baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Lakini Gari za wazungu zinategemea betri za wachina, kampuni ya CATL China ndio inaongoza Duniani ku supply Battery za Magari, mpaka Tesla inawategemea hawa jamaa, Takriban Asilimia 37 ya Magari yote ya umeme yanatumia Battery za CATL.Mzungu, bado ataendelea kuifundisha dunia kwamba, yeye ni bingwa katika technology kwa mambo yote
Wa kuanza apewe mauwa yake mkuuSubiri mchina atajibu
Mchina huwa anaanzia walipoishia halafu anapunguza bei
Aendelee tu ila akija mchina anakopi yote ndani ya sekunde na anabeba biasharaMzungu, bado ataendelea kuifundisha dunia kwamba, yeye ni bingwa katika technology kwa mambo yote
Ina maana Kila km.100.lazima kiwepo kituo.cha kuchaji.kuondea safari za mikoani haifai hiyo.itakuzimikia katikati ya mbuga utaliwab na wanyama wakaliMaili 120 = km 193
Ni sawa ila ifahamike, wazungu ndio wabunifu wakuu wa kila kitu, hata hapa ni waoLakini Gari za wazungu zinategemea betri za wachina, kampuni ya CATL China ndio inaongoza Duniani ku supply Battery za Magari, mpaka Tesla inawategemea hawa jamaa, Takriban Asilimia 37 ya Magari yote ya umeme yanatumia Battery za CATL.
View attachment 3029689
Hata ukitoa CATL na BYD kampuni ambazo zinashabihiana na west ni Kama LG (korea), Panasonic (Japan), Samsung (Korea) etc sio wazungu, hivyo kusifia wazungu kwenye kitu ambacho washakipoteza ni uchawa tu.
Unajiabisha tu mkuu, mafuta yana demand kubwa kuliko supply na hata magari yote Duniani ya ache kutumia mafuta haitabadili chochote kwenye demand yake.
Nikupe mfano ya vitu vinavyotumia mafuta ambavyo pengine hujui vinatokana na mafuta.
1. Mafuta ya mgando ukiamka umepauka unajipaka
2. Plastic za vyombo yako vya nyumbani
3. Bomba za maji na pvc tofauti tofauti chooni kwako, madirisha etc
4. Mashuka ya polyester unayolalia
5. Ukitoka nyumbani ukisafiri ile lami unayotumia
6. Mbogamboga na mazao unayo kula mbolea nyingi artifical ni zao la mafuta etc
View attachment 3029606
Kampuni kubwa kama zaidi ya mafuta Saudi Aramco pato Lake wala halitegemei mafuta ya Magari, last time wanatangaza pato la mwaka asilimia kama 25 tu ndio fuel iliobakia ni mambo mengine
Sure. Sahivi kuna Extended EV ambazo zina engine lakini kazi ya Engine ni kama Generator. Kuchaji battery na sio kuendesha gari.Hybrid engine zinachaji betri zenyewe. Ni petrol engine na battery kwa pamoja.
naona muda wa wazungu kuongoza kila kitu unafika mwisho kwa maana sehemu nyingie duniani(asia) wameshaamka....tunasubiri muda wa africaLakini Gari za wazungu zinategemea betri za wachina, kampuni ya CATL China ndio inaongoza Duniani ku supply Battery za Magari, mpaka Tesla inawategemea hawa jamaa, Takriban Asilimia 37 ya Magari yote ya umeme yanatumia Battery za CATL.
View attachment 3029689
Hata ukitoa CATL na BYD kampuni ambazo zinashabihiana na west ni Kama LG (korea), Panasonic (Japan), Samsung (Korea) etc sio wazungu, hivyo kusifia wazungu kwenye kitu ambacho washakipoteza ni uchawa tu.
Africa si ndio wewenaona muda wa wazungu kuongoza kila kitu unafika mwisho kwa maana sehemu nyingie duniani(asia) wameshaamka....tunasubiri muda wa africa
Kama tunaongelea zilipendwa sawa ila sio sasa hivi, technology ina move baina ya eneo na eneo huwa haikai sehemu moja.Ni sawa ila ifahamike, wazungu ndio wabunifu wakuu wa kila kitu, hata hapa ni wao
The history of electric cars can be broken up into six distinct periods:
The world’s first electric vehicles (EVs) predate gasoline-powered cars, with experimental prototypes emerging in Hungary, the Netherlands, and the UK around the 1830s. The first practical EV is often considered to be American inventor William Morrison’s vehicle from around 1890.
- 1830-1880: The early pioneers of electric mobility
- 1880-1914: The transition to motorized transport
- 1914-1970: The rise of the internal combustion engine
- 1970-2003: The return of electric vehicles
- 2003-2020: The electric revolution
- 2021-Present day: The tipping point and beyond
Modern EVs emerged in the late 20th century in response to the 1973 Oil Crisis and growing climate concerns. Starting with the Toyota Prius in 1997, the 2000s marked the re-emergence and development of hybrid vehicles, building to the launch of the first mass-market EV in 2010 with the Nissan Leaf.
Since then, the electric car markets have seen exponential growth as sales exceeded 10 million in 2022 and electric cars now represent one in seven vehicles sold globally. As the world seeks to transition to a sustainable future and governments around the world ban the sale of internal combustion vehicles, the future looks bright for electric mobility.
Tukiacha kumsifu mvumbuzi tutakuwa tumeruka ukweli! Siku zote mchina ni mwizi wa technology kutoka kwa mabeberu!Kama tunaongelea zilipendwa sawa ila sio sasa hivi, technology ina move baina ya eneo na eneo huwa haikai sehemu moja.
Atatumia dakika 1 na sec 4Mchina atawashangaza
Wagiriki walikua juu, baadae middle east ilikua juu, baadae Ulaya ikawa juu, baadae Usa ikawa juu, sasa hivi Asia ya mashariki ipo juu, wote hao hakuna hata mmoja ambaye haja copy ama kuwa inspired na mwenzake.Tukiacha kumsifu mvumbuzi tutakuwa tumeruka ukweli! Siku zote mchina ni mwizi wa technology kutoka kwa mabeberu!
Beberu tunaweza kumchukia lakini ukweli utabaki palepale! Wale watu wako makini mno na niwatulivu kwelikweli linapkuja suala la kutatua jambo
Marekani hawa copy teknolojia wanaiba wataalamu wa Teknolojia na kuwalipa vizuri.na mazingira mazuri mno kuliko nchi walikozaliwa au mabara wanatoka inaitwa brain drain wenye akili sana duniani wako USA iwe waisrael, wahindi, watchina,waarabu au wajapan,waafrika nkWagiriki walikua juu, baadae middle east ilikua juu, baadae Ulaya ikawa juu, baadae Usa ikawa juu, sasa hivi Asia ya mashariki ipo juu, wote hao hakuna hata mmoja ambaye haja copy ama kuwa inspired na mwenzake.
Usa yupo juu sasa hivi sababu ka copy tech nyingi za Ulaya hasa Ujerumani.
Gunduzi nyingi zinafanywa na wanasayansi ambao hata hawafaidiki kivile na hizo tech, kampuni inakuja inazinunua na kuzi abuse hizo tech.
Leo hii Mzungu angekua haja copy technology ya Mwarabu/Muiran pia usingemsifia.
Mkuu angalia vizuri Tarehe yako na kichwa cha habari,
We unaongelea 2024, mi naongelea Asili ya technology ya Usa ni kuiba Technology ya Ulaya. Miaka 100-200 iliopita viongozi wa Usa walikua wakiiba kwa hali yoyote ile tech za ulaya ikiwemo kutumia piracy wa meli ambao waliiba machine Ulaya na kuzipeleka UsaMarekani hawa copy teknolojia wanaiba wataalamu wa Teknolojia na kuwalipa vizuri.na mazingira mazuri mno kuliko nchi walikozaliwa au mabara wanatoka inaitwa brain drain wenye akili sana duniani wako USA iwe waisrael, wahindi, watchina,waarabu au wajapan,waafrika nk
China ndio mwizi wa teknolojia na ku copy sio USA
USA hahangaika na ku klcopy yeye hujikita kwenye brain drain tu kuchukua wenye akili nyingi toka kote duniani