kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Dah, kumbe vijana walikua wanavumilia tu😀😀😀 ila bora kunuka miguu kuliko mdogo daaah tena uwe unarusha mate kama Li-Pumba😱😱😱Kwa mujibu wa Fumbo lao hilo jibu ni Ndio Mkuu. Kama hicho Kipindi cha SHILAWADU huwa wanakiweka YouTube nakuomba ukiangalie Mkuu ili ucheke na uone hao madogo walivyoamua leo ' Kumfumbia ' Jamaa mafumbo ya kila aina ila hilo fumbo la kunuka Soksi na Miguu pamoja na ' Ndomo ' walikuwa wakilirudia sana huku wakicheka na mwisho wanaulizana je Mlango wa mule Studioni mwao umefungwa? Je na Walinzi nao wako gado?
Ama hakika ' Jamaa ' kaaibika na kudhalilika mno hadi huruma. Lakini hata hivyo naona kama vile yote haya kayataka mwenyewe kwa ' kiherehere ' chake na ile hatua ya wale Askari alioongozana nao ambao inasemekana waliwapa sana ' Vitasa ' hawa Watangazaji akina Soud Brown na Kwissa huku ' Jamaa ' nae akiwatishia kuwabambikia Kesi ya Kutumia ' Ngada ' ili tu wamfanikishie lengo lake.
Jamaa wa SHILAWADU leo ama hakika wamempiga Mtu Konde kali kabisa la Knock Out.