Hata kama Wataanguka ila tayari ' dongo ' limeshatoka na tumelipata Mkuu. au Wewe ndiyo Jamaa nini Mkuu kwani naona hapo katika maelezo yako umesema kuwa unawaonea huruma Watangazaji wa SHILAWADU na kwamba wataanguka vibaya sana.
Kama labda ndiyo Wewe naomba nikuulize eti ni kweli huwa unanuka Soksi, Viatu na Mdomo? Umechukua hatua gani za Kitabibu kujitibu Mkuu? Na kwanini mara nyingi katika dhifa mbalimbali au matukio muhimu huwa unajitenga mno na hupendi kukaa high table? Ni kwasababu ya matatizo haya au kuna mengineyo Mkuu Kiongozi?