Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

shwainnnn .... jitegemee jilishe kama wewe ni mwanamuke kweli.. NDEZI wa LUMUMBA
 
kwanza mbowe ni mtu hatari sana kweli wsaidizi wake walikuwa ndani muda wote huosijawahikusikia amewasemea popote sasa wamechoka wameona wamwage mboga kuwa walikuwa naye kwenye kampeni moja ya kigaidi mbona atahenya mwaka huuu
 
Upuuzi
 
Ilishindikana uchaguzi mkuu

Wanazani hili la mtu mmoja watahangaika nalo...

Tukubali matokeo kwamba CCm ita tawala miaka 100 mbele.
Na swala la katiba new ni impossible.

Case closed!!!!
 
Vipi wamefanikiwa?
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Ilishindikana uchaguzi mkuu

Wanazani hili la mtu mmoja watahangaika nalo...

Tukubali matokeo kwamba CCm ita tawala miaka 100 mbele.
Na swala la katiba new ni impossible.

Case closed!!!!
Acha wakati vya kufanya

ajira ngumu sana
 
Uzuri wa serikali mbovu ya CCM ina kula kotekote, zamu yenu inakaribia
Hongera sana, angalu unatambua kuwa Serikali hii ya awamu ya 6 haina upendeleo wa aiana yoyote ile, na ndio maaana leo hii tunaona hatua zina chukuliwa dhidi ya mhalifu yeyote yule bila kujali ni wa chama gani.
Huu sasa ndio utawala unao zingatia Sheria.
 
kwanza mbowe ni mtu hatari sana kweli wsaidizi wake walikuwa ndani muda wote huosijawahikusikia amewasemea popote sasa wamechoka wameona wamwage mboga kuwa walikuwa naye kwenye kampeni moja ya kigaidi mbona atahenya mwaka huuu
Be informed hayo magaidi unayosema kushirikiana na Mbowe jana DPP kayaachia hana ushahidi.
 
Nina uhakika Mh Rais ni msikivu atafanyia kazi ombi na akina mama hawa. Kinyume na hapo nchi yetu itatengwa kidiplomasia kwani itaonekana si salama kwa ugaidi.
 
Hizo attachment kwangu huwa hazifunguki nitumie mbinu gani kufungua???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…