Kumekucha: Baraza la Mawaziri kivuli - Mbatia out

Duh...!.
P
 
Usisahau pia kuna ambao serikali leo ikileta kondoo bungeni wakiambiwa huyu ni kondoo wanakubali na kupigamakofi, kesho ikimleta tena huyohuyo kondoo wakiambiwa huyu ni fisi wanapiga makofi, hao nao ni watumwa wa nani!.
Wabunge wa ukawa wote ni watumwa wa mbowe, na wanawajibika kwa mbowe sio wananchi! Mbowe nae kama alivyo zito anawajibika kwa mabwana zake mabeberu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mn Mlishindwa kusimamia principle kwa kumleta Lowasa mnakuja kusimamia principle kwenye vitu vya kijinga
 

Vipi mameya kuondolewa ktk nafasi zao wkt muda umeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila we jamaa nakukubali sana,najifunza vitu vingi sana toka kwako
 
Ilikuwa siku ya wajinga
 
Sawa shekhe yahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili zile zile, mawazo yaleyale. We have a very long way to go. Nakumbuka maandishi matakatifu yanayosema "kama chumvi ikiharibika itatiwa nini ikolee?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamini kuwa Dk. Slaa ndiye aliyekiwa "think tank" ya Mbowe. Kwenye Sherehe za Uhuru 2019 alitioa hotuba ya kumuomba Rais Magufuli aitishe 'Maridhiano ya Kitaifa'. Halafu wakati huo huo yeye analeta "Mgawanyiko wa Upinzani"! Na cha kuchekesha, wafuasi wake maarufu kama nyumbu wa Ufipa wanaunga mkono vyote viwili.
 
Hata le zee lilloshindwa na binti kule kanda maalum,liliwtahi kusema Chadema itakutfa baadaya uchsaguzi mkui wa 2015 wakati sisi wratu wyanachi tupo.
Magufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
 
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, you are very right, this is the final kick of a dying horse.
P
Sasa hivi unaongea kwa kujiamini ukiwa umesimama upande uliouchagua kama kada. Kabla hali ilikiwa mbaya maana unafiki ulitamalaki angalau sasa umeamua kujivua unafiki. Karubu sana CCM ila style uliyoichagua si nzuri kwa historia na kesho yako. Unaweza ikawa CCM kama mimi na bado ikaendelea kusimamia misingi, kuwa CCM haimaanisha kwamba ujiunge na kikundi cha 'kwaya' ya 'kusifu na kuabudu'.

Karibu sana CCM.
 
Kuweni makini Sana na aina ya watu Kama Pascal Mayalla huwa hawapendi kujipampanua kinagaubaga wanasimamia itikadi gani kwa sababu ya kuwinda maslahi.kama ametangaza kuja huko CCM mwangalieni Sana hawaaminiki hawa halafu wanakuaga na kaunafiki fulani na kujifanya wanakifia chama kuliko hata waliowakuta. Msije kusema hatukuwaambia.
 
Hiyo sentensi ya mwisho nafikiri ungeipigia mstari na uikoleze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…