Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Watakua hawakuwasiliana na makamu mwenyekiti wao hawa,

Makamu alisema "hawatohangaika na mbowe, wanaiachia serikali imfanye itakavyo"
Kamsikilize tena vzr alisema wameandaa kamati ya kuzunguka dunia nzima za kimataifa na kidiplomasia kuisemea serekali kwann sio Salama Tena na kamati hiyo lissu ndio mwenyekiti
 
Wajinga tu, kwa hiyo wanataka ubalozi wa Marekani uingilie kati Mahakama? marekani si wanasema Mahakama inatakiwa kuwa huru wanataka kuiingilia? bawacha huwa hawatumii akili ndio maana wanafeli kila move.
 
Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuachie Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe bado tunamuhitaji sana.
Mnataka aachiwe kabla chanjo haijaisha, kule segerea hatapelekwa...hahaha
 
"Gongeni mtafunguliwa". Safi sana BAWACHA. Zidisheni juhudi hadi mkombozi aachiwe huru. Katiba mpya ni LAZIMA. Upepo wa katiba mpya hauzuiliki. "It is a current social and political necessity in Tanzania".
 
"Gongeni mtafunguliwa". Safi sana BAWACHA. Zidisheni juhudi hadi mkombozi aachiwe huru. Katiba mpya ni LAZIMA. Upepo wa katiba mpya hauzuiliki. "It is a current social and political necessity in Tanzania".
Katiba sio suluhisho la kila tatizo hapa nchini, hata ikija mtashindwa tu uchaguzi. pia, ukitaka uheshimiwe heshimu mamlaka, usipoiheshimu utalala segerea. hii ipo dunia nzima.
 
Eti 80% acheni kuwahadaa wananchi. Hata mfanyeje hamtoshinda. Mnaenda ubalozi ili iweje. Mnachekesha sana
 
Wanataka kukimbia nchi hao, Hata Lisu alianza hivi hivi. Asante mama kwa kurudisha usalama na utulivu nchini.
 
Eti 80% acheni kuwahadaa wananchi. Hata mfanyeje hamtoshinda. Mnaenda ubalozi ili iweje. Mnachekesha sana
Wamekusanya machangudoa huko mjini wakawavalisha nguo zao wakawaambia waende hapo wapuuzi sana chadema
 
Leo ndy nmeamn viongoz wa ccm hayana hoja zaid ya kutumia minguvu kuforce mambo yao, yaan leo tena nmeamn wana ccm ni wababaidhaji na waonez
 
Mungu wetu atatenda kama alivyo tenda siku zilizopita na mtaona.
 
wangejua jinsi USA wasivyo wapenda Magaidi au wanao fadhili matendo ya kigaidi hata wasinge enda huko ubalozini.
Tayari taarifa za Mowe zimeingizwa kwenye Database ya Dunia kuwa Mobwe ni mtu anaye jihusisha na kufadhili vitendo vya kigaidi na ikitokea hata leo anaachiwa hawezi kukanyaga USA na baadhi ya nchi.
Mbowe ameshitakiwa kwa ugaidi kesi iko Mahakamani ni upumbavu kwenda popote pale kushinikiza aachiwe!! maaana nchi hii inafuata utawala wa kisheria ndio maaana yuko mahakamani na Mahakama ndio itatoa haki.
awamu ya 6 inaupiga mwingi kwa akili nyingi sana.
 
Yaani Bawacha nchi nzima hawafiki hata 50? Kweli mwamba umetelekezwa. Tehetehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…