Rais anaangalia wewe nani na una umuhimu gani Makonda ananuka mdomo na SoxHawana ubunifu kwa ninapokutana na kusoma juu yao na udaku wa uongo ambao haujaenda shule, wanaishia kutunga kama walivyozoea ya mambo juu ya watu. Wanajua hakuna wa kuhakikisha uongo wao kama nilivyowasoma kabla wakimsingizia Diamond mambo, ila baadae ukweli uonekana.
Wangekuwa wagumu na wanaakili wasinge tafuta kiki ya kujifanya waliumizwa, huku walikuwa salama kabisa na kurudi na kuongelea ujinga. Gemu lao lilibuma lazima uwaume
Sijawahi kuangalia kipindi chao na sitakiangalia.
Huyu jamaa alitutisha sana alipoingia mjini kumbe ananuka mdomoUnaogopa nini kumtaja tu kwa majina yake kamili? au humjui ni nani?
Hiyo ni tafsiri kwa upeo wako,mimi kwangu niliitumia kumdis mama mwenye nyumbaWakiwa katika Kipindi chao ambacho kilikuwa mubashara kabisa Mtangazaji muongozaji wa Kipindi pendwa na Watanzania wengi hadi Mheshimiwa Rais wetu JPM aitwae Soud Brown amekuwa kila mara akifumba Fumbo huku akicheka mno na mwenzake Kwissa.
Ukiwaangalia zaidi utagundua kuwa kwa yale yaliyowatokea wiki mbili zilizopita utagundua kuwa Kipindi chao Kizima cha leo ni kama vile na wao wameamua kulipiza Kisasi kwa waliyofanyiwa na ' Mvamizi ' Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Christian Makonda.
Mtangazaji Soud Brown amekuwa kila mara akifumba fumbo moja hilo hilo huku akilinogesha na Kiitikio na Mistari iliyopo katika Wimbo maarufu wa Ney wa Mitego wa WAPO huku kila mara akimuuliza mwenzie kuwa ' Je mlango wetu umefungwa? '.
Fumbo lenyewe la Mtangazaji Soud Brown ambalo si Siri kuwa amelielekeza ' makusudically ' kabisa kwa ' adui ' yao na ' mvamizi ' wao Makonda ni kama lifuatalo nalinukuu " Hata wanaovua Viatu na Soksi zao zinanuka Wapo........unasema Wapo.......hata wanaonuka Midomo pia Wapo......unasema Wapo.....Oya Kwissa umefunga mlango lakini?...... Jamani hata wanaonuka miguu wakivua Viatu vyao Wapo.......unasema Wapo......hata wanaonuka Midomo sana Wapo......unasema Wapo......Kaka angalia umefunga lakini mlango? Walinzi wapo gado?
Sasa Kazi imeanza na naomba mlio karibu na hawa Watangazi akina Soud Brown na Kwissa mtusaidie kutuulizia kutoka Kwao kuwa huyo anayenuka Soksi na Miguu akivua Viatu ni nani? Halafu na huyo anayenuka mdomo pia ni nani?
Chokoza wote lakini kamwe usichokoze na kuanzisha vita na Waandishi wa Habari kwani wana mbinu nyingi za kukuchafua, kukumaliza na ikibidi hata kukudhalilisha. Pole sana ' mvamizi ' Mkuu wa Clouds nadhani sasa Vita baina yako na wao ndiyo imeanza na imefika patamu mno.
Kuna Watu wanajua mno kulipiza Visasi hasa kwa waliyofanyiwa au mateso ya kimanyanyaso waliyopata.
Nawasilisha.
Duuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umekuja kuchangia uzi wa kimbea sasa sijui na wewe tukuitaje?Huu nao ni umbea nilifikiria umeleta jambo lenye faida kwa jamii kumbe utumbo tu
Rais anaangalia wewe nani na una umuhimu gani Makonda ananuka mdomo na Sox
Dah.... Mtaishia na vihoja vya hovyo hovyo kama hivi....Kumbe bashite ananuka mdomo? Aise aibu kubwa sana hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataenda jera tuWakiwa katika Kipindi chao ambacho kilikuwa mubashara kabisa Mtangazaji muongozaji wa Kipindi pendwa na Watanzania wengi hadi Mheshimiwa Rais wetu JPM aitwae Soud Brown amekuwa kila mara akifumba Fumbo huku akicheka mno na mwenzake Kwissa.
Ukiwaangalia zaidi utagundua kuwa kwa yale yaliyowatokea wiki mbili zilizopita utagundua kuwa Kipindi chao Kizima cha leo ni kama vile na wao wameamua kulipiza Kisasi kwa waliyofanyiwa na ' Mvamizi ' Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Christian Makonda.
Mtangazaji Soud Brown amekuwa kila mara akifumba fumbo moja hilo hilo huku akilinogesha na Kiitikio na Mistari iliyopo katika Wimbo maarufu wa Ney wa Mitego wa WAPO huku kila mara akimuuliza mwenzie kuwa ' Je mlango wetu umefungwa? '.
Fumbo lenyewe la Mtangazaji Soud Brown ambalo si Siri kuwa amelielekeza ' makusudically ' kabisa kwa ' adui ' yao na ' mvamizi ' wao Makonda ni kama lifuatalo nalinukuu " Hata wanaovua Viatu na Soksi zao zinanuka Wapo........unasema Wapo.......hata wanaonuka Midomo pia Wapo......unasema Wapo.....Oya Kwissa umefunga mlango lakini?...... Jamani hata wanaonuka miguu wakivua Viatu vyao Wapo.......unasema Wapo......hata wanaonuka Midomo sana Wapo......unasema Wapo......Kaka angalia umefunga lakini mlango? Walinzi wapo gado?
Sasa Kazi imeanza na naomba mlio karibu na hawa Watangazi akina Soud Brown na Kwissa mtusaidie kutuulizia kutoka Kwao kuwa huyo anayenuka Soksi na Miguu akivua Viatu ni nani? Halafu na huyo anayenuka mdomo pia ni nani?
Chokoza wote lakini kamwe usichokoze na kuanzisha vita na Waandishi wa Habari kwani wana mbinu nyingi za kukuchafua, kukumaliza na ikibidi hata kukudhalilisha. Pole sana ' mvamizi ' Mkuu wa Clouds nadhani sasa Vita baina yako na wao ndiyo imeanza na imefika patamu mno.
Kuna Watu wanajua mno kulipiza Visasi hasa kwa waliyofanyiwa au mateso ya kimanyanyaso waliyopata.
Nawasilisha.
Rais kasema Halali mpaka aangalie Shilawadu Soudy brown na kwisa wanasema Makonda alivyowavamia waliona ananuka miguu na mdomo ww nani ubisheHuna aibu kusambaza uongo na udaku.
Jisikitikie
Nilikuja mbio Mmbea mwenzangu nikajua maongezi ya maendeleo kumbe upuuzi tuDuuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umekuja kuchangia uzi wa kimbea sasa sijui na wewe tukuitaje?
Umekuja kula ubuyu au sioNilikuja mbio Mmbea mwenzangu nikajua maongezi ya maendeleo kumbe upuuzi tu
Kumuongelea kwa mabaya inaruhusiwaHivi, kuongelea habari za Makonda humu jf si kosa? vyombo vyote vya habari si vimezuia kabisa na ikionekana unaongelea Makonda unatengwa. Sasa vipi jf haihusiki?
Ulichoandika hawezeka ndio umeaza kungoa memo ya mbeleUnataka kutangaza Ndoa ya Kuolewa na Mimi au?