Plastic za vyombo yako vya nyumbani
3. Bomba za maji na pvc tofauti tofauti chooni kwako, madirisha etc
4. Mashuka ya polyester unayolalia
5. Ukitoka nyumbani ukisafiri ile lami unayotumia
6. Mbogamboga na mazao unayo kula mbolea nyingi artifical ni zao la mafuta etc


Kampuni kubwa kama zaidi ya mafuta Saudi Aramco pato Lake wala halitegemei mafuta ya Magari, last time wanatangaza pato la mwaka asilimia kama 25 tu ndio fuel iliobakia ni mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…