Kumekucha: Baada ya Kumsajili ili Kuwakoga Wengine na Kumlazimisha aibusu Logo yao mbaya, sasa anataka kuwapeleka FIFA kwa Kukiuka Malipo ya Kimkataba

Kumekucha: Baada ya Kumsajili ili Kuwakoga Wengine na Kumlazimisha aibusu Logo yao mbaya, sasa anataka kuwapeleka FIFA kwa Kukiuka Malipo ya Kimkataba

Tokea unihitaji nikuingilie kusikotakiwa na Biblia na Quran unakokupenda na ulikokuzoea umekuwa na Chuki na Hasira sana nami huku ukipenda Kuniandama kwa kila Thread yangu hapa JamiiForums ukidhani nitabadili Msimamo na Kukuingilia. Nasisitiza sitomkosea Mwenyezi Mungu kwa kuifanya Kwako Dhambi hiyo iliyolaanika.

Pumbavu.
Popoma fc libolo la Mkunde umelichoka
Unahitaji fc libolo la mtoto wa Ngara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mlidhani kwakuwa ni Mlevi na mvuta Bangi za Kwao Kinondoni Biafra, Kawe Kijiwe chake maarufu cha Unga Unga na Tandale Gereji wa Dula basi hajui Haki zake na Sheria hivyo mtamburuza tu mtakavyo?

Haya sasa kawapeni hadi mwisho wa Mwezi huu wa Oktoba, 2023 mumlipe Fedha zake anazodai na mlizomhaidi na Kukubaliana nae Kimkataba.

GENTAMYCINE nilishawaonyeni mno hapa JamiiForums kuwa mtawaficha Wote ila siyo Mimi hamsikii na mmesahau kuwa huko huko Klabuni Kwenu nina Marafiki zangu Wakubwa tu kuanzia Wachezaji na Viongozi wenu na wale mnaowaamini wa Matawi yenu yenye Nguvu na ambao huwa hawajui wanayempa Taarifa zenu za Siri ( za Ndani ) ndiyo Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe wa hapa JamiiForums na kamwe hawatoweza Kunijua na nitaendelea kupata Taarifa zao kila Siku.

Haya akina Ricardo Momo, Mchambuzi Edo Kumwembe, Watangazaji wa Michezo na Wachambuzi wa Michezo nchini bila kusahau wale Bloggers mbalimbali tayari nimeshawapeni hi Taarifa ili nanyi muikopi mjifanye ni yenu ( mmeitafuta nyie ) na muitumie katika Platforms zenu ili mpate Maileage na Sifa ( Credits ) sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King na mtanikubali tu Nyote ( Wote ) mtake msitake Kudadadeki....!!
Wewe dada punguza umbea
 
Back
Top Bottom