Kumekucha! Bifu la Watangazaji wa Shilawadu na RC Makonda lafikia patamu na limenoga sasa

""""""nashangaa kijana uishi km kuku....mwingi mwelevu mwepes wa kuforget.....miguu njaanginja chuk hasira na ghadhabu.....umesahau kwel hadithi kafundisha babu..ya kuwa baba na mama ndio waliokupatia tabu....sasa unakataa kutumwa na kuzushi utani........""
 
Mlisema hamuandiki au kutangaza. Vipi tena?

Tumeshindwa kuivumilia tabia yake ya kunuka Soksi, Miguu na Mdomo Mkuu ndiyo maana imebidi tu tulizungumzie. au na Wewe una tatizo hilo kama lake?
 
Sielewi, ukingia studio za clouds lazima kuvua viatu?

Siyo tu Clouds bali Kisheria karibia Studio nyingi za tv na hata radio unatakiwa uingie bila Viatu kwa sababu ambazo ni za Kitaalam zaidi ambazo sidhani kama zitakusaidia labda uwe na Wewe unataka kusomea Journalism.
 
teh teh teh bashite sugua ulimi Huo ukianza kupiga mswaki acha ukolomije
 
Rais kasema Halali mpaka aangalie Shilawadu Soudy brown na kwisa wanasema Makonda alivyowavamia waliona ananuka miguu na mdomo ww nani ubishe

Mimi ni Cocochanel

Ujisikitikie haswaaaaaa.. kwa hiyo kama walivamiwa walipata muda wa kujua hayo ha ha gaaaaaa, kweli unapenda udaku wa uongo kama wenzako.
 
Fungueni clouds tv sasa hivi muone marudio ya Kipindi cha SHILAWADU cha jana ambacho kimeanza sasa hivi ili muone hayo ' mafumbo ' ya nguvu aliyopewa RC Makonda jana.
 
Mimi ni Cocochanel

Ujisikitikie haswaaaaaa.. kwa hiyo kama walivamiwa walipata muda wa kujua hayo ha ha gaaaaaa, kweli unapenda udaku wa uongo kama wenzako.
Kweli wewe ni wa Kolomije.ukiingia chumba cha kurushia matangazo unavua Viatu.alivyoingia Daudi Bashite ikasikika harufu kari mbaya ya Viatu. Harufu ya mdomo walikuwa wameizoea ila kwa kuwa wamemchoka wakaamua wampe makavu
 
KWANINI UCHUKIWE KWA KOSA LA MTU MWINGINE? TAFAKARI !
 
Kweli wewe ni wa Kolomije.ukiingia chumba cha kurushia matangazo unavua Viatu.alivyoingia Daudi Bashite ikasikika harufu kari mbaya ya Viatu. Harufu ya mdomo walikuwa wameizoea ila kwa kuwa wamemchoka wakaamua wampe makavu

Kweli kazi unayo ya kusukuma kitu kisa uvivu na wivu uliokujaaa. Makonda oyeeeeee

Kaa na hasira zako ukiona vipeee jipige vibao vya usoni. Viatu lazima mastudio uliyozoea ni yale yenye sakafu ya mabati. Mtajiju na mistudio yenu

Na bado unalojaribu kusema halisimami kwangu, askari nane si walisema na Mhe. Sasa sekunde gani wangejua ni yeye kama ingetokea...endelea kuwa mdaku wa uongo jifurahishe. Tena hapo akili zao wameonyesha utimamu wa kuweza hata kutunga uongo ambao kupambana ni kuwashinda. inachukuliwa ni kweli kwisha habari. hakuna lolote wanaweza kusema liliwatokea, hawana kesi ya kufungua kusingizia yaliyosemwa siku baada kuwa walikuwa hivi au vile wala kuombwa msamaha. Mtu akivamiwa hatoki kuongelea kihivyo hata wawe na nguvu ya ubavu wa wapi. Ha ha haaaaaaaa mmmmmh
 
Hongera kwa kupenda umbea.Mh anaendelea na kazi SHILAWADU watachonga sana lkn mwisho watanyamaza.Kumbuka kua maji ya moto hayaunguzi nyumba.Wewe endelea tu na ushabiki wako wa ngada ngada.
 
It seems you have inside information of the whole episode congratulations!
 

Kama unapata pesa yako kupitia studio sijui wapi kalia huko huko, hayanihusu.

Sibadili niliyoandika. Pita hukooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…