GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM must tread careful, tunawakumbusha wenzetu bendera za ASP zipo makabatini.
 
Posho tutalipwq na nani.Mbona nahisi tunaenda kufanya kazi ya hisani.Makatibu walivyo na njaa watatulipa kweli?
Thubutu! Hakuna anayeweza kujaribu, Mama alivyomkali sasa hivi. Kuweni na amani tu, pesa direct kwenye A/C.
 
TEHAMA ndio teknolojia ya kisasa. Mikutano kufanyika kwa njia ya mtandao ni hatua kubwa waliopiga CCM. Ndio faida ya kueneza Internet nchi nzima. Pongezi Mheshimiwa M/K Dr Samia Suluhu.
Baada ya hii kupita, wapinzani wote wataiga.
Mtandao nadhani hamtautibua siku hiyo.
Sasa Unataka wengine waige ili mzime mtandao, NrNe!
 
Umezaliwa 2009 au 2005?!!!
Hivi Kuna chadema Bado kwa unavyoona (maana naona hapa mwenyewe inahitaji vikao vya ccm mpaka unakasirika ukionA vinachelewa)?!!🤣🤣🤣🤣
Mipango ya ndani huijui mbwiga wewe..........unapoambiwa siasa ni sayansi uelewe.
Wahuni weshafanyA yao
 
Kwani si yupo dodoma sasa si amalizie tu huo mkutano moja kwa moja 😀
 
Anyway, kuna kikao kiomja ndio walitangaza kuanza kufanya vikao kwa njia ya mtandao, wengi hamkumbuki hilo na ilikuwa ni kwenye Mkutano Mkuu mmojawapo.

Hlalafu acha kujadili hoja kwa chuki utadhani wewe hujawahi sahau katika maisha yako.
Kufanya mkutano kwa njia ya mtandao sio jambo la kushangaza,kwa sasa ni kawaida.
Huu wanafanya kwa njia ya mtandao sababu ni wa dharula,Ila ile iliyopangwa July 28 itafanyika Kama ilivyo siku zote, watakutana dodoma

Nilichokukurekebisha ni hiyo kusema mkutano wa mwisho ulikua January.
 
Back
Top Bottom