Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu nilisikia na neno "jini mkata kamba" sijui walikuwa wana maana ganiAcheni ' uboya ' wenu nimeleta kitu ambacho kilikuwa ' mubashara ' jana na kama mliangalia kile Kipindi mtaelewa GENTAMYCINE nasema nini na sijauweka huu uzi kwa minajili kuwa leo ni siku yenu ya Wajinga. Kukubali kuwa leo ni siku ya Wajinga nadhani ni hitimisho rasmi kuwa tuna mapungufu makubwa Vichwani na nadhani badala ya kuikubali hii siku na kuipa promo au kipaumbele hivi basi tungeipinga isiwepo kwani inatudhalilisha mno kwa jicho la tatu.
cc: mzee tupatupaOnyesha kitambulisho
Bastola ya nini tena?
Mashoti hao
Wadada sio...[emoji23]Alijisahau kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini pia amejitegesha bomu akaanza kutafuta kiki na mabifu na wasanii bila hekima. Sasa angalia hao wadada wa Shilawadu wanamteta na kumsengenya na Press conference anaifanya Dodoma bila kujali mipaka ya utawala wake na wanafunzi wa chuo akiwa na mshauri wake Le Mutuz akirekodi.
Mbona ni mipasho tu hata kwenye taarabu na singeli ipo? Mvamizi anaweza kwenda kuwasalimia, ule ulikuwa mchezo tu na umepita.Kwani kulikuwa na mtifuano gani usioisha? Wale na mvamizi wao ni marafiki wakubwa na hawana shidaWakiwa katika Kipindi chao ambacho kilikuwa mubashara kabisa Mtangazaji muongozaji wa Kipindi pendwa na Watanzania wengi hadi Mheshimiwa Rais wetu JPM aitwae Soud Brown amekuwa kila mara akifumba Fumbo huku akicheka mno na mwenzake Kwissa.
Ukiwaangalia zaidi utagundua kuwa kwa yale yaliyowatokea wiki mbili zilizopita utagundua kuwa Kipindi chao Kizima cha leo ni kama vile na wao wameamua kulipiza Kisasi kwa waliyofanyiwa na ' Mvamizi ' Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Christian Makonda.
Mtangazaji Soud Brown amekuwa kila mara akifumba fumbo moja hilo hilo huku akilinogesha na Kiitikio na Mistari iliyopo katika Wimbo maarufu wa Ney wa Mitego wa WAPO huku kila mara akimuuliza mwenzie kuwa ' Je mlango wetu umefungwa? '.
Fumbo lenyewe la Mtangazaji Soud Brown ambalo si Siri kuwa amelielekeza ' makusudically ' kabisa kwa ' adui ' yao na ' mvamizi ' wao Makonda ni kama lifuatalo nalinukuu " Hata wanaovua Viatu na Soksi zao zinanuka Wapo........unasema Wapo.......hata wanaonuka Midomo pia Wapo......unasema Wapo.....Oya Kwissa umefunga mlango lakini?...... Jamani hata wanaonuka miguu wakivua Viatu vyao Wapo.......unasema Wapo......hata wanaonuka Midomo sana Wapo......unasema Wapo......Kaka angalia umefunga lakini mlango? Walinzi wapo gado?
Sasa Kazi imeanza na naomba mlio karibu na hawa Watangazi akina Soud Brown na Kwissa mtusaidie kutuulizia kutoka Kwao kuwa huyo anayenuka Soksi na Miguu akivua Viatu ni nani? Halafu na huyo anayenuka mdomo pia ni nani?
Chokoza wote lakini kamwe usichokoze na kuanzisha vita na Waandishi wa Habari kwani wana mbinu nyingi za kukuchafua, kukumaliza na ikibidi hata kukudhalilisha. Pole sana ' mvamizi ' Mkuu wa Clouds nadhani sasa Vita baina yako na wao ndiyo imeanza na imefika patamu mno.
Kuna Watu wanajua mno kulipiza Visasi hasa kwa waliyofanyiwa au mateso ya kimanyanyaso waliyopata.
Nawasilisha.
Mkuu hapa ni pa kutangaziana ndoa?Unataka kutangaza Ndoa ya Kuolewa na Mimi au?
Shilawadu ni watoto wa kishua.Hawana shida na mshua mwenzao katika kupeana ubuyu.Lile varangati lilikuwa ni dili feki lilishindikana kuchezwa ndiyo washua wakatofautiana.By the way wale bado ni marafiki wakubwa Pomoja na kutofautiana katika ngawira yao hiyo.Si ajabu mshua wao huyo siku moja ataenda kuwapa haiWakiwa katika Kipindi chao ambacho kilikuwa mubashara kabisa Mtangazaji muongozaji wa Kipindi pendwa na Watanzania wengi hadi Mheshimiwa Rais wetu JPM aitwae Soud Brown amekuwa kila mara akifumba Fumbo huku akicheka mno na mwenzake Kwissa.
Ukiwaangalia zaidi utagundua kuwa kwa yale yaliyowatokea wiki mbili zilizopita utagundua kuwa Kipindi chao Kizima cha leo ni kama vile na wao wameamua kulipiza Kisasi kwa waliyofanyiwa na ' Mvamizi ' Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Christian Makonda.
Mtangazaji Soud Brown amekuwa kila mara akifumba fumbo moja hilo hilo huku akilinogesha na Kiitikio na Mistari iliyopo katika Wimbo maarufu wa Ney wa Mitego wa WAPO huku kila mara akimuuliza mwenzie kuwa ' Je mlango wetu umefungwa? '.
Fumbo lenyewe la Mtangazaji Soud Brown ambalo si Siri kuwa amelielekeza ' makusudically ' kabisa kwa ' adui ' yao na ' mvamizi ' wao Makonda ni kama lifuatalo nalinukuu " Hata wanaovua Viatu na Soksi zao zinanuka Wapo........unasema Wapo.......hata wanaonuka Midomo pia Wapo......unasema Wapo.....Oya Kwissa umefunga mlango lakini?...... Jamani hata wanaonuka miguu wakivua Viatu vyao Wapo.......unasema Wapo......hata wanaonuka Midomo sana Wapo......unasema Wapo......Kaka angalia umefunga lakini mlango? Walinzi wapo gado?
Sasa Kazi imeanza na naomba mlio karibu na hawa Watangazi akina Soud Brown na Kwissa mtusaidie kutuulizia kutoka Kwao kuwa huyo anayenuka Soksi na Miguu akivua Viatu ni nani? Halafu na huyo anayenuka mdomo pia ni nani?
Chokoza wote lakini kamwe usichokoze na kuanzisha vita na Waandishi wa Habari kwani wana mbinu nyingi za kukuchafua, kukumaliza na ikibidi hata kukudhalilisha. Pole sana ' mvamizi ' Mkuu wa Clouds nadhani sasa Vita baina yako na wao ndiyo imeanza na imefika patamu mno.
Kuna Watu wanajua mno kulipiza Visasi hasa kwa waliyofanyiwa au mateso ya kimanyanyaso waliyopata.
Nawasilisha.
Jana na Mimi nimeangalia kipindi inaonekana kweli mkuu GENTAMYCINE huyu Daudi Bashite ananuka miguu na mdomo nimeona Yale madongo kwa Paul Makonda
Ila kweli jamaa ananuka sana ndomo
Eti marinda yakishaondoka unakabiliwa na matatizo mengi likiwamo la kunuka mdomo na miguu.
Avatar yako tu....mie hoiMashoti hao
anaye nuka mdomo anaitwa jini mkata kamba