Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Hao hawajaenda kutochongea, wameenda kuonyesha hali hamisi ya nchi yetu. Hawa wanatakiwa kupongezwa na kila mpenda Utawala bora unaozingatia Demokrasia, Utawala wa Sheria na unaozingatia haki za raia
 
Ni moja ya juhudi muhimu.
WAPONGEZWE akina mama kwa juhudi hiyo.

Vipi, PoliCCM hawakuwa na taarifa?
 
Lissu kashasema hawataweka wakili, Lissu sijui ni lini ataacha kutoa kauli za kukurupuka. Naiona CDM imara chini ya Mwamba Abubakar kuliko CDM ya bwana Lissu
Sasa hizo ni hasira, ambazo mwisho wake ni hasara.
 
Ungekuwa unayaamini haya uliyoandika hapa leo, bila ya hiana... (samahani, nimekosa maneno ya kumalizia sentensi hiyo niliyoianza. Itafsiri vyovyote upendavyo mwenyewe).
 
Sema kikundi cha Wanawake wa Kichaga kutoka Kimara suka wenye Asili ya watu wa Hai na Rombo wakiwa na Mabango mbele ya Ubalozi wa Marekani chini ya Mwamvuli wa Bawacha.

Ukipata mwanamke yoyote miongoni mwao mwenye asili tofauti tutakutoa usilipe tozo za Miamala😃.

Sanaa ikifanywa na Wasanii.
 
Uzuri wameandama kwa Amani, wamelia na wameomba, halafu wanarudi jioni Kimara, waoge, wapike na watimize majukumu ya leo usiku.
Kesi ya Mbowe haina dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…