Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Wamekwenda kutusemea kwa marafiki zetu....

Kila Mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake na kusikilizwa(ikiwemo malalamiko)....

BAWACHA nao wana haki hiyo.....

Ila kubwa tu TANZANIA IS A SOVEREIGN COUNTRY....na isiyoishi katika kisiwa cha dunia yake.....

#NchiKwanza
#JMTMilele
#SiempreTanzania
shwainnnn .... jitegemee jilishe kama wewe ni mwanamuke kweli.. NDEZI wa LUMUMBA
 
kweli kabisa.
huu ni ushahidi pia kuwa Mbowe alipandikiza chembe za kigaidi kila mahala lkn wao hawajitambui.
kitendo chenyewe cha kuandamana ktk maeneo ya ubalozi ni uvunjifu wa amani na walipaswa wachukuliwe hatua mara moja.
Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama vinapaswa viwe makini zaidi kuliko wakati wowote, wasilale kila kona.
maana inaonekana huyu jamaa alikuwa na mtandao wa kihalifu.
kwanza mbowe ni mtu hatari sana kweli wsaidizi wake walikuwa ndani muda wote huosijawahikusikia amewasemea popote sasa wamechoka wameona wamwage mboga kuwa walikuwa naye kwenye kampeni moja ya kigaidi mbona atahenya mwaka huuu
 
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Upuuzi
 
Ilishindikana uchaguzi mkuu

Wanazani hili la mtu mmoja watahangaika nalo...

Tukubali matokeo kwamba CCm ita tawala miaka 100 mbele.
Na swala la katiba new ni impossible.

Case closed!!!!
 
Vipi wamefanikiwa?
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Ilishindikana uchaguzi mkuu

Wanazani hili la mtu mmoja watahangaika nalo...

Tukubali matokeo kwamba CCm ita tawala miaka 100 mbele.
Na swala la katiba new ni impossible.

Case closed!!!!
Acha wakati vya kufanya

ajira ngumu sana
 
Uzuri wa serikali mbovu ya CCM ina kula kotekote, zamu yenu inakaribia
Hongera sana, angalu unatambua kuwa Serikali hii ya awamu ya 6 haina upendeleo wa aiana yoyote ile, na ndio maaana leo hii tunaona hatua zina chukuliwa dhidi ya mhalifu yeyote yule bila kujali ni wa chama gani.
Huu sasa ndio utawala unao zingatia Sheria.
 
kwanza mbowe ni mtu hatari sana kweli wsaidizi wake walikuwa ndani muda wote huosijawahikusikia amewasemea popote sasa wamechoka wameona wamwage mboga kuwa walikuwa naye kwenye kampeni moja ya kigaidi mbona atahenya mwaka huuu
Be informed hayo magaidi unayosema kushirikiana na Mbowe jana DPP kayaachia hana ushahidi.
 
Nina uhakika Mh Rais ni msikivu atafanyia kazi ombi na akina mama hawa. Kinyume na hapo nchi yetu itatengwa kidiplomasia kwani itaonekana si salama kwa ugaidi.
 
Hizo attachment kwangu huwa hazifunguki nitumie mbinu gani kufungua???
 
Back
Top Bottom