Kumekucha! Bifu la Watangazaji wa Shilawadu na RC Makonda lafikia patamu na limenoga sasa

Kumekucha! Bifu la Watangazaji wa Shilawadu na RC Makonda lafikia patamu na limenoga sasa

Kwa mujibu wa Fumbo lao hilo jibu ni Ndio Mkuu. Kama hicho Kipindi cha SHILAWADU huwa wanakiweka YouTube nakuomba ukiangalie Mkuu ili ucheke na uone hao madogo walivyoamua leo ' Kumfumbia ' Jamaa mafumbo ya kila aina ila hilo fumbo la kunuka Soksi na Miguu pamoja na ' Ndomo ' walikuwa wakilirudia sana huku wakicheka na mwisho wanaulizana je Mlango wa mule Studioni mwao umefungwa? Je na Walinzi nao wako gado?

Ama hakika ' Jamaa ' kaaibika na kudhalilika mno hadi huruma. Lakini hata hivyo naona kama vile yote haya kayataka mwenyewe kwa ' kiherehere ' chake na ile hatua ya wale Askari alioongozana nao ambao inasemekana waliwapa sana ' Vitasa ' hawa Watangazaji akina Soud Brown na Kwissa huku ' Jamaa ' nae akiwatishia kuwabambikia Kesi ya Kutumia ' Ngada ' ili tu wamfanikishie lengo lake.

Jamaa wa SHILAWADU leo ama hakika wamempiga Mtu Konde kali kabisa la Knock Out.
Dah, kumbe vijana walikua wanavumilia tu😀😀😀 ila bora kunuka miguu kuliko mdogo daaah tena uwe unarusha mate kama Li-Pumba😱😱😱
 
Ni RC ndio mwenye bifu na watangazaji kwa sababu waligomea kuurusha hewani udaku wake wakati alishamwahidi baba yake, mpenda Shilawadu kwamba kulikuwa na udaku alioutengeneza ambao ungerushwa hewani.

Yawezekana Mkuu katika hii picha labda ndiyo Soksi, Miguu na Mdomo ulipoanza kunuka hali iliyowachanganya sana Watangazaji wa SHILAWADU waliokuwa ' mubashara ' studioni kabla ya ' uvamizi ' rasmi kuwakumba na yakawapata yale yote yaliyowapata.
 
Dah..... Kama kwa hoja za kitoto namna hii basi wameshindwa saa mbili asubuhi...... nawahurumia wataanguka vibaya sana[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Dah, kumbe vijana walikua wanavumilia tu😀😀😀 ila bora kunuka miguu kuliko mdogo daaah tena uwe unarusha mate kama Li-Pumba😱😱😱

Leo ndiyo nimeamini kuwa kumbe unaweza ukawa na Utajiri mkubwa na Madaraka yote pamoja na Ubabe lakini kumbe ukawa na ' Matatizo Kero ' ya kunuka Soksi, Miguu na Mdomo ambayo hayatibiki. Nadhani ipo haja ya wale wote wanaomzunguka na kuwa nae kila mara Kimajukumu watusaidie kumjibia hizi tuhuma kali kabisa ambazo zitazidi tu kumshusha hadhi, kumchoresha na kumdhalilisha Kijamii.
 
Dah..... Kama kwa hoja za kitoto namna hii basi wameshindwa saa mbili asubuhi...... nawahurumia wataanguka vibaya sana[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Hata kama Wataanguka ila tayari ' dongo ' limeshatoka na tumelipata Mkuu. au Wewe ndiyo Jamaa nini Mkuu kwani naona hapo katika maelezo yako umesema kuwa unawaonea huruma Watangazaji wa SHILAWADU na kwamba wataanguka vibaya sana.

Kama labda ndiyo Wewe naomba nikuulize eti ni kweli huwa unanuka Soksi, Viatu na Mdomo? Umechukua hatua gani za Kitabibu kujitibu Mkuu? Na kwanini mara nyingi katika dhifa mbalimbali au matukio muhimu huwa unajitenga mno na hupendi kukaa high table? Ni kwasababu ya matatizo haya au kuna mengineyo Mkuu Kiongozi?
 
Bashite atakuwa alikuwa anawakera sana clouds,
Mtu uingie ofisini kwa watu na uwe unakesha hapo huku miguu&mdomo inanuka khaaah??
Namtoa baru .........

Ha ha ha ha ha ha ha ....... Mkuu bhana!!!!!!! Jamaa ' wameua ' sana leo hakyanani.
 
Hata kama Wataanguka ila tayari ' dongo ' limeshatoka na tumelipata Mkuu. au Wewe ndiyo Jamaa nini Mkuu kwani naona hapo katika maelezo yako umesema kuwa unawaonea huruma Watangazaji wa SHILAWADU na kwamba wataanguka vibaya sana.

Kama labda ndiyo Wewe naomba nikuulize eti ni kweli huwa unanuka Soksi, Viatu na Mdomo? Umechukua hatua gani za Kitabibu kujitibu Mkuu? Na kwanini mara nyingi katika dhifa mbalimbali au matukio muhimu huwa unajitenga mno na hupendi kukaa high table? Ni kwasababu ya matatizo haya au kuna mengineyo Mkuu Kiongozi?
Dah.... Vita hii haizidi mwezi....haina tija kwa watz... .. Mtamaliza risasi na mtagundua mlikuwa mnalenga kivuli....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hiyo bashite alikuwa MTU wao wa karibu sana possible nikweli ananuka mdomo na akivua soksi miguu inanuka,katika maisha siyo kila kila kitu kina hitaji nguvu na madaraka ni dhamana Leo utakuwa nacho na kesho huna,nivyema bashite akae na atambue hata nguvu ya dolla IPO siku itakwisha na atakosa wakukaa nae meza moja hata kwakunywa soda tuu
 
Kumbe bashite ananuka mdomo? Aise aibu kubwa sana hii

Ha ha ha ha ha ha ha ha ...... Mkuu bhana! Unataka kusema ' Ndomo ' yake inatema? Ogopa sana Ngumi ya Mtu mwoga akikupiga vizuri na ikakulenga huwa inauma mno. Naona SHILAWADU wamempiga ' Mtu ' ngumi yao ya Kiuwoga na imempata ' Mlengwa ' kisawasawa.

Nilicheka sana jana akina Soud Brown na mwenzake Kwissa walivyokuwa kila mara wakilifumba hilo fumbo na wala ulikuwa huhitaji Certificate au Diploma au Degree au Masters au PhD kuweza kujua kuwa jana waliamua ku dedicate Kipindi chao kile chote kulipiza Kisasi kwa waliyofanyiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Makonda wiki ' beee ' zilizopita na kiukweli ' wamemdhalilisha ' na wanaweza sasa kusababisha hata Watu wasimpe tena ushirikiano kwa kuogopa kuwa nae karibu ili kuepuka ' harufu kero ' ya ama Soksi au Miguu au ' Ndomo '.
 
Mbwembwe zote kumbe anatema [emoji3]
 
Mbwembwe zote kumbe anatema [emoji3]

Kwa mujibu wa SHILAWADU Mkuu. Hawa madogo sijui wamejiamini nini hakyanani mpaka jana wakaamua ' liwalo na liwe ' au ' kama noma na iwe noma ' na kwa Wakongo ( Wazaire au wana DRC ) wao husema ' azomata azomate '.

Shikamooni Watangazaji wa SHILAWADU akina Soud Brown na Kwissa kwani mmenifanya kila saa nikikumbuka tu Kipindi chenu kile cha jana nabaki kucheka tu.
 
Back
Top Bottom