City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Katiba inaelekeza. Chama hakiwezi kumteua kijana wa miaka 30 kugombea uraisi alafu kweli akagombea. Lazima atakataliwa sababu katiba inasema sifa za mgombea ni zipiKatiba ya nchi haielekezi wateule wa vyama wateuliwe vipi
Mambo yanazidi kuchangamka wamesema wanarekebisha katiba🤪🤪🤪ya chama chaoChama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
Na kura zitapigwa Kwa mtandao mwaka huu.Wacha tusubiri ingawa walishatangaza kuanza kufanya vikao kwa njia ya mtando tangu January walipokutana kwa mara ya mwisho.
Katiba haitoingilia mchakato wa chama kumteua mgombea chini ya miaka 30,ila haitomruhusu kuwa rais,ni sawa na wewe ni ruksa kufanya mambo fulani kwako lakini hayaruhusiwi kwa ummaKatiba inaelekeza. Chama hakiwezi kumteua kijana wa miaka 30 kugombea uraisi alafu kweli akagombea. Lazima atakataliwa sababu katiba inasema sifa za mgombea ni zipi
Nyie huwa mataahira!?..naona mnaimba tu kama ng'ombeSamia amekiuka katiba ya chama na nchi
Wanachama mikoani hawautaki mkutano wa mtandao wanataka kuongea dukuduku zao wakiwa wanawaona walioko kwenye dhamana kwanini taratibu zilikiukwa kwa makusudi ni nani alishinikiza na kwa maslahi yapi?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
Mkuu umewaza sawa kabisa? Huo mfano nimekupa sababu hakuna chama kinaweza kufanya hivyo sababu kinajua wapo wenye akili timamu watawakumbusha kuwa wamevunja katiba.Katiba haitoingilia mchakato wa chama kumteua mgombea chini ya miaka 30,ila haitomruhusu kuwa rais,ni sawa na wewe ni ruksa kufanya mambo fulani kwako lakini hayaruhusiwi kwa umma
Katiba gani?Mkuu umewaza sawa kabisa? Huo mfano nimekupa sababu hakuna chama kinaweza kufanya hivyo sababu kinajua wapo wenye akili timamu watawakumbusha kuwa wamevunja katiba.
Mkuu mjadala wetu si ni katiba ya nchi unasema haiwezi kuamuru uchaguzi wa chama, au ushasahauKatiba gani?
Katiba za CCM, chadema,act, CUF zinasema muomba uteuzi wa kugombea urais sharti awe na miaka 42+ kama katiba ya nchi inavyotaka?...niwekee hivyo vifunguMkuu mjadala wetu si ni katiba ya nchi unasema haiwezi kuamuru uchaguzi wa chama, au ushasahau
Mkuu wewe una tatizo lingine??Katiba za CCM, chadema,act, CUF zinasema muomba uteuzi wa kugombea urais sharti awe na miaka 42+ kama katiba ya nchi inavyotaka?...niwekee hivyo vifungu
Hivyo vyama havina katiba inayotaka mgombea awe na 42+..chama kinaweza kuteua mgombea chini ya umri huo kila uchaguzi kama demonstration ya kutaka katiba ya nchi iondoe kigezo cha umriMkuu wewe una tatizo lingine??
Katiba ya nchi inasema mgombea uraisi lazima awe na miaka zaidi ya 40, Sasa vyama vinavyoteua mgombea uraisi vitakuwaje na katiba inayoruhusu mgombea wa uraisi chini ya miaka 40? Tumia akili kidogo
Wanataka kwenda kumtengenezea njia mgombea haramu. Sema hili taifa tuna watu wabinafsi sanaChama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
Mkuu nakushauri jitahidi kuutumia uwezo wako wa kufikiriHivyo vyama havina katiba inayotaka mgombea awe na 42+..chama kinaweza kuteua mgombea chini ya umri huo kila uchaguzi kama demonstration ya kutaka katiba ya nchi iondoe kigezo cha umri
So hapo inakuja tofauti ya katiba ya chama na ya nchi,kitu ambacho msiompenda samia mnalazimisha kuwa kuvunja katiba ya CCM ni sawa na kuvunja katiba ya nchi
Tulia dada angu haya mambo huyaweziNyie huwa mataahira!?..naona mnaimba tu kama ng'ombe